Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.
https://www.youtube.com/live/SQeav0ZPygc?si=P2PMMRRBNrjGquJo
NAPE NA SHAKA WAHITIMU OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA: CCM NA TAIFA KUNUFAIKA NA HAZINA YA UZOEFU NA MAARIFA YAO
Makatibu wastaafu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Moses Nnauye na Shaka Hamdu Shaka, leo ni...
Wananchi waliojitambulisha kuwa ni Wakazi wa eneo la Kipunguni, jana Novemba 24, 2026 walifika kwenye Ofisi za Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Jijini Dar es Salaam wakidai kukamilishiwa malipo wanayodai yaliyotokana na upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA)...
Malalamiko ya kucheleweshewa mishahara, kupunjwa malipo na makato yasiyoeleweka yameendelea kujitokeza katika baadhi ya maeneo ya kazi nchini. Wakati baadhi ya wafanyakazi wakifikia hatua ya kugoma, wengine wakiharibu mali za waajiri wao, swali linabaki: Je, wafanyakazi wanazifahamu haki zao za...
My Take
Naunga mkono hoja ya Kitila Kwa sababu hata niwe Mimi yaani mtu ananipa Bilioni 5 ambayo naweza kwenda kufanyia makubwa zaidi kwingineko nisiuze kisa mgeni?
Mnaolaumu acheni upuuzi,hata Mimi Nina eneo langu japo halipo Dar nikipata mgeni na ofa nzuri nauza nachukua pesa,Nchi ni kubwa...
Nilichogundua hatuwezi kujificha kwenye vivuli vya I'd zetu za bandia humu hasa kwa dunia ya sasa ni swala la muda utajulikana kama ni bumunda au bright mimi nimefupisha tu ila nilipata taarifa za kila members humu hadi wale wenye low iq kwa aina ya michango yao wanatambuliwa vizuri tu...
Nimetembelea majuzi kwetu Tukuyu, Rungwe.
Matapeli na wafanyabiashara wahujumu wamevamia wakulima. Sasa wakulima wanajibu mapigo.
Kiwanda cha chai Katumba muda mrefu kimebiafsishwa kwa matapeli walioshindwa kukiendesha.
Wao wamekikopea mkopo na kutokomea kusikojulikana.
Wakulima kuliko kukaa...
Habari.
Kwenye page za taasisi za umma tofauti nimekutana na picha zikiwa na maneno na misemo mbalimbali.
Hii inaleta tafsiri gani? Maendeleo katika Ubunifu? Uhuru usio na mipaka? Au ulimbukeni?
Kero yangu ni kuhusu EWURA na mfumo wa utoaji leseni zao kama hizi za electrical installation, kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa tunaona taasisi zingine wanatoa leseni zao baada ya muda mchache unafanya malipo kwenye Mtandao na kuipata lakini wao wanatumia siku 40 hadi 60 ukiuliza wanasema ni...
Anonymous
Thread
changamoto
electrical
electrical installation
ewura
hizi
leseni
mfumo
zao
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Unakuta babu alikuwa na wake wanne miaka hiyo 1970s. Ila mtoto mkubwa kabisa wa mke mkubwa alimaliza secondary Ilboru, akasoma University of Dar Es Salaam, akafanikiwa kupata kazi mwaka 1985 NBC au Shirika la reli, anamchukua mdogo wake (mtoto wa mama wa kambo mke wa...
Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue
Utajiri wa Serikali unapatikana kwa uwepo wa Wananchi hai/rasilimali watuSerikali yeyote duniani inatakiwa kutunza afya ya Wananchi wake ili ivune...
Hoja kubwa inayosemwa ni viboko vikiondolewa tutaleta kizazi cha ovyo, Huyo mtoto anazaliwa akiwa ovyo au jamii ndio imamtengeza awe ovyo!? baadae ndio fimbo imrekebishe?
Hawa viongozi wa sasa na watumishi serikalini ni wazi wamesom zama za viboko ni kitu gani viboko vimeongeza katika uadirifu wao?.
WITO KWA UONGOZI WA SAMSUNG TANZANIA: BORESHENI HUDUMA KWA WATEJA!
Nimekutana mara kadhaa na changamoto kubwa katika maduka rasmi ya Samsung, Dodoma na Dar es Salaam. Unapofika dukani ukiwa na tatizo la simu ya Samsung, ambayo ni bidhaa mnazozalisha na kuuza wenyewe, unatarajia kupata msaada wa...
Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
Ukiona mchina kaleta kampuni yake hapa afrika tambua yupo kwa ajili ya test.
Nimekumbuka kampuni kama Tecno ilivyokuja afrika na sasa inapeleka products zake ulaya.Mbona ijapeleka mwanzoni.
Leo kulikuwa na uzinduzi TVS hizi pikipiki ulaya ila cha kushangaza kajaza test zile pikipiki za mama samia.
Nimekutana na makabila kadhaa ila katika haya nimekutana na watu zaidi ya saba na tabia hizi niliweza kuziona zikijirudia rudia.
Wachaga - ni wachapakazi, wanajituma, lakini muda mwingi wana plan ya kutafuta tobo la kupiga hela. Kwenye maelewano ya pesa hakikisha mnaenda kwa mikataba, mkienda...
Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao.
Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
Anonymous (f160)
Thread
changamoto
daruso
kuomba
kuomba rushwa
loan
loan officer
mikopo
rushwa
serikali
udsm
viongozi
wanafunzi
waziri
wizara
zao
Sijui itapewa jina gani. Lakini ionyeshe kwa uwazi jinsi mahakama zetu zinavyopindisha sheria.
Ziwekwe video, refference za cases mbalimbali jinsi mahakama zinavyochezewa na hii serekali.
Nukuu kama za Rostam alivyokuwa akielezea mfumonwetu wa mahakama ulivyo mbovu.
Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto inayotukabili watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, ambapo DMO na Katibu wa Halmashauri wanafanya uhamisho wa watumishi mara kwa mara bila kuwalipa stahiki zinazotokana na uhamisho huo.
Kwa mfano, mtumishi mwenye...
Anonymous
Thread
afya
bila
halimashauri
idara
idara ya afya
katibu
njombe
sana
uhamisho
wafanyakazi
watumishi
zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.