tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. The Burning Spear

    Yaani hadi zambia wanakuwa na Barabara nzuri ndefu namna hii sisi Tanzania kweli tumelaaniwa

    Bila Magufuli hata hapo mbezi kibaha ingebaki ndoto tu. sasa inajengwa kimara kuja ubungo aisee kila siku wanachimba hata.kinachochimbwa hakieleweki. Ila Tanzania nyoko.sana wanawaza kunyonga wapinzani tu pumbavu kabisa. kwa barabara kama hii hata kama serikali ikawabana wapinzani ina haki...
  2. Zack Abdul

    UJENZI KIELELZO UCHUMI WA SAMIA

  3. G Sam

    Natangaza rasmi kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu Dar

    Leo nimeanza safari ya saa 17 kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu ya Dar. Kesho majira ya saa tisa mchana nitakuwa tayari ndani ya viunga vya uwanja wa ndege Dar na tutakuwepo mahakamani ijumaa tukiwa tumejaa tele. Hatutishiki na mikwara ya Muliro wala yeyote yule...
  4. leroy

    Bei ya mafuta Tanzania inapangwa na nani hasa?

    Machi 2026, bei kikomo ya petroli Dar es Salaam ilikuwa Sh 2,864 kwa lita. Aprili ikafikia Sh 3,820. Kwa mtu anayenunua lita 40 kwa bei hizo, gharama iliongezeka kwa Sh 38,240 kwa ujazo uleule wa mafuta. Mabadiliko kama haya yanahitaji kuangaliwa kuanzia mafuta yanaponunuliwa nje ya nchi hadi...
  5. Y

    VIDEO: Leo nimeamini Tanzania na CCM bado tunahazina kubwa ya vijana wanaoelewa ni wapi tunaelekea kama Taifa hasa kwenye kuzitafuta trilioni 2,600

    Wandugu hata kama haumkubali huyu jamaa ila ukweli ni kwamba jamaa anaakili na anapicha halisi ya tunafikaje 2050. 👇🏿👇🏿 UCHUMI WA SHILINGI TRILIONI 2,600. Tanzania imeweka lengo la kujenga uchumi wa dola trilioni moja, sawa na zaidi ya shilingi trilioni 2,600, ifikapo...
  6. Davidmmarista

    Orodha ya Bidhaa za Nyumbani Zenye Mauzo Makubwa Zaidi (Fast-Moving Goods) Nchini Tanzania

    List ya bidhaa za nyumbani zenye mauzo makubwa sana hapa nchini kwetu. 1.Unga wa sembe na dona. 2. Michele 3. Nyanya(Tomatoes) 4. Vitunguu(Maji na swaumu) 5. Mafuta ya kupikia 6. Sukari 7. Maharage 8. Chumvi 9. Dagaa 10. Unga wa ngano 11. Mkate(Bread) na skonzi 12. Mayai 13. Maziwa 14. Viazi...
  7. Zack Abdul

    Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako

  8. ndege JOHN

    Tanzania October 29: Hatua tatu ambazo zinaweza kuipeleka nchi kwenye civil war au kuporomoka kwa serikali kutoka ndani

    Kuna stage tatu ambazo hutumika kuharibu nchi yoyote mtu mwenye Nia ya kuharibu nchini anatumia stage tatu tuisome Tanzania ya tarehe 29 Oktoba 2025 kama case study. Nchi haihitaji kuvamiwa na jeshi la kigeni ili iingie kwenye machafuko makubwa. Kuna mazingira ambayo yanaweza kusababisha taifa...
  9. The Burning Spear

    Naona Dudu baya kazidiwa kete kuna ushetani unaendelea Tanzania

    Guys Hali ni mbaya sana tulinde watoto wetu wa kiume na kike. kuna Kampeni imekuja hiyo Sherehe za Mashoga zimetamalaki. Au Makonda anatafuta releaf ya kwenda Marekani. naye Dkt Gwajima kazimwa kama moto ujinga huu
  10. Mstahiki Mea

    Madereva Wa Tanzania mna matatizo Gani? Ulevi? Ujinga?

