Safari za ndege zasitishwa uwanja wa ndege Bujumbura

Safari za ndege zasitishwa uwanja wa ndege Bujumbura

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,567
Reaction score
5,983
Marekani,
Ufaransa,
Uingeleza na
Italy, ni nchi ambazo zimekwishatangaza kusitisha safari za ndege kuelekea uwanja wa Merchiol Ndadaye Internationa Airport huko Burundi.

Taarifa zilizopo zinadai ni kutokana na kutokuwa na uhakika wa usalama nchini hu,o, kutokana na mashambulizi yanayoandaliwa na kundi la M23.

Uwanja huu umekuwa ukitumiwa na jeshi la FARDC(DRC)na mamluki wanaorusha ndege zisizo na lubani kutokea Bujumbura, na kufanya mashambulizi katika maeneo ya M23 na Wanyamulenge.
 
Back
Top Bottom