tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Zack Abdul

    Tanzania Sets Stage for Constitutional Reform with Planned Reconciliation Commission

    By Our Correspondence, Dar es salaam Tanzania enters a decisive phase as President Dr. Samia Suluhu Hassan accelerates plans to establish a national Commission for Reconciliation and Mediation to lay the groundwork for amending the country's Constitution. In a high-level meeting at the State...
  2. H

    Tanzania na Finland Kuimarisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kidiplomasia

    Tanzania na Finland Kuimarisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kidiplomasia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Finland, Mhe. Elina Valtonen. Mazungumzo hayo yamejikita katika...
  3. H

    TANZANIA NA SWEDEN KUIMARISHA UBIA WA KIUCHUMI

    TANZANIA NA SWEDEN KUIMARISHA UBIA WA KIUCHUMI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden, Mhe. Maria Malmer Stenergard kuangazia masuala ya ushirikiano wa uwili baina ya nchi...
  4. leroy

    Ghana, Zambia na Ethiopia Zilishindwa Kulipa Madeni (Default): Je, Hili Linaweza Kutokea Kenya, Tanzania au Uganda? (Vipimo 5 vya 2026)

    Kila mjadala wa deni la taifa unapoibuka, swali kubwa huwa moja: Je, nchi zetu za Afrika Mashariki zinaweza kufikia hatua ya kushindwa kulipa madeni yake (Sovereign Default) kama ilivyotokea Ghana na Zambia? Kwanza tuelewe maana yake: Sovereign Default hutokea serikali inaposhindwa kulipa deni...
  5. bless on

    Hii ndo kazi ya hatari zaidi hapa Tanzania

    Duniani kote, takwimu zinaonesha kuwa ukataji miti na uvuvi wa baharini ndizo kazi hatari zaidi. Lakini hapa kwetu Tanzania, moja ya kazi zenye hatari kubwa zaidi ya kupoteza maisha ipo ardhini kwenye uchimbaji mdogo wa madini. Kuanzia machimbo ya dhahabu kule Geita, Kahama na Mara, hadi...
  6. Yoda

    Tanzania na Zimbabwe zimefanana sana

    Tanzania na Zimbabwe zimekuja kufanana sana kama mapacha!
  7. Mad Max

    FT: Brazil 1-0 Tanzania | 2026 FIFA U-17 Word Cup Qatar | 24 November 2026

    Leo Brazil chamoto watakiona..
  8. S

    Jambo moja la msingi sana nimetambua kuhusu mustakabali wa siasa na uongozi wa Tanzania na Watanzania wenyewe

    Kwamba aidha kiongozi mwanasiasa anakuwa ni mjinga sana au sisi Watanzania wote ni wajinga sana. Lazima mojawapo kati ya hayo mawili liwe kweli. Sio rahisi yote mawili yawe kweli au kutokuwa kweli kwa wakati mmoja.
  9. O

    Mahakama Yamtaka Mkuu wa DCI Kufika Kortini Kuhusu Kutoweka kwa Mwanaharakati wa Tanzania

    Mahakama Kuu imeagiza Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kufika mahakamani Desemba 3, 2026 kueleza hatua zilizopigwa katika uchunguzi wa kutoweka kwa mwanaharakati wa Tanzania, Twaha Mwaipaya. Agizo hilo lilitolewa na Jaji Alexander Muteti, ambaye alimtaka mkuu huyo wa DCI...
  10. Roving Journalist

    Tanzania yaunga mkono Mapendekezo ya EAC kuimarisha ulinzi na Usalama wa Kanda

    Tanzania imeunga mkono mapendekezo ya kuimarisha ushirikiano wa ulinzi na usalama miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ikisisitiza umuhimu wa maamuzi ya kimkakati yatakayosaidia kukabiliana na vitisho vya kiusalama na kudumisha amani na utulivu katika ukanda huo...
  11. Wizara ya Ardhi

    Serikali kuanzisha mamlaka ya milki Tanzania

    Serikali iko mbioni kuanzisha Mamlaka ya Milki Tanzania kwa lengo la kuimarisha usimamizi, udhibiti na uendelezaji wa sekta ya milki nchini. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, amebainisha hayo leo Novemba 23, 2026, jijini Dar es Salaam, wakati wa kikao kazi...
  12. C

