wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    WAZIRI WA ARDHI DAVID SILINDE AKUTANA NA MENEJIMENT YA WIZARA

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. David Silinde, leo Novemba 28, 2026, amekuatana na Menejiment ya Wizara katika Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Dodoma. Katika kikao kazi hicho, Mhe. Silinde ametambulishwa rasmi kwa Menejimenti ya Wizara pamoja na kupokea taarifa kuhusu hali ya...
  2. MakinikiA

    Wizara zilizopo zinawashinda kuziendesha mpaka mkope, sasa mlizoongeza mtaziendeshaje?

    WAndugu natafakari kwa kina sipati majibu. Wzara zilizopo kuzihudumia ni mzigo kwa sababu ya utitiri wa matumizi mpaka muda mwingine inawalizimu kukopa ili wazihudumie. Na ndio maana kuna jamaa mmoja alikengeuka na kusema wananchi hawalipi kodi ndio maana nchi inakopa sasa tujiulize hizo...
  3. BLACK MOVEMENT

    Katika awamu hii ya pili ya Samia, kuna wizara zitabuniwa ili kuwapatia watu nafasi na wao wale

    Kwa sasa ni mwendo wa kuwatafutia Washikaji chakula, na Samia kwenye kutimiliza hilo ndio haya mambo ya kumega mega wizara ili kuwapatia watu ulaji na hakuna cha kuongeza ufanisi. Kwenye wizara ikigoma zitaformiwa nafasi za manaibu hata watatu ama wanne kwenye wizara moja na kwenye Makatibu...
  4. A

    KERO Shule ya Zanaki Sekondari kuzuia Wanafunzi wa Form One kufunga shule ni kwa maelekezo ya Wizara?

    Habari ndugu! Mimi ni mzazi wa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza anayesoma ZANAKI SECONDARY SCHOOL Lengo na dhumuni la kuandika meseji hii ni kutoa taarifa kuwa Shule ya Zanaki Secondari imewazuia wanafunzi wa kidato cha kwanza kufunga shule na kusema waendelee na masomo ya form two kitu ambacho...
  5. Roving Journalist

    Wizara ya Ujenzi: Barabara ya Uvinza ~ Kanyani (Kasulu) imeshaboreshwa

    Wizara imeeleza "Hiki ndiyo kile kipande kinachooneshwa kwenye mtandao." Wizara ya Ujenzi imeeleza kuwa "Hii ni Barabara ya Uvinza ~ Kanyani [Kasulu] na hiyo picha iliyorushwa mitandaoni ni ya tarehe 3 au 4 Novemba 2026 wakati mvua kubwa imenyesha mkoani Kigoma. "Eneo hili liliharibika baada...
  6. N'yadikwa

    ASAS ifikirie kujenga kiwanda cha maziwa Tukuyu, Rungwe – wizara ya mifugo nayo ina jambo la kujifunza!

    Nina ushauri wa kiuchumi kwa kampuni ya ASAS Dairies. Badala ya kuendelea kukusanya maziwa kutoka kwa wafugaji wa maeneo ya Tukuyu na Rungwe, kuyapakia kwenye maboza na kuyasafirisha hadi Iringa kwa ajili ya uchakataji, kwa nini kampuni isifikirie kuwekeza katika kiwanda cha kuchakata maziwa...
  7. Wizara ya Ardhi

    Watumishi wizara ya ardhi wasisitizwa kuongeza nguvu utoaji elimu matumizi ya mfumo wa E-ardhi

    DODOMA Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspari Kasperi Mmuya, amewataka watumishi wa sekta ya Ardhi katika Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Dodoma na Halmashauri zake kuongeza nguvu katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi ili kuwawezesha kutumia...
  8. F

    Wizara ya Maji imefanikiwa kuhakikisha maji hayatoki Jiji la mwanza siku ya tano mfululizo bila taarifa yoyote

    TANESCO pamoja na mapungufu Yao,wao wamefanikiwa kwenye utoaji taarifa,wakatapo umeme, wataarifiwa wateja kupitia namba zao za simu. Jambo hili,mamlaka ya Maji nchini hawana habari nalo, utatumiwa meseji ya kudaiwa maji na utapigiwa ulipe deni, ila wakikata maji,hawatoi taarifa yoyote maana...
  9. Jaji Mfawidhi

    Baba Levo:Wapiganie Wanaume wapate wizara ya kuwatetea !

