tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    Leysir Brown Aiwakilisha Tanzania Katika Tamasha la 15 la Changwon K-POP World Festival

    Onyesho lake kwenye Tamasha la 15 la Changwon K-POP World Festival nchini Korea Kusini ni hatua kubwa sana, kwani tamasha hili ni moja ya mashindano makubwa zaidi duniani yanayokutanisha mashabiki na wasanii wa K-pop kutoka pande zote za dunia.
  2. K

    Media ya Tanzania ni house boys na girls wa Serikali

    Media ya Tanzania imezidi uchawa ni kama house boys na girls wa Serikali 😳🤦🏾‍♂️
  3. K

    Majaji wa Tanzania wanajali vyeo kuliko Mihimili wa Mahakama

    Yaani Tanzania majaji wamekuwa kama wanasiasa wanatafuta kujipendekeza zaidi ya kujiamini na kufurahia heshima ya ujaji. Majaji sasa sio kama zamani . Walikuwa watu wakuhwshimiwa lakini sasa tunawaona kama wanasiasa Mahakama ya rufaa inajitahidi lakini majaji wa mahakama za chini wanawaharibia
  4. F

    Lini Tanzania itaacha kuwa shamba la bibi, kichwa cha mwendawazimu, na sehemu ya majaribio?

    Ukisoma historia ya Tanzania vizuri, ukiondoa kipindi cha Mwalimu Nyerere na kidogo cha Magufuli, Tanzania imekuwa kama sehemu ya machizi kujifunzia kunyoa. Kila ajae, huja bila sera ya kuendeshea nchi. Nyerere alikuwa na ujamaa. Mwinyi alikuja na jaribio la uhujumaa. Mkapa alikuja na ubabe...
  5. Victor Mlaki

    Kuna njaa ya kidunia inakuja: Watu wanajiandaa, Tanzania tusikae kwa kujisahau

    Hili jambo lilianza kama unabii na tayari wapo manabii waliwahi kutoa dondoo akiwepo Uebert Angel, kwa wale wanaoamini unabii. Ila hata kwa wasioamini ni vizuri kuwekana sawa. Baadhi ya Nchi kama Ghana wameshaanza kufanya maandalizi ya kuchukua hadhari . Diaspora napo ni kama wanaelekezana juu...
  6. Erythrocyte

    Katibu wa BAWACHA Kigoma, Neema Mhanuzi achukuliwa kimabavu

    Kama hatouawa basi atafunguliwa kesi ya Uhaini Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, amekemea vitendo vya ukamataji holela, akieleza wasiwasi wake kuhusu tukio la kuchukuliwa kwa nguvu kwa Neema Mhanuzi, Katibu wa BAWACHA Mkoa wa Kigoma, ambaye hadi sasa haijafahamika...
  7. Sifi Leo

    Kwanini vyama vya kitaaluma Tanzania havitetei wanataaluma wenzao? TLS anzeni na Lissu, fungueni kesi

    Nakumbuka Ulimboka,uliposhawishi madKitari waandamane,uling'olewa meno kwa bisi bisi pamoja na kucha,sijui sina hakika kama hakukuingilia kinyume na maumbile. Najiuliza, chama cha wanasheria akiongozwa na Mwabukusi mko wapi?mwaogopa kung'olewa kucha kwa plaizi?mwaogopa kufilwa?(Nani alienda...
  8. Wizara ya Ardhi

    TANZANIA NA BURUNDI ZAJADILI UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA

    KIGOMA Kamati ya Pamoja ya Wataalamu (JTC) kati ya Tanzania na Burundi imekutana kujadili na kukamilisha maandalizi ya kuanza utekelezaji wa zoezi la Uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili katika eneo la mto Malagarasi Wilaya Kasulu mkoani Kigoma. Kikao hicho kimefanyika...
  9. R

    List of Shyster Judges around the World

    1. Rugundun 2. Hamayéraka 3. Denwoki 4. JC 5. Ongeza unaowajua duniani
  10. Roving Journalist

    ACT: Hukumu ya Lissu ni mtihani wa Demokrasia ya Tanzania, ukweli, haki na uwajibikaji ndio vitaliponya Taifa

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndg. Dorothy Semu, ameeleza kuwa hukumu uliyotolewa na mahakama Leo dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Ndugu Tundu Lissu, ina maana kubwa zaidi ya hatima ya mtu mmoja, kwa kuwa ni kipimo cha namna taifa linavyoheshimu misingi ya haki, utawala wa sheria, demokrasia...
  11. Roving Journalist

    Ubora na Ubunifu wa Bidhaa za Wajasiriamali wa Tanzania wanogesha Maonesho ya Juakali/Nguvukazi - Kigali

    Bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali wa Tanzania zimeendelea kuvutia maelfu ya wananchi na wageni wanaotembelea Maonesho ya 26 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati, maarufu kama Juakali/Nguvukazi, yanayoendelea jijini Kigali, nchini Rwanda. Bidhaa hizo zimeonesha ubunifu na uwezo wa...
  12. Sifi Leo

    Vyombo vya habari vya Tanzania ni vya ovyo kiasi hiki? Lissu ameachiwa na Mahakama au kashinda kesi ya uhaini dhidi ya Serikali kandamizi?

