Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Dar es Salaam, 14 Novemba 2026: Benki ya Exim Tanzania imetumia tamasha la Twende BBM Festival 2026 kuwasogezea madereva wa bodaboda, bajaji na magari huduma za kifedha zinazolenga kurahisisha shughuli zao za kila siku na kulinda vyanzo vyao vya kipato, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha...
Tanzania's tax dispute resolution system depends not only on the correct interpretation of tax laws but also on consistency, fairness and respect for judicial hierarchy.
The doctrine of precedent (stare decisis) plays an important role in ensuring that similar legal questions are determined...
IQ kubwa inapimwa na output leo ukifa mtoto aliyezaliwa mwaka 2040 atakuwa inspired na maisha yako
Tanzania watu wenye akili wapo wengi sana tatizo hatujapata watu watakaoleta mabadiliko makubwa ndo maana bado ni maskini
Wako wanaojaribu ila bado hawajafanikiwa kuwa kwenye group la watu wenye...
Tanzania imetajwa miongoni mwa nchi kumi za Afrika zinazofanya vibaya katika eneo la uhuru wa kidijitali, baada ya kupata alama 27.3 kati ya 100 katika Ripoti ya Faharasa ya Ibrahim ya Utawala Bora Barani Afrika (IIAG) ya mwaka 2026.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Tanzania imeshika nafasi ya 46...
Tanzania imesisitiza na kuweka msimamo wa matumizi ya rasilimali za gesi asilia na makaa ya mawe katika shughuli za kijamii na kiuchumi badala ya kutegemea nishati ya mafuta ikiwa ni hatua mbadala ya kukabiliana na ongezeko la gesi joto.
Msimamo huo umetolewa Novemba 21, 2026 na Katibu Mkuu...
Ukitazama takwimu rasmi za mfumuko wa bei kwa mwezi Oktoba 2026 katika nchi tano za Afrika, picha inaonekana hivi:
Tanzania (Bara): 4.2%
Uganda: 5.8%
Kenya: 7.3%
Nigeria: 14.06% (14.1%)
Rwanda (Mijini): 19.5%
https://youtu.be/yW8k807JsTs
Kwa jicho la haraka, unaweza kusema maisha ni rahisi...
Vision ya CCM sio kuiendeleza nchi wala sio kuiendeleza CCM na wanachama wake bali ni kukitumia chama kujinufaisha kwa baadhi ya watu, angalau Magufuli alionekana ana vision na nchi ila njia alizotumia zilikuwa sio sahihi.
Familia chache sana zinanufaika nazo ni za kuhesabu, hazijali wananchi...
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay kutachochea biashara na ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania, Malawi na Msumbiji, kupitia kurahisisha usafirishaji wa mizigo na abiria katika Ziwa Nyasa.
Amesema Serikali imewekeza...
NADHARIA YA ELIMU YA PLATO NA ELIMU YETU YA TANZANIA--- Fr.Dr.Shukrani Mbirigenda( UDSM-Institute of Development Studies(DS)
UTANGULIZI
Plato ni mwanafalsafa wa Kigiriki aliyeishi miaka 400 kabla ya Kristu. Katika kuzungumzia nadharia ya elimu, Plato aliwahi kusema kuwa watu ndani ya jamii...
Maridhiano katika mataifa yote huwa yanafanyika pale ambapo kumekuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe, mauaji makubwa ya kimbari (genocide), mapinduzi, waasi, mapambano ya silaha au machafuko makubwa ya kisiasa yaliyodumu muda mrefu yakileta shida kubwa kwa matajiri na watawala.
Sasa jiulize...
Kila siku tunasikia kilio cha ndugu zetu wa Bodaboda na Bajaji wakilalamikia makato makubwa (commission) kutoka kwenye hizi app za usafiri za nje.
Wanafanya kazi kubwa juani na mvua, lakini jasho lao linaishia kwenye makato yanayoenda Bolt
Vijana wetu wa IT wa Tanzania, mnakwama wapi? au ndio...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Karibu sana mnitukane baada ya kumaliza kuisoma thread hii, ila huu ndio ukweli nyie wadogo zangu wa 2000s. Kama Siasa haikuingizii pesa, do it moderately. Abandom activism. Abandon insults and name calling.
Usiwe mjinga ukapigwa virugu na Police kwa mtu ambaye hata...
Kuna haja kubwa hivi sasa hapa nchini Tanzania kuwa na mijadala ya kina kuhusu uwepo wa fursa ya kutengeneza fedha nyingi kupitia kupunguza hewa ya ukaa duniani kupitia "carbon credit". Lazima nimsifu John Heche ambaye mara kwa mara amekuwa akizungumzia jambo hili katika majukwaa mbalimbali ya...
Biashara kati ya Kenya na Tanzania ilishuka kwa 9.4% mwaka jana hadi Ksh 114.1 Bilioni (kutoka rekodi ya Ksh 125.9 Bilioni). Katika kiasi hicho, Kenya iliuza bidhaa za Ksh 63.6 Bilioni kwenda Tanzania na kununua bidhaa za Ksh 50.5 Bilioni kutoka Tanzania. Cha kushangaza, takriban 70% ya anguko...
Jude Bellingham anakadiriwa kulipwa kati ya €3 milioni hadi €5 milioni (takriban Dola za Marekani milioni 3.2 hadi 5.4) kwa kampeni yake mpya ya kutangaza chupi za Calvin Klein, huku akivuna jumla ya takriban Dola za Marekani milioni 15 hadi 16 kwa mwaka kutokana na mikataba yote ya matangazo...
Mwaka 2024, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulirekodi kupokea kilo 19,171 za dhahabu kutoka Tanzania. Takwimu za Tanzania zinaonyesha kilo 6,103 tu zilizouzwa UAE mwaka huo. Kilo 13,068 hazionekani kwenye kumbukumbu zetu za mauzo nje.
Takwimu hizi zimo kwenye ripoti mpya ya shirika la Uswisi la...
Wanabodi,
Utangulizi wa Facts Kuhusu Katiba Tanzania.
Je Wajua Tangu Tupate Uhuru, Tanzania hatujawahi kuwa na katiba ya Wananchi?
Je Wajua Katiba hii iliyopo ya Tanzania ya Mwaka 1977 ni Katiba ya CCM?
Je Wajua Katiba hii ni ya Mfumo wa Chama Kimoja CCM, Toka Enzi za Chama Kushika Hatamu...
ccm
chama
chama kimoja
fikirishi
hapo
hii
inahitaji
kati
katiba
katiba mpya
katiba ya ccm
marekebisho
marekebisho ya katiba
mpya
mwaka
sio
swali
swali fikirishi
tanzania
vingi
vyama
vyama vingi
wananchi
watanzania
Hayo ni maono yangu
Kwa sasa ni miongoni mwa Watendaji wenye uwezo mkubwa achilia mbali uadilifu
Nicholas Merinyo Mkapa (also spelled Nicholaus) is a Tanzanian public servant and lawyer serving as the Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Communication and Information Technology...
Kila tukisikia taarifa za Deni la Taifa, namba zinazotajwa zinatisha: Kenya inadaiwa takriban Dola Bilioni 100, Tanzania Dola Bilioni 43, na Uganda Dola Bilioni 37. Lakini wachumi wanasema jumla ya deni pekee haiwezi kukuambia kama nchi imezidiwa au la.
https://youtu.be/d0bonWJ1bw4
Uchambuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.