tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. U

    HOJA Changamoto za kuhamisha Mikopo ya HESLB: Je, mifumo yetu ya Kidijitali inazingatia uhalisia wa maisha ya Wanafunzi?

    Naomba suala hili lijadiliwe kwa upana, si kama changamoto yangu binafsi pekee, bali kama tatizo linaloweza kuwaathiri wanafunzi wengine wanaotegemea mikopo ya elimu ya juu ili kuendelea na masomo. Mimi ni mwombaji wa mkopo wa HESLB kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Nilichaguliwa katika chuo...
  2. Angalizo: muhimu Ukiwa kenya na Uganda au ukawa nchi ya Karibu na Tanzania kuwa makini zaidi

    Kama ni mkosoaji wa serikali Uko kenya au uganda ambako ni rahisi wajamaa kufika kaa kwa makini sana , Maana kwao sasa ni advantage Wakikuulia nchi ya watu Hakuna sehemu nchi itawajibika, kwa kivuli cha kwamba hakuwa nchini hivo tanzania hatuhusiki, au ukiingia nchi usitumie njia za panya au...
  3. B

    Job Opprtunities in Tanzania, November 2026

    Explore the latest 1446 Jobs in tanzania, November 2026 Apply For the 1446 jobs Found in tanzania on this November 2026. Explore various jobs from various companies. Herocean Enterprises (T) Ltd, Tanzanite Experience Limited, United Bank for Africa (UBA) Tanzania, United Bank for Africa (UBA)...
  4. Tanzania kuwa mwenyeji wa Mikutano ya Mkataba wa mabadiliko ya Tabianchi Februari 2027

    Tanzania imesaini mkataba wa uenyeji wa mikutano ya mkataba wa mabadiliko ya tabianchi, Itifaki ya Kyoto na makubaliano ya Paris (UNFCCC) itakayokuwa ikifanyika Barani Afrika. Tukio hilo ambalo ni la kihistoria, limeifanya Tanzania kuwa nchi pekee kusini mwa jangwa la Sahara kupata fursa hiyo...
  5. E

    Siasa za Tanzania zimeshavuka vyama, Maridhiano yanahitaji Wafanyakazi, Wasomi, Azaki, Wanaharakati, Wananchi

    Hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuanzisha upya mazungumzo na vyama vya siasa, huku akiahidi kuanza mchakato wa marekebisho ya Katiba na maridhiano ya kitaifa, imeibua mjadala mpana kuhusu makundi yanayopaswa kushiriki katika kutafuta suluhu ya changamoto zinazoikabili Tanzania. Soma pia...
  6. Civilian-Coin aahidi kulipa Posho ya Elfu 5 Kila mwezi kwa Kila Mtanzania akiwa RAIS wa Tanzania

    Waandishi wa gazeti hili wamehojiana na Wananchi wa vyama mbalimbali juu ya RAIS ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa awe na sifa Gani? wengi wamesema kuwa wamechoshwa na maandamano ya CHADEMA yasiyo zaa matunda, wengine hawataki CCM maana haina dira ya kumkomboa Mtanzania mmoja mmoja...
  7. Tanzania Sets Stage for Constitutional Reform with Planned Reconciliation Commission

    Tanzania enters a decisive phase as President Dr. Samia Suluhu Hassan accelerates plans to establish a national Commission for Reconciliation and Mediation to lay the groundwork for amending the country's Constitution. In a high-level meeting at the State House in Dar es Salaam on Monday...
  8. KERO Walemavu wa Kusikia Tanzania Wadai Wakalimani wa Lugha ya Alama Hospitalini Ili Kupata Huduma kwa Ufanisi

    Kwa Marietha Jonas, miaka 24, kwenda hospitalini kutafuta matibabu si jambo rahisi. Mbali na kusubiri kwa muda mrefu, anakabiliwa na changamoto ya kueleza hali yake kwa wahudumu wa afya kutokana na ukosefu wa wakalimani wa lugha ya alama katika vituo vingi vya kutolea huduma za afya. Marietha...
  9. TUTATOKAJE HAPA TULIPOFIKA?

    Tanzania ni nchi masikini lakini tangu kuasisiwa kwake imekuwa ni nchi bora kwa umoja na mshikamano. Kwa umasikini wao siku zote wamekuwa wakishikamana kwa upendo. Wakiombana chumvi hadi chakula kwa upendo mwingi. Wameshirikiana kwenye misiba na sherehe Dini zao hazikuwafanya wachukiane wala...
  10. TUTATOKAJE HAPA TULIPOFIKA?