    Hivi fani ya uhanabari bhana haina tofauti na uhakimu na ujaji ubwabwa kama nduguru na wenzake. Yaani magazeti ya Tanzania yote, yameripoti eti Lissu ameachiwa na Mahakama badala ya kuandika Lissu alibwagwa serikali kesi ya uhani. Basi kama mnainea haya hiyo serikali yenu andikeni Lissu...
  13. Sifi Leo

    Waziri mkuu wetu anavaa Tai ya rangi ya Bendera ya Tanzania mpaka kwenye vibao kata na Harusi jamani?

    Hayo ni maisha binafsi,waziri Mkuu anayo nafasi ya kuvaa apendavyo jamani kwa nini kila pahala anavaa na bendera ya taifa aise?
  14. Sifi Leo

    Hana amani na urais wake mpaka anawakilishwa harusini? Waziri Mkuu anatakiwa kutumwa kwenye harusi?

    Tunakoelekea waziri Mkuu na Makamu watatumwa mpaka kwenye vibao kata, ili hali sio shughuli za kiserikali. Ila sishangai maana Kizimkazi festival, huwa inasababisha watumishi wa umma wote kufunga ofisi za umma na kwenda kukata viuno kule Zanzibar Kizimkazi ili mama afurahie mauno ya watumishi...
  15. K

    Watanzania wengi rasmi sasa wanadharau mahakama za Tanzania

    Watanzania wengi rasmi sasa wanadharau mahakama za Tanzania hazina tofauti na Polisi
  16. Traxtion

    Nadhani watu wanashindwa kuelewa kutofautisha nchi ya Tanzania na serikali

    Just because nchi yetu inaongozwa na wahuni hatuna sababu ya kuichukia. Tanzania ni kubwa kuliko serikali, serikali ni ya mpito lakini Tanzania itaendelea kuwepo. Na usisahau this is the land that gave birth to you, you have to honor it Msichanganye hivi vitu. Usiichukie nchi yako kwa sababu ya...
  17. Mohamed Said

    Kifungo Cha Tundu Lissu Katika Historia ya Mageuzi Tanzania

    https://youtu.be/BrTpgftKTlQ?si=xMSm7XK1LyGTlTK0 MOHAMED SAID: HISTORIA YA TUNDU LISSU NI ZAIDI YA KESI YA MAHAKAMANI! Kwa nini historia ya Tundu Lissu inapaswa kujadiliwa na Watanzania wote? Na kama mwandishi wa vitabu vya kihistoria angeichukua simulizi hii, angeiandikaje? Katika mazungumzo...
  18. K

    Kudidmiza demokrasia na haki ni kutengeneza Waasi Tanzania

    Kudidmiza demokrasia na haki ni kutengeneza Waasi Tanzania. Itaanza kwa visasi mfano hao wenye madaraka kama Polisi, magereza, wanasiasa na wengineo walinde familia zao maana kuna dalili sasa mambo yataenda huko. Lindeni watoto wenu, ndugu zenu kwasababu kuna watu ambao watataka kulipiza...
  19. Kinyungu

    Tanzania court jails opposition leader for incitement, lifts treason charge

    Dismissal of treason charge means Tundu Lissu avoids threat of death penalty in a trial that has drawn international condemnation. By AFP Published On 6 Nov 20266 Nov 2026 A Tanzanian court has jailed opposition leader Tundu Lissu for four years on a charge of incitement. The ruling was handed...
  20. S

    Tanzania ya Haki

    Kuna mwaka Gari tulilopanda liliwahi kupoteza mwelekeo na kutaka kugonga lingine Ila dereva alirudisha umakini na kuliweka sawa na hivyo kutuepusha na ajali mbaya ambayo na amini kesho yake tungekuwa maarufu( kwa idadi kubwa ya vifo na majeruhi), ilibidi dereva asimamishe ili tuchimbe dawa na...
Back
Top Bottom