Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.
Teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) na humanoid robots inaweza kutumika kutengeneza roboti inayofanana na namba 1 aliyesafiri
Roboti hiyo inaweza kuiga sura, sauti, lafudhi, mwendo na namna namba1 alivyokuwa akizungumza. Inaweza pia kuhifadhi hotuba zake, historia yake na mawazo yake ili...
Akiwa mbele ya darasa na wanafunzi wenzake, Kiya Esatu kutoka Ethiopia, anaangalia kwenye laptop yake kwa makini, mara akageukia ubaoni na kuanza kuwasilisha mada yake inayohusu matokeo ya majaribio yake aliyofanya shambani.
Kabla ya hapo mimi na Kiya tulikuwa katika shamba alilokuwa akifanya...
Wengi humu wanajiuliza kwanini CHADEMA ambayo haikushiriki uchaguzi batili ndio inawindwa Kwa Kila namna ili ije kwenye meza ya maridhiano?
Iko hivi, serikali iliyopo Haina uhalali wa kuongoza, sababu kuu ni kile kilichotokea Oct 29, uchaguzi haukufanyika Kwa maana ya mchakato huo kugeuka fujo...
Viwanja vikuu vya ndege nchini Ubelgiji vimesitisha huduma za kawaida za safari za ndege leo, Jumatatu, Novemba 23, 2026, kutokana na mgomo wa kitaifa wa wafanyakazi wanaopinga sera za serikali za kupunguza matumizi ya umma na mageuzi ya kiuchumi.
Hatua hiyo imeathiri viwanja vya ndege vya...
Iran imetangaza kuwa hii ndo itakuwa "the last confrontation against imperialism " . Meli ya Iran VLCC iliyobeba mafuta imeanza safari kupita mlango bahari wa hormoz na kutumia nguvu kupita katika kizuizi Cha jeshi la marekani . Iran imetangaza endapo meli hiyo itashambuliwa na jeshi la marekani...
Sijui ndio kula kwa urefu wa kamba au kuna nn kinaendelea kwenye nchi yetu.
Yaani zimekodiwa basi kubwa 2 za kaizeregi kubeba watumishi wa umma kuwapeleka Zanzibar just kurefresh.
Kama ni kurefresh kwa mujibu wa taratibu za kazi sina tatizo na hilo, ila tatizo langu ni kwamba katikati ya...
Kama haya maridhiano yana nia ya kuliponya taifa, kwanini hayahusishi waliijeruhiwa kwa mrisasi, waliopoteza ndugu zao, na hayawashirikishi Chadema?
Kwanini hayarushwi live na radio na tv zote nchini ili nchi nzima tujue kinachoendelea?
Je kama mnapanga kutupiga tena risasi? Kwa kweli hatuna...
Je, kuna Mtanzania aliyewahi kukamatwa na TAWA au mamlaka nyingine za uhifadhi wa wanyamapori kwa kosa kama hili, akalipa faini na kuruhusiwa kuendelea na safari yake?
Tukutane hapa tushirikishane uzoefu.
Kampuni ya huduma za usafiri wa ndege ya Air Tanzania (ATCL) imetoa tahadhari kwa abiria kuhusu uwezekano wa kuchelewa kwa safari za ndege, mabadiliko ya ratiba, na kubadilishwa kwa ndege, kuanzia tarehe 7 Novemba hadi tarehe 14 Novemba 2026.
Sababu iliyotoloewa na kampuni hiyo ni : Kuondolewa...
Mimi nikiwa mmoja wa wanafunzi tulioingia shule hiyo miaka ya sitini baada ya serikali kuichukua na kuifanya sekondari ya kimataifa, niliona dosari kwenye historia inayohusu shule hiyo.
Dosari mojawapo ni kuwa shule hiyo mwanzo ilikuwa ni kwa ajili ya watoto wa machifu! Hapana, baada ya...
Na Mwandishi Wetu
Nilimfahamu Tundu Lissu kwa mara ya kwanza wakati wa uzinduzi wa mgodi wa Barrick, alipokuwa pamoja na Rais wa taasisi yake, Dkt. Nshala, katika kipindi cha utawala wa hayati Dkt. Benjamin Mkapa.
Wakati huo, gazeti la Rai lilikuwa na makala yenye kichwa cha habari...
Safari ya kielimu iliyopaswa kuwa ya furaha na kujifunza imegeuka kuwa majonzi baada ya mwanafunzi wa Kirawa Road School, iliyoko Kitisuru jijini Nairobi, kufariki akiwa katika ziara ya shule mjini Arusha, Tanzania.
Mwanafunzi huyo, Victor Ndundu Karanja, anadaiwa kufariki Jumatano, Novemba 4...
Kwa kweli yanayoendelea CHADEMA yanakatisha sana tamaa. Chama kimejaa wasaliti ambao wengine hata sisi ambao hatujasoma saikolojia ya binadamu, ukimwona tu unajua huyu ni msaliti.
Bahati mbaya, wako hadi kamati kuu ya chama, kuona nani anachangia nini kwenye kikao, ili ashughulikiwe..
Huenda...
Katika hali inayoonyesha kwamba mkuu wa majeshi nchini Uganda Jenerali Muhozi Kainerugaba ambaye pia ni mtoto wa rais wa nchi hiyo Bw. Yoweri Museveni, ndiye kwa sasa anaiongoza nchi ya Uganda, ameamua kumpatia dhamana kiongozi mkongwe wa upinzani wa Uganda Bw. Kizza Besigye.
Juhudi za kutafuta...
WATOTO HAWAJUI HILI 😔
Wapo wataokusindikiza mpaka stendi ila sio kwa upendo, wanaomba upate ajali
WATOTO HAWAJUI HILI 😔
Watakuuliza umefika wapi sio kwa ukarimu bali wajue ikiwa bado una nguvu za safari ama umekwama kama watakavyo.
WATOTO HAWAJUI HILI 😔
Watakuja kukupa pole sio kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.