    Tanzania ni nchi masikini lakini tangu kuasisiwa kwake imekuwa ni nchi bora kwa umoja na mshikamano. Kwa umasikini wao siku zote wamekuwa wakishikamana kwa upendo. Wakiombana chumvi hadi chakula kwa upendo mwingi. Wameshirikiana kwenye misiba na sherehe Dini zao hazikuwafanya wachukiane wala...
  11. Naona anayekuja kumrithi Diamond kwa kujulikana Tanzania na duniani ni mimi

    Hii ni affirmation.. Mtake msitake, am the next big thing Wacha nisiongee sana. Ila ndio hivyo.. I'm gonna be knowned all over the world by 2040. God, is King, he showed me the vision and am gonna make it happen.
  12. Hivi ndivyo itakavyokuwa ikiwa Rais wa Urusi atafanya ziara nchini Tanzania

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin, hapandi tu ndege na kufikia hotelini. Kila safari yake ni operesheni ya kijeshi na kiintelijensia. Endapo angetua Dar es Salaam, hivi ndivyo itifaki ya ulinzi wake ingetekelezwa nyuma ya pazia: Miezi kadhaa kabla, Moscow na Dodoma zinakamilisha itifaki za...
  13. M

    Mbowe na Zitto kupotea kwenye siasa za Tanzania kumeleta mafanikio makubwa kwa CHADEMA

    Kwa ujumla Mbowe na Zitto Kabwe walirudisha nyuma mapambano dhidi ya CCM. Walikuwa vibaraka wabaya sana ambao walikuwa after pay tu. Walilipwa ili kuisadia CCM ikae madarakani. Tangu watu wamewadharau na kutopewa kipaumbele kwenye siasa za hapa Tanganyika Chadema kama chama cha upinzani...
  14. G

    Majina haya kwenye tangazo hili yakupa picha gani kwa Tanzania ya sasa?

  15. TNA: ONYO TETEMEKO LA BURUDANI, ITAYOAMBATANA NA KIJIMVUA KIDOGO CHA ELNINO ISIYO UMIZA, KUITIKISA TANZANIA IJUMAA HII

    Ijumaaa hii, tar 20 nov 2026, saa 11 alfajiri, Hakikisha una akiba ya bando la kutoushaaaa ndani, hakuna kutoka mzeer, 🛌🛌💃🕺🕺🕺 mzuka sana hallo ooo, lile saniii la kimataifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kwa stageeeeeeeeeeeeeeeeee its ZACHARIANO ALEXIDO jr🇹🇿 Nb, huyu ni mbongo, mwenye DNA ya tanzania na...
  16. J

    HOJA Kuimarisha utaratibu wa ajira kwa wauguzi kulingana na kiwango cha elimu

    Naomba Serikali kupitia Wizara ya Afya na mamlaka zinazohusika na ajira za afya zifuatilie changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wahitimu wa Shahada ya Uuguzi (Nurse Degree). Kwa sasa, nafasi nyingi ambazo zingehitaji wataalamu wenye shahada ya uuguzi zinadaiwa kutolewa kwa wahitimu wa...
  17. Marasta Tanzania wanaruhusiwa kutumia bangi kwenye ibada zao ?

    Bangi katika imani ya Rastafarian ni sacrament takatifu ya kuwawezesha binadamu kuwa karibu zaidi na mungu, huwa inavutaa katika Ibada kuleta Hali ya kujiunganisha zaidi katika uwepo wa Jah Kwa Marasta bangi pia ni mmea Mtakatifu kutumika kama sadaka kwa Jah, mboga na dawa ili kuboresha maisha...
  18. Kwanini Kamari inaruhusiwa Tanzania?

    Tanzania biashara ya kamari ni kubwa sana mpaka wacheza kamari wamekuwa kama Taaluma kabisa watu wanaojipatia kipato chao cha kudumu kupitia kamari wakijiita "wakamaria" Ninavyofahamu kamari ni jambo haramu kwa dini zote mbili za Uislamu na Ukristo, kwa nini imeruhusiwa na haijapigwa marufuku...
  19. Nachukia sana Kabila nililozaliwa Tanzania, nikabila la hovyo linalonyanyasa na kudharau wote wasiokuwa na uwezo wa fedha, nimejitenga nalo

    Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
  20. Nachukia sana Kabila nililozaliwa Tanzania, nikabila la hovyo linalonyanyasa na kudharau wote wasiokuwa na uwezo wa fedha, nimejitenga nalo

    Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…