    Samia: Vifo vya wajawazito Tanzania vimeshuka hadi 75 kwa 100,000

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema vifo vya wajawazito Tanzania vimepungua hadi 75 kwa kila vizazi hai 100,000, kutoka 104 vilivyorekodiwa mwaka 2022, hatua inayoonesha maendeleo katika kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto. Akizungumza leo, Jumatatu, Novemba 23, 2026, jijini...
  13. Traxtion

    HOJA Tanzania inapaswa kupiga marufuku mikorogo

    Tanzania hakuna Racism lakini kuna colourism ya kufa mtu. Jamii inafundisha wanawake kwenye ngozi nyeusi zaidi kuchukia ngozi zao na kutaka kuwa light skinned. Hii ni dhihaka kwa ngozi ya Kiafrika. Ngozi nyeusi sio rangi tu, ni identity yetu. Watu weusi ndio original inhabitants wa hii ardhi...
  14. lord atkin

    Ifike hatua kipimo cha "VIDOLE VIWILI UKENI" kipigwe marufuku nchini Tanzania

    Kwanini madaktari waruhusiwe kuwaingiza vidole ukeni wanawake eti wanawapima? Hivi hatuna vipimo vingine vya kisasa zaidi ya hii "Two fingers test"?. Unakuta binti amebakwa unampeleka hospitali naye Daktari anamuingiza vidole ukeni eti anampima kama ameingiliwa. Sasa najiuliza huyu binti atakuwa...
  15. C-C Digital Pro

    Jeshi la Polisi kufutwa kabisa na CIVILIAN-COIN na kuanzisha DBS ya Wananchi siku akiwa RAIS wa Tanzania

    Msanii wa music nchini Tanzania anayewakilisha nchi hiyo Kimataifa katika sanaa ya muziki na Uandishi, hivi karibuni alitangaza nia ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mgombea binafsi, Civilian-Coin Nalimi Kisandu amesema akiwa Rais wa Tanzania atafuta na kuondoa kabisa...
  16. J

    VIDEO: Tazama David Kafulila Akieleza Jinsi PPPs Inavyoweza Kuihami Tanzania Dhidi ya Migogoro[Crisis] za Kiuchumi Duniani

    Wasalaam Jf, Ukweli ni kwamba huyu jamaa anajua sana Uchumi. 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 PPP INAWEZAJE KUTULINDA DHIDI YA MISUKOSUKO YA UCHUMI WA DUNIA? Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, Bwana David Kafulila, anasema, PPP Centre na mfumo mzima wa PPP vinalisaidiaje Taifa pale dunia inapokumbwa na misukosuko mikubwa...
  17. Pre International School

    Better Educational Service's In Tanzania

    DO YOU WANT YOUR CHILD TO EXCEL ACADEMICALLY? Are you looking for a qualified, experienced, patient and dedicated private tutor to support your child's learning and academic development? ELITE HOME TUITION provides professional home-based educational services, bringing quality learning...
  18. Traxtion

    Jinsi Dodoma inavyojengwa ndio ilipaswa majiji yote Tanzania yajengwe vile

    NB: Sisemi kuwa Dodoma imejengwa vizuri ila nasema kuwa inajengeka kwa speed na serikali inapazingatia kuliko miji mingine. Treatment inayopata Dodoma ndio ilipaswa ifanywe kwenye majiji mengine pia Dodoma wanajenga barabara za njia nne hadi mitaani huko, kwenye mitaa chipukizi. Serikali...
  19. Twelve1212

    PENDEKEZO: Kuanzisha "Mfumo wa Uwajibikaji wa Pamoja na Usawazishaji wa Rasilimali Watu" katika Uhamisho wa Watumishi wa Umma

    PENDEKEZO LA KISERA: Kuanzisha "Mfumo wa Uwajibikaji wa Pamoja na Usawazishaji wa Rasilimali Watu" (Shared Responsibility & Cross-Subsidization Model) katika Uhamisho wa Watumishi wa Umma Habari za majukumu wakuu, Kwanza, tunapaswa kuipongeza Serikali kwa hatua kubwa iliyopiga katika kuimarisha...
  20. C

    Ripoti:Tanzania miongoni wa nchi 10 Afrika zenye ufasaha wa lugha kiingereza

    Tanzania imekuwa katika orodha ya kumi bora ya nchi zenye ufasaha wa lugha ya Kiingereza Afrika kwa mwaka 2026. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya kimataifa ya kila mwaka inayopima kiwango cha umahiri wa lugha ya Kiingereza miongoni mwa watu wazima katika kila nchi iliyofanywa na Education First...
Back
Top Bottom