Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Vijana wetu wa Serengeti Boys wapo Qatar wakishiriki Kombe la Dunia kwa vijana under - 17.
Hii ni fursa kwao kujitangaza Kimataifa na vile vile kuonesha ukomavu wapate Namba team ya Taifa Stars
FIFA U-17 World Cup imeanza Leo tar 19 Nov hadi 13 December, ikiwa na jumla ya team 48 na...
Hakuna watu wanapitia changamoto kama madereva wanaosafirisha mizigo kutoka bandarini dar kwenda nchi zinazozunguka tanzania.
Kiufupi unageuka muhanga sababu sio nchi yako,unyanyasaji wa serikali unapopita nchi hiyo,wizi wakutisha
Hakuna kuthaminiwa na bosi wala kampuni.
Kwa nini msiombe...
Watanzania hawaishi kwa kudra za Mungu, wanaishi kwa kudra za mtu mmoja tu, huyo tu ndio anaamua wewe kuishi au usiishi.
Kwa kifupi Tanzania tuna mungu wetu na wote tunamjua, kama unabisha, niambie huyo Mungu wako unayemuamin anashindwa nin kumzuia huyu Mungu wa kitanzania?
Mungu wa kitanzania...
Tanzania na Cuba zinaendelea kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kidiplomasia kwa kuendeleza fursa za uwekezaji, biashara na ushirikiano wa kiteknolojia. Ushirikiano huo unalenga sekta muhimu zikiwemo afya, elimu, kilimo, utalii, utafiti wa kisayansi na uzalishaji wa viwandani, huku ukifungua...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, anamwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania (TMIC 2026). Mkutano huo unafanyika kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba 2026...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limezindua rasmi nembo ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambayo itaandaliwa kwa pamoja na Kenya, Tanzania na Uganda.
Nembo hiyo imebeba taswira ya utamaduni na utambulisho wa Afrika Mashariki, ikiwa na rangi za bendera za mataifa hayo...
In recent years Tanzania kumekuwa na video za watu wengi sana ambazo zimevuja mitandaoni zikionesha wakiwa wanafanya ngono. Hapa siongelei porn acting/ porn industry, hapana. Naongelea video za wapenzi wawili wanaojirekodi wakifanya ngono na kisha mmojawapo anazipost mitandaoni na zinasambaa kwa...
Hivi huu muziki wa Tanzania una faida yoyote kwa wasanii ukiacha umaarufu tu wanaopata mtaani ?
Sijawahi kuona msanii ameugua ugonjwa mkubwa ambaye hajaomba msaada!
Unaweza kushangaa hata siku Diamond akiumwa naye akaomba msaada kuchangiwa matibabu.
Au Watanzania wote ni ombaomba tu kwa asili ?
Ukifuatilia habari za wanachuo Tanzania ulinganishe na habari za wanachuo wa nchi nyingine utagundua Tanzania bado ni nchi masikini na backward sana.
Habari kubwa za wanachuo Tanzania ni
1. Matumizi ya mkopo (Boom)
2. Ngono
3. Uchawa kwa watawala
Habari za wanachuo nchi nyingine ni
1...
awamu
awamu ya nne
bado
chuo
chuo kikuu
elimu
elimu ya
elimu ya chuo
habari
kikuu
kuingia
madarakani
masikini
nchi
nchi masikini
sana
tanzania
ubora
ubora wa elimu
utawala
wanachuo
Rwanda ni nchi ndogo yenye watu takriban milioni 14 tu na haina hata bahari wala bandari (landlocked). Lakini katika robo ya pili ya mwaka 2026, uchumi wake umekua kwa asilimia 9.4%! Wakati huohuo, kufikia Oktoba 2026, mfumuko wa bei mijini umefika asilimia 19.5%.
https://youtu.be/V09ooCmyH3o...
Ufafanuzi Kuhusu taarifa zilizosambaa juu ya zuio la ndege za nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kutua katika anga la Ulaya
"Kwanza ningependa Watanzania wajue kwamba habari ambayo imetrend hasa leo sio habari mpya. Hii ni taarifa iliyotokana na tathmini iliyofanywa na mamlaka za Umoja wa Ulaya...
WACHAMBUZI wengine support au kuchambua madam Kwa kupalilia wazo la SERIKALI je hao ni WACHAMBUZI kweli au uchwara maana kila nikiwasikiliza waliochambua jambo Huwa wanasuppott mtizamo wa watawala na kidogo wanajifany a kuweka kati
Nini tatizo lao wewe jaribu kuwasikiliza wengine ni kuunga...
Wanaounga mkono ni wale vilaza na wavivu wakufikiri, binafsi naunga mkono ila nanshangaa nipo pamoja na wale mazumbukuku na wasio na uelewa timamu 🤔
Kuna mda unafikiaria sana 😢, inakuake hili fuso letu la kazi isonge mbele wapo vilaza kuliko wenye akili timamu 🤔
Habari za wakati huu wakuu,
Jana niliangalia mahojiano kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, na mtangazaji mkongwe, Ndugu Salim Kikeke kupitia kituo cha Crown FM. Niliyaangalia mahojiano yale kwa mshangao mkubwa sana kutokana na namna mwandishi huyu mwenye jina kubwa...
Tovuti 10 Bora za Kutafuta Kazi Tanzania (2026)
Kupata kazi nchini Tanzania kunaweza kuwa changamoto, hasa kwa wahitimu wapya wa vyuo, wataalamu wenye uzoefu na watu wanaotafuta fursa bora za maendeleo ya kitaaluma. Kwa bahati nzuri, kuna majukwaa mbalimbali ya mtandaoni yanayowasaidia watafuta...
Tovuti 10 Bora za Kutafuta Kazi Tanzania (2026)
Kupata kazi nchini Tanzania kunaweza kuwa changamoto, hasa kwa wahitimu wapya wa vyuo, wataalamu wenye uzoefu na watu wanaotafuta fursa bora za maendeleo ya kitaaluma. Kwa bahati nzuri, kuna majukwaa mbalimbali ya mtandaoni yanayowasaidia watafuta...
Naomba suala hili lijadiliwe kwa upana, si kama changamoto yangu binafsi pekee, bali kama tatizo linaloweza kuwaathiri wanafunzi wengine wanaotegemea mikopo ya elimu ya juu ili kuendelea na masomo.
Mimi ni mwombaji wa mkopo wa HESLB kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Nilichaguliwa katika chuo...
Kama ni mkosoaji wa serikali
Uko kenya au uganda ambako ni rahisi wajamaa kufika kaa kwa makini sana , Maana kwao sasa ni advantage
Wakikuulia nchi ya watu Hakuna sehemu nchi itawajibika, kwa kivuli cha kwamba hakuwa nchini hivo tanzania hatuhusiki, au ukiingia nchi usitumie njia za panya au...
Explore the latest 1446 Jobs in tanzania, November 2026
Apply For the 1446 jobs Found in tanzania on this November 2026.
Explore various jobs from various companies. Herocean Enterprises (T) Ltd, Tanzanite Experience Limited, United Bank for Africa (UBA) Tanzania, United Bank for Africa (UBA)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.