safari za ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Marekani: Safari za ndege zarejea baada ya hitilafu ya kimfumo kutokea kwa Masaa 4

    Waziri wa Uchukuzi wa Marekani, Sean Duffy, amesema zuio la safari za ndege nchini kote limeondolewa baada ya hitilafu ya kiufundi kusababisha kusimamishwa kwa safari zote za ndege. Duffy amesema kurejea kwa shughuli za usafiri wa anga katika hali ya kawaida kutachukua muda, huku abiria wengi...
  2. C

    Marekani: Safari za ndege zimeanza kurejea baada ya kusimama kwa zaidi ya saa nne

    Safari za ndege za ndani nchini Marekani zimeanza kurejea tena baada ya kusitishwa kwa zaidi ya saa nne kutokana na hitilafu katika mfumo wa mawasiliano ya simu, iliyozua wasiwasi kuhusu usalama wa shughuli za usafiri wa anga. Hatua hiyo ilisababisha safari nyingi za ndege kufutwa huku...
  3. C

    ATCL: Safari za Ndege kuanzia November 7 hadi 14 zitaathiriwa na ucheleweshwaji pamoja na mabadiliko ya Ndege

    Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetangaza kuwa baadhi ya safari zake kuanzia Novemba 7 hadi 14, 2026, zinaweza kuathiriwa na mabadiliko ya ratiba kutokana na ukaguzi wa dharura wa injini za ndege aina ya Airbus A220. ATCL imesema hali hiyo imelazimu kufanya marekebisho ya mipango ya...
  4. peno hasegawa

    Ni nani aliyemshauri Samia kufanya safari za ndege DSM kwenda Urusi? Huyo mtu kama yupo, afukuzwe Kazi!

    Tunaomba,serikali ituambie imepata faida na hasara kiasi gani kwa ndege zetu kwenda urusi!
  5. Mkalukungone Mwamba

    ATCL Yasitisha Kwa Muda Safari za Ndege TC422 na TC423 Dar es Salaam–Moscow

    Kampuni ya Ndege ya Air Tanzania (ATCL) inapenda kuwajulisha wateja wake na umma kwa ujumla kuwa safari za ndege TC422 na TC423 kati ya Dar es Salaam na Moscow zimesitishwa kwa muda kuanzia 4 Septemba 2026. Uamuzi huo umefuatia tathmini ya kawaida ya hatari zinazohusiana na mazingira ya...
  6. McLaren

    Canada: Mvua Kubwa na Upepo Mkali Vyatikisa Toronto, maelfu wakosa umeme, safari za ndege zaahirishwa

    Dhoruba kali zimeikumba Greater Toronto Area nchini Canada na kusababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo pamoja na kukatika kwa umeme kwa maelfu ya watu. Dhoruba hiyo iliyoambatana na mvua kubwa, mawe na upepo mkali ilikumba maeneo mbalimbali ya kusini mwa Ontario Jumatano jioni. Huduma za...
  7. R

    Shirika la Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa (WFP) yasitisha Safari za Ndege kuelekea Mji wa Burkina Faso Baada ya Mlipuko wa Helikopta

    Shirika la Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa (WFP) limesitisha safari za ndege kuelekea mji wa Solle, kaskazini magharibi mwa Burkina Faso, baada ya mlipuko kutokea karibu na helikopta waliyoikodi na kujeruhi afisa wa serikali pamoja na mhudumu wa ndege. Tukio hilo lilitokea Agosti 12, 2025...
  8. The Legacy

    Unajua kwanini abiria wa safari za ndege huzuiwa kubeba 'power bank'?

    Wanaandika BBC Chanzo cha moto kwenye ndege ya Airbus A321 nchini Korea Kusini kimebainika. Mamlaka za eneo hilo zilisema moto huo ulisababishwa na 'power bank'. Ndege ya abiria ya Air Busan ilishika moto katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Gimhae nchini Korea Kusini Januari 28, 2025. Watu...
  9. Pfizer

    Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa arejesha safari za ndege za Air Tanzania Dar kwenda Iringa. Nauli kuanzia Tsh 199,000 kwenda na Kurudi

    Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amezindua rasmi safari za ndege kupitia Air Tanzania kutoka Dar Es laam kwenda mkoani Iringa na kutoka Iringa kwenda Dar es laam huku akiitaka Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kujiimarisha zaidi ili kuweza kuwa na ushindani. Prof. Mbarawa amezindua safari...
  10. Damaso

    Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali

    Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali wakiwemo Mawaziri ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupunguza matumizi ya Serikali. Aidha Rais Mahama amesisitiza kuwa safari za dharura pekee ndizo zitakubaliwa na lazima zidhinishwe na...
  11. U

