Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kuna mgodi jamaa anaujenga wilayani kwa DC Nikki wa Pili.
Kawekeza bilioni kumi kwa kuanzia, mpango ni kuongeza mpaka bilioni 100 ndani ya miaka 3.
Kwa sisi wataalam wa biashara tunajua kabisa mfanyabiashara huwa anawekeza sio zaidi ya 10% ya hela yake kwenye madini, kwa sababu ya risk. Kwa...
Kuna hii Hombolo Thematic Satellite City (HOTSAC) imetoka recently, ikionesha jinsi huu mji wa Hombolo utakavyokua.
Pamoja na vitu kibao vitakavyokuwepo, basi na racing circuit viwango vya FIA itakuwepo.
🔥🔥🔥
Kwenye miji mikubwa Tanzania sikuhizi imekuwa kawaida sana kusikia wakazi kwenye miji hiyo wakisifia "Mtaa fulani watu wanajenga sana", na ni kweli ukienda hiyo mitaa utaona Watanzania wanajitahidi kujenga.
Lakini mitaa hii ina shida za miundombinu bado, kwa sababu asilimia kubwa ni ardhi tu...
Dar es Salaam. Shirika lisilo la kiserikali la UWEZO Tanzania limekaribia kukamilisha zoezi la tathmini ya ujifunzaji kwa watoto kwa mwaka 2026, linalohusisha kaya 23,052 katika maeneo 1,151 ya kuhesabia watu Tanzania Bara na Zanzibar.
Tathmini hiyo inayolenga kupata picha halisi ya uwezo wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuondoka nchini leo, Novemba 10, 2026, kuelekea jijini Antalya, Uturuki, kuhudhuria Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31).
Kwa mujibu wa taarifa...
Mwongozo kwa vijana na wajasiriamali wanaotaka kuanzisha biashara ya upigaji picha na kuikuza hatua kwa hatua.
1. Utangulizi: Je, biashara ya Photo Studio inalipa?
Katika kipindi hiki ambacho picha zinatumika kwenye biashara, ajira, mitandao ya kijamii na matukio mbalimbali, upigaji picha...
Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao.
Kamanda wa...
Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao.
Kamanda wa...
Huenda ilikua mabadiliko ya sera za "RUKSA" ila Mikoa hasa ya kanda ya ziwa watoto yatima walikua ni wengi na mpaka leo wengi hawajawapata wazazi wao.
Ilo giza la kuvurugika kwa jamii limeathiri jamii nyingi mpaka leo watoto hao wengi wamekua ila wanaishia kuacha watoto yatima tena
Nini kifanyike?
Ni mwezi sasa kipindi chenu cha Jambo Tanzania cha kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 3 asubuhi haipatikani tena kupitia Youtube, vipi imekuwaje? TBC ni chombo cha umma kinatakiwa kipatikane kupitia njia zote za kielectoniki na za kawaida. Acheni UZEMBE!
Tanzania inazalisha tani 260,000 za mabati kwa mwaka dhidi ya mahitaji ya ndani ya tani 130,000, sawa na uzalishaji unaozidi mahitaji kwa mara mbili.
Hali hiyo inahusishwa na hatua za kulinda viwanda vya ndani kupitia kuongeza ushuru wa mabati yanayoagizwa kutoka nje kutoka asilimia 10 hadi 35...
Waandishi wa habari wa Tanzania wanaongozwa na Balile?
Uongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
Mwaka 2016 alichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa TEF.
Mwaka 2021 alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa TEF.
Tarehe 5 Aprili 2025 alichaguliwa tena kuwa Mwenyekiti kwa kipindi kingine cha miaka minne.
Kwa utulivu wa fikra,
elezea nafasi ya mahakama huru ya Tanzania katika kuimarisha na kuchochea ustawi wa demokrasia, uhuru wa vyama vya siasa katika kufanya siasa nchini na katika kuhakikisha kwamba uchaguzi huru, wa haki na wa wazi unaendelea kufanyika kwa amani Tanzania na kwa kuzingatia...
Toka mmeanza mahusiano mpk yanakufa ni mizinga tu, hivi nyie wadada wa Kitanzania mnajitambua kweli? Jifunzeni kuwa na mindset tegemezi itawasaidia maishani, acheni cheap cheap things, utofauti wenu na matonya ni upi?
GANJI.
AISEE NIMEANGALIA HII TIMU SIJAJUA ATAKUTANA NA SIMBA AMA YANGA SIJAANGALIA
ILA WATAKAOKUTANA NAO JAMAN WAJIPANGE HAWAJAMAA HAWANA HURUMA KABISA
WAKO LAMA COMO YA 🇮🇹
KILA LA KHERI USM ALGER
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) kwa kushirikiana na kampuni ya ARiS Risk & Insurance Solutions wameanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 30 ya sekta ya bima tangu kufunguliwa kwa soko la bima kwa ushindani...
How to survive in Tanzania:
1. Sina
2. Sitoweza
3. Sitaki
4. Haitowezekana
5. Sijui
6. Asante
7. Sipo
Ukiweza kusimamia hii Utaishi maisha marefu yenye Furaha.
Humo kambini nyarugusu kuna vipaji vya kutisha , kwanzia muziki , mpira na hata uchekeshaji.
Hawa vijana wa kambini hawana uhuru kamili ila ukiwatazama , wana vipaji vikubwa na ujasiri mara kumi ya vijana wetu.
Kuna vijana wakibembe unaona kabisa wangepewa sapoti na serikali yetu...
Kifurushi kinalipiwa 28,000 kwa mwezi kwa ajili ya match mbili tu? Hapo bongo sijui wanawaza nini au mamlaka sinafanya kazi gani zipo zipo tu zinawaza upigaji, ligi mara ya mwisho imechezwa tarehe 2 Simba na Namungo, ila calendar ya fifa inaanza kesho tarehe 09/10 takribani siku 10 hakuna...
1/7
Watu wanasema Dodoma ni vumbi. Uongo. Dodoma ni mji pekee Tanzania unaopumua. Hakuna kelele za daladala, hakuna foleni za masaa 3, hakuna mafuriko ya Kariakoo. Ni utulivu unaokupa akili ya kufikiri.
2/7
Dodoma ni MJI WA SERIKALI kweli kweli. Barabara zake ni pana, safi, na zina taa. Pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.