kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ex Spy

    TLS waibua Hoja 5 nzito kuhusu Hukumu ya Tundu Lissu na Hali ya Haki Nchini

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimevunja ukimya na kutoa tathmini ya kina ya kisheria kuhusu hukumu iliyotolewa Novemba 6, 2026, dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Katika tamko lao la Novemba 26, 2026 lililosainiwa na Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi, chama hicho kimesema...
  2. Huihui2

    PostGE2025 Ezekiel Kamwaga: Heche anapotosha kuhusu maridhiano

    Dai la kudai haki na mantiki ya kuanzisha mazungumzo. Ni kweli CHADEMA haina mamlaka ya dola ya kuamua masharti ya maridhiano, na ni haki yake kudai kuachiliwa kwa viongozi wake, uwajibikaji na uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29. Lakini hilo halimaanishi kwamba madai hayo yote lazima yatimizwe...
  3. Chizi Maarifa

    Sheikh Mkuu Irani atoa Siri nzito kuhusu Israel kuua Viongozi wa Iran

    Aiseee..... Sasa hapa anaongea lugha ambayo inafahamika kwa Waislamu. Hili ni moja ya matukio ambayo yanawatesa sana Wairan. Mpaka sasa hawajaweza ku recover. Hapa nazungumzia sana sana Wairan wa Iran. Achana na hawa wa Mchambawima na Kunduuchi au Kilimanyege.
  4. S

    Unafikiri kwa nini TAKUKURU, TISS na Polisi hawaoni tena haja ya kutoa taarifa kwa mamlaka ya juu kuhusu watu wanaofanya ufisadi na wizi nchini?

    Hili limethibitishwa, kwamba TAKUKURU, TISS na hata Polisi hawatilii maanani tena kufuatilia au kutoa taarifa kwa mamlaka ya juu nchini kuhusu wizi na ufisadi mkubwa unaofanyika nchini, iwe na watu wa ndani au wa nje. Kuna mtu nilipogusia kwake jambo hili kupata maoni yake aliniangalia usoni...
  5. Deus Jovin

    Hoja na Mikakati ya Heche wa Chadema Kuhusu Tume ya Maridhiano: Muhtasari, Uchambuzi, Uhakiki na Mapendekezo

    https://youtu.be/yAQ3JG_qY0o Leo tarehe 24 Novemba 2026, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza masharti ya kushiriki katika Tume ya Maridhiano iliyopendekezwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuratibu mchakato wa marekebisho ya Katiba. Akizungumza na waandishi wa...
  6. S

    Jambo moja la msingi sana nimetambua kuhusu mustakabali wa siasa na uongozi wa Tanzania na Watanzania wenyewe

    Kwamba aidha kiongozi mwanasiasa anakuwa ni mjinga sana au sisi Watanzania wote ni wajinga sana. Lazima mojawapo kati ya hayo mawili liwe kweli. Sio rahisi yote mawili yawe kweli au kutokuwa kweli kwa wakati mmoja.
  7. D

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia kwa jumla

    Salaam wakuu, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kununua na kusambaza mafuta ya kupikia kwa jumla katika maeneo ya Tunduma na Sumbawanga. Nina nia ya kuwekeza kwenye biashara hii, lakini sina uzoefu wa kutosha. Naomba kupata mwongozo kutoka kwa watu wenye uzoefu ili nijue namna sahihi ya...
  8. Echolima1

    Rais wa Marekani Trump aseme Neno kuhusu Iran

    Rais wa Marekani Trump kuhusu Iran: Nina mwelekeo wa kuanzisha tena mashambulizi dhidi ya Iran baada ya kuanza kwa mwaka mpya, iwapo hakuna makubaliano yatakayofikiwa. Natumai meli za mafuta za Iran zitajaribu kupinga mzingiro huo. Zote zitajikuta zikiwa chini ya bahari, kama ilivyo kwa Jeshi...
  9. Soul21

    KERO NIDA Mnatutesa, Tunarejesha Vitambulisho Vilivyofutika Lakini Hatupati Vipya!

