wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. lord atkin

    Ila wanawake Mungu awabariki, nimehisi moyo wangu unachomoka

    Wakati wa BJ nilipo-orgasm ameendelea nimehisi kama moyo na ubongo wangu vinachomoka. Mungu awabariki sana hawa viumbe.
  2. Isenye

    Hivi nyie wenzangu mnatumia mbinu gani kula pesa za wanawake?

    Niaje wana jf! Nina mwanamke ni mbahiri sijawahi kuona. Pesa zangu tunatumbua wote, ila zake sijawahi kujua zinaenda wapi. Sasa nataka mnipe mbinu na mimi niwe nakula pesa za huyu mpare, haiwezekani hata nikifulia nikamwambia aniazime pesa kidogo anasema hana. Kiuchumi sio kwamba yuko...
  3. lord atkin

    Nini kinafanya wanawake wa siku hizi kutotaka ndoa?

    Ninaona kuna trend imeibuka na inakuwa kwa kasi ya wanawake wengi hasa mijini kutotaka kuingia kwenye ndoa. Imekuwa kawaida kukutana na mwanamke ana miaka 33 au 34 hajaolewa na hana mpango huo. Ni nini kinasababisha hali hii? Je ni mihangaiko ya maisha? Je wanawake hawaoni faida tena ya ndoa?
  4. Masagala

    Leo nina swali ambalo limekuwa likinisumbua sana… Wanawake mnaovaa mawigi, na hili joto la El Niño mnavumiliaje? Hivi kichwa hakipati moto

    1:Joto kali_Hivi kichwa kinapopata joto mnavumiliaje bila kujisikia vibaya 2:Kutokwa na jasho _Je mkiwa mmevaa wigi na jasho likaanza kutoka kichwani huwa mnafanyaje?
  5. Yoda

    Wanaume wana akili kubwa ya kujipatia mahitaji yao kuliko wanawake ?

    Kwa nini wanawake wengi walioshindwa maisha au wenye kipato kidogo hukimbilia biashara ya mapenzi kama njia ya kujipatia kipato? Kwa nini huwa hawafikirii kazi nyingine tofauti na hiyo ya mabadilishano ya ngono kwa pesa kama ambavyo wanaume wanavyojitafuta kupata kipato?
  6. Dr. Mariposa

    Wanawake, mkipata nafasi muwakumbatie Wanaume kwa nguvu, hawana Furaha

    Wanaume wana huzuni, hasira, uchungu, wanatamani waoneshe hisia zao lakini haiwezekani, jamii inawakataza kufanya hivyo, hawatakiwi kulia wala kuhuzunika, wanatakiwa wawe ngangari muda wote, sasa hii inapelekea kua makatili au kupata changamoto za afya ya akili, ukichunguza sana utaona nyuma ya...
  7. min -me

    JF kuna wanawake ila wife material ni wachache mno

    Kwa jicho langu la kilevi hii ni list yangu ya wife material jf😁😁 MawardatDellapina Angel Nylon Alliyah Nifah Na dada mmoja wa yanga kindaki ndaki , hawa ni wife material walio salia jf🤔
  8. Kifurukutu

    Wanaume ambao hatujawahi kutoka na wanawake wa JF tunakwama wapi? Mapenzi yanawezekana humu au ni mijadala tu?

    Kwa wale ambao hatujawahi kutoka kimapenzi na wadada wa JF, hebu tukutane hapa tupeane uzoefu, ushauri, faraja na mbinu za kuwapata. Nasikia humu kuna wanawake wa hadhi, intellectuals, great thinkers, wanawake wenye upeo mpana wa kufikiri na mijadala yenye mashiko na waliojipata kimaisha. Sasa...
  9. N

    Hii kulinda mgongo wako, ni wanaume tu walinde ama na wanawake pia?