    Huwa ni ajabu sana kumaliza wiki hujasikia ajali Tanzania. Tofauti na chi nyingine ambazo vifo vya ajali ni vichache sana Madereva wa Tanzania mna matatizo gani ? Unakuta dereva anaendesha huku anaongea na Simu, au amelewa au ana ovoer take sehemu isiyo sahihi au hafuati sheria za barabarani Je...
  11. M

    Rahby ni Mchambuzi bora wa kisiasa kuwahi kutokea Tanzania kwa sasa

    Jamaa amechambua siasa za marekani na uchaguzi wa Isreal na Marekani mwaka kabla ya uchaguzi. Yale yale alioyachambua ndio yametokea. Jamaa yupo vizuri sana kichwani
  12. figganigga

    Ian Khama: Tanzania is where a person is prepared to kill and murder and slaughter her own citizens in order to stay in power

    TANZANIA – Former Botswana President Ian Khama has strongly condemned the violence surrounding Tanzania’s October 29, 2025 general election, accusing the country’s leadership of being willing to kill its own citizens to retain political power. Speaking about the events surrounding the election...
  13. N

    Dawati la jinsia Police Tanzania lina kazi gani ilhali kuna maafisa wa Ustawi wa jamii kila kata?? Mbona kesi za labor hazina dawati kituo cha Police?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Police Tanzania wao wana-deal na jinai (Crimes), masuala ya jinsia na watoto ni masuala ya maafisa wa Ustawi wa jamii waliopo karibia kila kata ndani ya Mkoa husika. Sasa lile dawati la jinsia katika ofisi ya OCS na OCD lina maana gani?? Mbona hakuna dawati la kesi...
  14. Forrest Gump

    Huyu jamaa aliangaliaga zile videos zinazo trend za kibao kata na baikoko akadhania ni mambo ya kawaida na ya bure bure Tanzania 😁

    Amejionea mwenywe tunayopitia, kaomba poo😁
  15. ubongokid

    Je Lema ni Joe Slovo wa Tanzania

    Wakati wa harakati za kudai Uhuru Africa kusini kulikuwa na Kiongozi mmoja mzungu aliyeitwa Joe Slovo. Huyu Bwana alikuwa kiongozi wa chama cha Kikomunisti cha Africa Kusini. Alikuwa ni Mzungu lakini ambaye alikuwa na Ukaribu sana na ANC na aliyekuwa Mpinzani.Yeye na Nelson Mandela walikuwa ni...
  16. E

    Lema ajue CHADEMA haimiliki siasa za upinzani Tanzania, wanaharakati wana haki ya kumkosoa

    Mfumo wa vyama vingi ulirejeshwa Tanzania mwaka 1992 kwa shinikizo la Mwalimu Julius Nyerere, lakini Katiba haikufanyiwa mabadiliko ya kutosha kuhakikisha ushindani wa kisiasa wenye usawa. Ibara ya 3 ilitambua mfumo huo, lakini mamlaka makubwa ya Rais, usimamizi wa uchaguzi na mazingira ya...
  17. E

    Nini kinapelekea utofauti wa miaka ya kuhitimu shahada ya uuguzi na ukunga Tanzania ikiwa vyombo husika vinaelekeza miaka 4?

    Kwa Tanzania kada ya Uuguzi na Ukunga ngazi ya Shahada(Degree) inasomwa miaka 4 ukiongeza mmoja wa intership,lakini kwa masikitiko ni kwamba kuna baadhi ya vyuo sitavitaja vinatoa iyo shahada kwa miaka 3 wengine miaka 2.5 Ni kwanini Baraza la Uuguzi na Ukunga(TNMC) limeshindwa kusimamia hii sera...
  18. M

    Mimi ni member mpya humu. Naendesha Non Profit Oganiation, naomba mnikaribishe

    Habari ,Mimi ni mpya hapa jamii forums,naendesha non profit organization ,ambayo ni charity hapa Tanzania na imesajiliwa. Napenda kuina mawazo yenu,je taasisi zinazohusika na fundraiser ndani ya nchi, kwanini hazioni taasisi changa na kuzipa misaada ,hali inayopelekea taasisi hizi ziombe...
  19. C

    Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu linaanza kufanya tathmini ya hali ya haki za binadamu katika nchi 14 duniani ikiwemo Tanzania

    Rekodi za haki za binadamu za nchi 14 zinatarajiwa kuchunguzwa wakati wa kikao cha 53 cha Kikundi Kazi cha Mapitio ya Mara kwa Mara ya Hali ya Haki za Binadamu (UPR) cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, kitakachofanyika Geneva kuanzia Novemba 2 hadi 13, 2026. UPR ni utaratibu wa...
  20. C

    Making mining work for every Tanzanian, from the first licence to the last tonne and the decades after

    OPINION · MINING AND NATIONAL DEVELOPMENT · TANZANIA Our Minerals, Our Future Making mining work for every Tanzanian, from the first licence to the last tonne and the decades after Mr Ih Ashten [Economist] and Prof. Khanindra Pathak (Emeritus Professor, Mining Engineering, IIT...
Back
Top Bottom