    Habari za wakati huu wana JF. Naandika uzi huu nikiwa na maumivu makubwa na uchungu kama mwananchi wa kawaida ambaye ninakwamishwa na mifumo yetu wenyewe. Lengo langu ni kufikisha kilio hiki kwa viongozi wetu wenye dhamana, hususan Wizara ya Mambo ya Ndani na uongozi wa NIDA, waje waone na...
  10. mcTobby

    JAMES OPIYO: Mashine ya mateso kipindi cha utawala wa Daniel Arap Moi

    Ni majina machache yanayoweza kuwakumbusha Wakenya kuhusu kipindi kigumu cha kisiasa chini ya utawala wa Rais Daniel arap Moi kama jina la James Opiyo. Opiyo alikuwa afisa mwandamizi wa zamani katika kitengo cha Special Branch, kilichohusika na masuala ya ujasusi wa ndani. Alikuja kujulikana...
  11. Wizara ya Ardhi

    ARITA YATOA SEMINA ELEKEZI KWA WANAFUNZI KUHUSU MAADILI NA KUEPUKA TABIA HATARISHI

    Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kimeendesha semina elekezi kwa wanafunzi wa kozi mbalimbali zinazotolewa chuoni hapo, kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu umuhimu wa kuzingatia maadili, nidhamu na kujiepusha na vitendo vinavyoweza kuathiri masomo yao pamoja na maisha yao ya baadaye. Semina hiyo...
  12. K

    PostGE2025 Kuhusu ICC, tumuulize mrejesho Mzee Mwanakijiji

    Kama mnakumbuka wanaJF, Mzee Mwanakijiji aliwahi kuleta mada hapa kuhusu alivyotembelea The Hague kujionea mwenyewe mambo ya huko, hasa baada ya matukio ya kusikitisha yaliyotokea hapa nchini. Alieleza mengi aliyoyaona na kuzungumza, angalau kwa kiasi na watoa habari kuhusu mahakama hiyo katika...
  13. Manyanza

    Kinachoendelea kuhusu rufaa ya Tundu Lissu

    Utekelezaji wa maelekezo ya kisheria yaliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeanza rasmi kwa vitendo baada ya jopo la mawakili wake kuanza maandalizi ya nyaraka za maombi ya dhamana pamoja na kukamilisha hatua ya kuwasilisha notisi ya kukata rufaa mahakamani. Akizungumza, Novemba...
  14. Red black

    Hivi hii statement kuhusu sex ina ukweli wowote ?

  15. min -me

    Kitu nimegundua kuhusu utawala huu Tanzania

    Wanaounga mkono ni wale vilaza na wavivu wakufikiri, binafsi naunga mkono ila nanshangaa nipo pamoja na wale mazumbukuku na wasio na uelewa timamu 🤔 Kuna mda unafikiaria sana 😢, inakuake hili fuso letu la kazi isonge mbele wapo vilaza kuliko wenye akili timamu 🤔
  16. Roving Journalist

    TANROADS yatoa ufafanuzi kuhusu Taarifa ya maendeleo ya ukarabati wa Mizani ya Mkuranga - Pwani

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mkoa wa Pwani, inapenda kuwataarifu wasafirishaji na wadau wa usafiri kuwa ujenzi/ukarabati wa miundombinu ya Mizani ya Mkuranga, upande wa magari yanayotoka Dar es Salaam kuelekea Mikoa ya Kusini, umefikia asilimia 95. Kwa sasa, kazi zimeingia katika...
  17. The UPCOUNTRIAN

    Naomba kuelimishwa kuhusu biashara ya Mabondo ya samaki

    Salama wakuu? Hiki kitu nimekua nikisikia tu bila kuelewa kwa kina. Naomba kuelimishwa biashara hii ikoje? Na haya mabondo yanatumiwa kwa kazi gani hasa? Soko lake likoje?
  18. Mad Max

    Ukweli kuhusu Foleni za Dar es Salaam!

  19. Kaka yake shetani

    Serikali tazameni ili kuhusu simu za mikopo zina utapeli mkubwa

    Kuna utapeli nahisi umepewa baraka na hupo tanzania umejificha kwenye mikopo ya simu na vifaa vingine. Embu angalia simu ya laki mbili unalipa laki nane. Hii riba benki kuu wana fahamau
  20. O

    FALSE Tsc yatoa onyo kuhusu hati bandia ya matokeo ya usaili

    Hati inayodai kuwa inaonyesha “Submission of Interview Results for the Position of Secretary/Chief Executive Officer” ya Teachers Service Commission (TSC) imekuwa ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii. Hati hiyo inadaiwa kuhusisha mchakato wa kuajiri Katibu/Chief Executive Officer wa TSC, nafasi...
Back
Top Bottom