    Wanawake wanafanywa njia ya haja kubwa, walioolewa wanawapa waume hiyo njia wakiamini wanaume hawatatoka nje ya ndoa...mabinti wadogo haswa wanafunzi nao wanaingiziwa huko ili wapewe macho matatu...madada wanapewa nauli za kwenda uchina kwa kuingiziwa huko... Sasa huko mtandaoni unakuta wamama...
  10. J

    David Kafulila: Wakati Ujao ni wa Kila Mtu lakini hatuwezi kuufikia tukiwa tumegawanyika, 88.6% ya wanawake ni House Keeper wakati wanaume ni 52.5%

    HAPPY INTERNATIONAL MEN’S DAY 2026 – THE FUTURE IS EVERYONE - KAFULILA Katika kuadhimisha Siku ya Wanaume Duniani, Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Zacharia Kafulila, kupitia akaunti yake ya X (zamani Twitter), ametoa ujumbe unaosisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya wanaume na wanawake...
  11. T

    Wanaume walioachwa na Wanawake zao na wakafanikiwa zaidi kwenye mahusiano..

    Wengi huwa wanakwama na ni sababu kubwa ya kupoteza ndugu zetu hapa duniani.
  12. blogger

    Wanawake walio na rasta (dreadlocks) vs Men(with or without).

    Mimi huwa naona wanawake marasta wengi WAMEONDOLEWA UKE... yani hawana sababu yeyote ya kuwa na mwanamume.. Likiwise wanamume wenye dreadlocks.. I see them as GAYS... Oya. That's my view .. Karibuni.
  13. E

    Ukweli mchungu : Karibu Asilimia 50 % ya wanawake wanajihusisha na biashara ya kujiuza

    Si wake za watu ,si single mother ,si single women, si under 18 , si single girls , si watumishi wa Mungu ,si waajiriwa , si wasio na kazi , hali ni mbaya . Asilimia kubwa sana ya wanawake wanajihusisha kwa namna moja au nyingine na kujipatia mali au kipato kwa kutumia miili yao . Chungeni...
  14. Dr. Mariposa

    Wanawake tu: Ilikuaje siku ya kwanza umevunja ungo?

    Hii mada tuliiongelea kazini, watu walifunguka ilikua vicheko na huzuni pia, nikasema niwasikie na rafiki zangu wa humu pia, Ilikuaje kwa mara ya kwanza umevunja ungo, ulikua mazingira yapi, ulireact vipi, nani alikustiri, n.k Mie nakumbuka nilikua nina miaka kumi na tano, ilikua likizo ya...
  15. Isenye

    Kuna mwenye abc za wanawake wa kipare?

    Kuna manzi wa kipare kaniganda mpaka sio poa asee..anakaba mpaka penalty yani. Nahisi naanza kumuelewa flani pia. Kama kuna mwenye abc za wanawake wa kipare atiririke hapa.
  16. M

    Wanawake wengi hupatwa na hamu kali baada ya kujifungua mara ya pili na kuendelea, waume zao wanaowaambia wasubiri siku 40 zipite

    Kama ni mwanaume na umewahi kuwa karibu na wanawake waliojifungua mara ya pili na kuendelea, kuna uwezekano mkubwa ulishawahi kujion visa vyao.
  17. Yoda

    Wanawake wamemuangusha CEO namba moja duniani!

    Kweli wanaume wadhaifu sana kwenye uchi wa mwanamke, Jensen Huang CEO wa NVIDIA kampuni namba mbili kwa thamani duniani na inayoongoza kwenye AI amebwaga manyanga kwa kujiuzulu na kutimua mbio asifukuzwe na bodi ya NVIDIA baada kuingia katika skendo mbili za michepuko nje ya ndoa, mchepuko...
  18. mcTobby

    Wanaume inabidi tukubali ukweli MCHUNGU kuhusiana na aina hii ya wanawake.

    Jambo moja kuhusu wanawake wanaopenda zaidi night party sherehe pamoja na unywaji wa pombe kuliko hata kuwajali baba zao ni kwamba, kwa namna fulani, huishia kuwa na ndoa very successful . Amini nakwambia 🫵 🫵 😂🤣 Tutajifanya tuwananga na kuwakejeli ila deep down kwa ground Hali ni tofauti...
  19. ashraffbale

    Wanawake wenye tattoo wanapatikana wapi?

    Habarini Mimi ni mwanaume mwenye umri mkubwa tu na nina zaidi ya miaka 25 nipo Dar es salaam, nimeshawahi kuwa kwenye mahusiano na wanawake mbali mbali lakini sijawahi kukutana na mwanamke mwenye tattoo. Nachojiuliza mbona mitandaoni nawaona sana, kwenye tattoo artists nawaona sana. Je...
  20. M

    Video: Hijab huzuia canser kwa wanawake

    Sikiliza kwa makini
Back
Top Bottom