    Hivi karibuni matukio ya wanaume kunyanyaswa, kupewa unyumba chini ya dakika moja, mke kudai hajisikii, kubakwa , kulawitiwa na kadhalika huku hakuna mtu anayewasemea sasa mbunge wa kitaifa ndugu BABA levo asaidie kupaza sauti iundwe wizara ya kutetea wanaume . Hapa kuna maandishi ya Kiswahili...
  10. Somoche

    Swali wizara ya ardhi na ujenzi uvamizi AU kuuza eneo la road reserve barabra ya Morogoro

    Naombeni hizi Wizara mbili zinijibu kwanini eneo la Road Reserve limevamiwa na Ujenzi wa Vituo vya mafuta na vitu vingine unaendelea?? Kama Magufuli aliwatoa hao watu kwanini sasa wanarudi kujenga ili badae mseme wa hati halali walipwe mpate dili au ni nini?? mfano kuna vituo vya mafuta...
  11. Roving Journalist

    Diplomasia ya Kiuchumi kuongeza tija: Wizara yatakiwa kutumia fursa za nje kukuza uchumi wa Taifa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia kikamilifu uhusiano mzuri wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani kuvutia uwekezaji, kuendeleza rasilimali za nchi zilizopo nje ya mipaka na kuongeza mapato ya Taifa kupitia miradi ya kiuchumi. Hatua hiyo inalenga...
  12. A

    KERO Waziri wa Mikopo UDSM ni changamoto sanaa

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao. Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
  13. Wakili wa shetani

    Hadi leo mshahara wa katibu mkuu wa wizara ni mkubwa kuliko wa waziri?

    Baada ya uhuru ilikuwa hivyo. Anaandika hivi Nyerere katika kitabu TANU na raia mwaka 1962. "Nimetaja Mawaziri kama mfano tu. Lakini maneno haya yanawahusu Waafrika wote wenye hali nzuri. Leo Permanent Secretary Mwafrika mshahara wake ni Shs. 4,000/- kwa mwezi. Hatujali Permanent Secretary...
  14. O

    “Cetirizine Inabana Uke?” Wizara ya Afya Yaonya Wakenya Dhidi ya Matumizi Hatari ya Dawa Hiyo

    Wizara ya Afya nchini Kenya imewaonya wananchi dhidi ya kutumia dawa ya cetirizine kwa lengo la kuboresha tendo la ndoa, kufuatia madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa dawa hiyo inaweza kupunguza unyevunyevu na kufanya uke kuwa mbana zaidi. Akizungumza Jumatano, Novemba 4, 2026...
  15. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya ardhi yalenga kuwa kinara wa uandaaji ramani Afrika

    DODOMA: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inalenga kuijengea uwezo endelevu Tanzania kuandaa na kuhuisha ramani za msingi, ili kujitegemea katika huduma hizo na hatimaye kuzitoa kwa nchi nyingine za Afrika. Hayo yamesemwa leo Novemba 3, 2026 jijini Dodoma na Kamishna wa Ardhi, Bw...
  16. A

    KERO Wizara ya Afya mbona mpo kimya kutoa mrejesho kwa Waombaji wa kushiriki CPHIA nchini Ethiopia?

    Lalamiko langu linahusu Wizara ya Afya kuhusu ukosefu wa mrejesho kwa waombaji waliofanikiwa kupata nafasi ya kushiriki Kongamano la CPHIA litakalofanyika nchini Ethiopia mwezi Novemba. Wizara ilitoa tangazo la fursa hiyo na kueleza kuwa waombaji watakaofanikiwa kuchaguliwa watagharamiwa na...
  17. Palac

    Ningeshauri wizara ya habari sanaa na utamaduni tuwaalike MANCHESTER UNITED nyumbani ili kuchuana na TAIFA STARS katika kipindi hiki kama KENYA.

    | ARSENAL NA MANCHESTER UNITED KUTUA TANZANIA? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu za Arsenal na Manchester United kwa ajili ya uwezekano wa kuandaa mchezo mkubwa wa kirafiki nchini Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo...
  18. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Jengo la Ofisi ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ni moja ya majengo ambayo yamesanifiwa na kujengwa kwa ubora na muonekano maridhawa katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Jengo hili limejengwa kwa usanifu wa kisasa wa ghorofa lenye muonekano wa kuvutia ambao kwa pamoja na...
  19. A

    HOJA Wizara ifanye uchunguzi malalamiko ya Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS)

    Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS) tunaomba msaada wa Wizara ya Afya kutokana na changamoto tunazokabiliana nazo chini ya uongozi wa chuo chetu. Tunadai stahiki za watumishi wanaosafiri kikazi, hazilipwi, Kiongozi wetu mkuu na Mtu wa Fedha wakitajwa kujilipa katika...
  20. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya ardhi yatekeleza ombi la wananchi wa Bagamoyo kuoneshwa mipaka ya maeneo yao

    BAGAMOYO, PWANI Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, leo tarehe 21 Oktoba 2026, imetekeleza ombi la wananchi wa Bagamoyo, mkoani Pwani, la kuoneshwa mipaka ya maeneo yao yaliyopo katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Sanzale, wilayani humo. Akisimamia na kuelekeza utekelezaji wa zoezi...
Back
Top Bottom