Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Tanzania imesaini mkataba wa uenyeji wa mikutano ya mkataba wa mabadiliko ya tabianchi, Itifaki ya Kyoto na makubaliano ya Paris (UNFCCC) itakayokuwa ikifanyika Barani Afrika.
Tukio hilo ambalo ni la kihistoria, limeifanya Tanzania kuwa nchi pekee kusini mwa jangwa la Sahara kupata fursa hiyo...
Hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuanzisha upya mazungumzo na vyama vya siasa, huku akiahidi kuanza mchakato wa marekebisho ya Katiba na maridhiano ya kitaifa, imeibua mjadala mpana kuhusu makundi yanayopaswa kushiriki katika kutafuta suluhu ya changamoto zinazoikabili Tanzania.
Soma pia...
Waandishi wa gazeti hili wamehojiana na Wananchi wa vyama mbalimbali juu ya RAIS ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa awe na sifa Gani? wengi wamesema kuwa wamechoshwa na maandamano ya CHADEMA yasiyo zaa matunda, wengine hawataki CCM maana haina dira ya kumkomboa Mtanzania mmoja mmoja...
Tanzania enters a decisive phase as President Dr. Samia Suluhu Hassan accelerates plans to establish a national Commission for Reconciliation and Mediation to lay the groundwork for amending the country's Constitution.
In a high-level meeting at the State House in Dar es Salaam on Monday...
Kwa Marietha Jonas, miaka 24, kwenda hospitalini kutafuta matibabu si jambo rahisi. Mbali na kusubiri kwa muda mrefu, anakabiliwa na changamoto ya kueleza hali yake kwa wahudumu wa afya kutokana na ukosefu wa wakalimani wa lugha ya alama katika vituo vingi vya kutolea huduma za afya.
Marietha...
Tanzania ni nchi masikini lakini tangu kuasisiwa kwake imekuwa ni nchi bora kwa umoja na mshikamano.
Kwa umasikini wao siku zote wamekuwa wakishikamana kwa upendo.
Wakiombana chumvi hadi chakula kwa upendo mwingi.
Wameshirikiana kwenye misiba na sherehe
Dini zao hazikuwafanya wachukiane wala...
Tanzania ni nchi masikini lakini tangu kuasisiwa kwake imekuwa ni nchi bora kwa umoja na mshikamano.
Kwa umasikini wao siku zote wamekuwa wakishikamana kwa upendo.
Wakiombana chumvi hadi chakula kwa upendo mwingi.
Wameshirikiana kwenye misiba na sherehe
Dini zao hazikuwafanya wachukiane wala...
Hii ni affirmation..
Mtake msitake, am the next big thing
Wacha nisiongee sana.
Ila ndio hivyo..
I'm gonna be knowned all over the world by 2040.
God, is King, he showed me the vision and am gonna make it happen.
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, hapandi tu ndege na kufikia hotelini. Kila safari yake ni operesheni ya kijeshi na kiintelijensia. Endapo angetua Dar es Salaam, hivi ndivyo itifaki ya ulinzi wake ingetekelezwa nyuma ya pazia:
Miezi kadhaa kabla, Moscow na Dodoma zinakamilisha itifaki za...
Kwa ujumla Mbowe na Zitto Kabwe walirudisha nyuma mapambano dhidi ya CCM.
Walikuwa vibaraka wabaya sana ambao walikuwa after pay tu. Walilipwa ili kuisadia CCM ikae madarakani.
Tangu watu wamewadharau na kutopewa kipaumbele kwenye siasa za hapa Tanganyika Chadema kama chama cha upinzani...
Ijumaaa hii, tar 20 nov 2026, saa 11 alfajiri, Hakikisha una akiba ya bando la kutoushaaaa ndani,
hakuna kutoka mzeer, 🛌🛌💃🕺🕺🕺
mzuka sana hallo ooo, lile saniii la kimataifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kwa stageeeeeeeeeeeeeeeeee its
ZACHARIANO ALEXIDO jr🇹🇿
Nb, huyu ni mbongo, mwenye DNA ya tanzania na...
Naomba Serikali kupitia Wizara ya Afya na mamlaka zinazohusika na ajira za afya zifuatilie changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wahitimu wa Shahada ya Uuguzi (Nurse Degree).
Kwa sasa, nafasi nyingi ambazo zingehitaji wataalamu wenye shahada ya uuguzi zinadaiwa kutolewa kwa wahitimu wa...
Bangi katika imani ya Rastafarian ni sacrament takatifu ya kuwawezesha binadamu kuwa karibu zaidi na mungu, huwa inavutaa katika Ibada kuleta Hali ya kujiunganisha zaidi katika uwepo wa Jah
Kwa Marasta bangi pia ni mmea Mtakatifu kutumika kama sadaka kwa Jah, mboga na dawa ili kuboresha maisha...
Tanzania biashara ya kamari ni kubwa sana mpaka wacheza kamari wamekuwa kama Taaluma kabisa watu wanaojipatia kipato chao cha kudumu kupitia kamari wakijiita "wakamaria"
Ninavyofahamu kamari ni jambo haramu kwa dini zote mbili za Uislamu na Ukristo, kwa nini imeruhusiwa na haijapigwa marufuku...
Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani
Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani
Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
https://youtu.be/KuUO1ItbOUU
Habari zenu Wana-JF.
Mara nyingi kukiwa na mjadala wa kiuchumi Afrika Mashariki, ubishi unakuwa kati ya Tanzania na Kenya. Lakini vipi tukiziweka nchi tano za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Burundi) kwenye mizani moja kwa kutumia takwimu za...
Wakati mwingine siasa nikama mchezo wa Paka na Panya huwezi hata kupata sababu nyingi za kukosolewa Hayati Dkt Magufuli kwenye ununuzi wa ndege za Air Tanzania
Sijajua walimaanisha nini pengine walitaka Shirika la ndege la Air Tanzania kukosa hata ndege moja ya abiria
Inawezekana ukosoaji...
Ni kwa sababu ya uchumi mzuri ?
Wateja/watumiaji wengi ?
Ni rahisi kufikika ?
Ni rahisi kuificha biashara yenyewe na wanaoifanya maeneo hayo ?
Hapa sizungumzii bangi na mirungi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.