VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Wizara ya afya nchini Rwanda, inasisitiza wanaume na wao kujitokeza kupata huduma za uzazi wa mpango. Ambapo njia inayopendelewa kwa wanaume hao, ni ya kuziba mirija ya mbegu za kiume. Hii inamaanisha, mwanaume hawezi tena kuzaa, ila kwenye swala la kuzagamuana, uwezo wake utakuwa pale pale.
Wanawake wengi wamesema jambo hilo halikubaliki. Kwa sababu, ikiwa wao wanatumia njia mbali mbali za uzazi wa mpango, wanapata changamoto kiafya, hali ile ikitokea kwa waume zao, basi watakuwa kama kaka na dada. Hivyo, wanadai hawawezi kuruhusu waume zao wakafungwe mirija.