    Mashirika makubwa ya ndege ikiwamo British airways yasitisha safari za ndege Israel yakihofia vita

    Wadau hamjamboni nyote? Hali ni tete Mashariki ya kati Taarifa kamili hapo chini United, Delta, British Airways said to cancel Israel flights amid soaring tensions Major American and British airlines have told passengers that flights to Israel are canceled, Hebrew media reports, amid...
  12. Kaka yake shetani

    Shirika la kitaifa la ndege la Sri Lanka limelaumu uwepo wa panya kwenye ndege kwa kusitisha safari za ndege kwa siku tatu

    Shirika la kitaifa la ndege la Sri Lanka limelaumu uwepo wa panya kwenye ndege kwa kusitisha safari za ndege kwa siku tatu. Panya huyo aliyejificha bila kupatikana kwa siku tatu, alionekana kufurahia safari ya ndege ya Srilankan Airlines Airbus A330 kutoka mji wa Lahore, nchini Pakistan siku ya...
  13. Mwanamwana

    Shirika la ndege la taifa la Israel kusitisha safari za ndege kuelekea Afrika Kusini

    Shirika la ndege la taifa la Israel El Al litaacha kutoa safari za ndege kwenda Afrika Kusini kuanzia mwisho wa Machi, shirika hilo la ndege lilisema Ijumaa, likitaja kupungua kwa mahitaji ya wateja. “Kutokana na hali ya usalama ilivyo sasa, kumekuwa na upungufu mkubwa wa mahitaji ya wasafiri...
  14. MK254

    Wadukuzi wa Ukraine wadukua mfumo wa Urusi na kupata taarifa zote za safari za ndege

    Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote... Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained...
  15. R

    Shirika la Ndege la Tanzania anzisheni safari za Madagascar na Shelisheli moja kwa moja; naona fursa ya utalii kubwa

    Mashirika ya ndege yanayopeleka ndege kwenye visiwa maarifu Afrika ni machache sana. Nimejaribu leo kutafuta ndege ya Kwenye Madagascar au shelisheli kuwatembelea baadhi ya wafanya biashara wanaokula raha huko nimekosea hadi niende Dubai au Ethiopia au Kenya. Ikabidi nisome fursa zilizopo...
  16. Jackal

    Safari za ndege zasitishwa kwa muda Jijini Moscow sababu ya mashambulizi ya drones za Ukraine

    At least seven people, including a child, were killed and 129 were wounded in a Russian missile strike on the northern Ukrainian city of Chernihiv on August 19, Ukraine's Interior Ministry said, while President Volodymyr Zelenskiy said a "terrorist state" had carried out the attack and caused "a...
  17. ChoiceVariable

    Rais Samia Afanikisha Kuanza Kwa Safari za Ndege za Moja kwa Moja Kati ya Dar to Riyadh

    Haya ndio matunda ya Ziara ya Rais Samia aliyofanya Nchini Saudi Arabia Mwaka Jana.Hakika Rais Samia Huwa hafanyi ziara za hasara. Sasa ni masaa 5 tuu kufika Saudia.Hii ndio maana ya kuifungua Nchi. ===== Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya...
  18. DogoWaNjombe

    Mauritius yasitisha safari za ndege wakati Kimbunga Freddy kikisogea

    Mauritius pia imefunga soko lake la hisa wakati upande wa pili Madagascar imeandaa timu za dharura kwa ajili ya mvua kubwa, mafuriko na maporomoko ya ardhi. Kimbunga Freddy kina upepo mkali unapenda kwa kasi ya mpaka kilomita 120 kwa saa, ambapo angalizo limetolewa kutokwenda maeneo ya baharini...
  19. Faana

    Safari za ndege za masafa marefu zinaweza kuathiri vipi mwili wako?

    Qantas imetangaza kuwa itazindua safari za ndege za moja kwa moja kutoka pwani ya mashariki ya Australia hadi London, Uingereza kutoka mwisho wa 2025, na muda wa ndege wa zaidi ya saa 19. Kwa kulinganisha, ndege za sasa huchukua saa 24, lakini kwa kuunganisha ndege, imegawanywa katika safari...
  20. L

    Timu ya angani ya Red Bull "Tai Mwekundu" yafanya maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China

    Maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China Wakati hali ya hewa katika Uwanja wa Ndege wa Yaohu huko mjini Nanchang ikiwa nzuri, maonyesho ya safari za ndege yalifanyika kwa siku ya pili huko Nanchang, mkoani Jiangxi. Mkutano wa Sekta ya Usafiri wa Anga ya China na Maonesho ya Ndege...
Back
Top Bottom