tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. technically

    Watanzania hakikisheni AFCON haichezi Tanzania

    Watanzania hakikishe AFCON haichezwi Tanzania at any cost Huu utakuwa ujinga kushabikia mpira wakati ndugu yetu kafungwa kihuni. Na wenzake wanatekwa na kuuawa na kupotea kipumbavu. Ni wakati wa kuinyesha duniani kuwa Tanzania sio sehemu salama Tena kuishi. Tuandae maandamano makubwa Wiki...
  2. Tlaatlaah

    Well done Mahakama huru ya Tanzania

    Mmetekeleza wajibu wenu kwa uhuru, uwazi weledi na kwakuzingatia katiba ya Tanzania. Mmetumia vema maudhui ya pande zote yaliyowasilishwa mbeleni yenu kuamua kutenda haki bila kujali mashinikizo, porojo, mihemko au makasiriko ya maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu kutoka ndani na...
  3. Tua Ngoma

    PostGE2025 Hakutakuwa na Uchaguzi tena Tanzania kama TISS hawataamka

    Dalili zipo wazi,CCm hawatarudi nyuma tena katika njia waliyoichagua,wapo tayari kuua,kuteka,kufunga na kupoteza yoyote anayezuia njia yao ya ulaji. Kabla ya 2030 na 2030 yenyewe mambo yafuataya yataikuta Tanzania kama usalama wa taifa na jeshi la wananchi watajitia upofu. 1. Uchaguzi fake...
  4. K

    KUTOKA UHAINI HADI UCHOCHEZI: Uchambuzi wa Kisheria na Kisiasa wa Hukumu ya Tundu Lissu na Mustakabali wa Demokrasia Tanzania

    picha: Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akionyesha msimamo thabiti nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania wakati wa mchakato wa kesi yake. Wakuu wa jukwaa hili, Kama nilivyoahidi asubuhi ya leo hapa jukwaani kuwa nitaweka andiko refu la uchambuzi kufuatia maamuzi ya kesi inayomkabili kiongozi wa...
  5. Yom HaDin

    Utafiti wangu usio rasmi watu wa KIDINI Afrika wanaogopa sana Wachawi/Majini/Mapepo/Freemasons kwa sababu viongozi wao nao wanaogopa vitu hivyo

    Sikio haliwezi kuzidi kichwa. Ni vigumu kukua kumzidi aliyekuongoza kwenye dini labda kama hapo baadaye umtoe na ubakize Mwenyezi Mungu. Viongozi wengi wa kiroho wanaonekana nje wako siriasi lakini ndani kabisa mambo ya Mungu kwao ni nadharia na mambo ya Giza ni halisi zaidi. Iko hivi...
  6. Zack Abdul

    Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako..

  7. Msanii

    Ombi kwa United Nations: Tanzania inahitaji Jeshi la kulinda Amani

    Uongo unaozungumzwa na wawakilishi wa serikali haramu ys Tanzania huko UPR ni wazi hii nchi imegeuzwa kuwa shimo la kuzimu. Mpaka sasa, wakosoaji wote wa wazi wa Samia.the butcher wamepotezwa na wengine wanaishi kama digidigi na wengine kufunguliwa.mashtaka makubwa yanaotishia hatima za maisha...
  8. Roving Journalist

    Shirika la Posta Tanzania: Tunaomba radhi kwa changamoto iliyojitokeza katika mfumo wa Namba za Huduma kwa Wateja

    Shirika la Posta Tanzania linaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza kutokana na changamoto ya kimfumo inayoathiri upatikanaji wa huduma za simu kupitia namba 0735 008 008. Wakati jitihada za kushughulikia changamoto zikiendelea, unaweza kuwasiliana nasi na kupata huduma kupitia namba zifuatazo...
  9. MakinikiA

    Walipa kodi wa Marekani wana akili kuliko walipa kodi wa Tanzania...

    Hawa watu wa marekani wana akili mingi sana. Moja ya sababu ya kukataa chama cha Trump ni sera ya pesa za walipa kodi wa marekani kupewa Israel kununua mabomu. Watanzania walipa kodi ni muda sasa kufanya kwa vitendo. Mtanzania mlipa kodi unajisikiaje unaposikia kodi zako zikitumika vibaya na...
  10. M

    Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imebaini uwepo wa kiwanda bubu cha kuchakata mbegu za mahindi mkoani Tabora

    Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imebaini uwepo wa kiwanda bubu cha kuchakata mbegu za mahindi mkoani Tabora katika mtaa wa Kombomasai Kata ya Malolo kufuatia operesheni ya kukabiliana na wimbi la usambazaji wa mbegu bandia. chanzo: AzamTv
  11. Q

    Leo Umoja wa Mataifa UN utaijadili Tanzania kuhusu haki za binadamu.

    The United Republic of Tanzania's 53rd Session of the Universal Periodic Review (UPR) is taking place today, 5 November 2026, in Geneva, Switzerland. The UPR is a United Nations process in which member countries examine one another's human rights records. Tanzania will face questions and...
  12. Mkalukungone Mwamba

    Bunge laridhia azimio la Tanzania kujiunga na mkataba wa usalama angamtandao (mkataba wa malabo)

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Azimio la mapendekezo ya Tanzania kujiunga na Mkataba wa Umoja wa Afrika wa Usalama wa Angamtandao na Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa mwaka 2014, maarufu kama Mkataba wa Malabo. Azimio hilo limewasilishwa Bungeni na Waziri wa Mawasiliano na...
  13. K

    Balozi wa Marekani Tanzania kuhusu kesi ya Lissu

    Kuhusu kesi fake ya Lissu
  14. figganigga

    PostGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu kwenye Mtandao wao

    Baada ya Watu kulalamika kwamba huyu Mzanzibar Samia Suluhu Hasaan hakupata hata 20% bali Tume ndo imechakachua matokeo, sasa wameona aibu. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu ya 29.10.2025 kwenye Mtandao wao ili kuondoa Ushahidi. Sasa hakuna...
  15. K

    Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho

    Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho. Hukumu kwa wananchi kesi ya Lissu imekuwa wazi na watanzania wengi walikuwa wanaifuatilia. Kutokana na ushahidi dhaifu ulitolewa kwa Watanzania wengi Lissu hata kosa lolote la uhaini na ameonewa kukaa ndani kwa zaidi ya...
  16. Kaka yake shetani

    Kuna mgeni kataka kuja tanzania ,kaogopa na kakataa kabisa.

    Kuna mgeni alitaka kuja tanzania kujua maisha ya watanzania na haki zao. Ila halipo fungua tovuti ya USA embassy kasema hataki tena. Tanzania ni somaria mpya https://travel.state.gov/en/international-travel/travel-advisories/tanzania.html
  17. Roving Journalist

    Wadau Wa Maendeleo Waipongeza Tanzania Kwa Mafanikio Ya Maboresho Ya Usimamizi Wa Fedha Za Umma

    Wadau wa Maendeleo wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Sita (Public Finance Management Reform Programme - PFMRP VI), yaliyochangia kuongeza ufanisi, uwazi na...
  18. Roving Journalist

    Korea yaipatia Tanzania Sh Bilioni 441 za kujenga Chuo mahiri cha TEHAMA Dodoma

    TANZANIA inatarajia kupata Chuo Mahiri cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (DTI) jijini Dodoma, ambacho ujenzi wake unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni 441, kupitia mkopo nafuu kutoka Serikali ya Korea Kusini, kwa ajili ya kuimarisha uzalishaji wa wataalamu wenye ujuzi wa hali ya...
  19. Zack Abdul

    Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako 🇹🇿

Back
Top Bottom