tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Nani Kinara Afrika Mashariki 2026?

    https://youtu.be/KuUO1ItbOUU Habari zenu Wana-JF. Mara nyingi kukiwa na mjadala wa kiuchumi Afrika Mashariki, ubishi unakuwa kati ya Tanzania na Kenya. Lakini vipi tukiziweka nchi tano za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Burundi) kwenye mizani moja kwa kutumia takwimu za...
  2. Hadi sasa sijafahamu wote waliokuwa wakikosoa manunuzi ya ndege za Air Tanzania kupitia Hayati Dkt Magufuli walimaanisha nini

    Wakati mwingine siasa nikama mchezo wa Paka na Panya huwezi hata kupata sababu nyingi za kukosolewa Hayati Dkt Magufuli kwenye ununuzi wa ndege za Air Tanzania Sijajua walimaanisha nini pengine walitaka Shirika la ndege la Air Tanzania kukosa hata ndege moja ya abiria Inawezekana ukosoaji...
  3. Kwa nini biashara ya dawa za kulevya haramu Tanzania na Kenya imejikita Pwani ?

    Ni kwa sababu ya uchumi mzuri ? Wateja/watumiaji wengi ? Ni rahisi kufikika ? Ni rahisi kuificha biashara yenyewe na wanaoifanya maeneo hayo ? Hapa sizungumzii bangi na mirungi.
  4. A

    KERO SBC Tanzania Limited (Pepsi) kinafanya kazi bila kuzingatia siku za mapumziko kwa Wafanyakazi

    Nina kero kuhusu utaratibu wa kazi katika baadhi ya idara za kiwanda cha SBC Tanzania Limited (Pepsi) jijini Dar es Salaam, hususan idara ya mauzo (Sales), ambapo tunalazimishwa kufanya kazi hata siku za Jumapili bila kupewa siku nyingine mbadala ya kupumzika. Hali hii inatufanya kufanya kazi...
  5. M

    Tanzania inavyojenga Diplomasia ya tabianchi kupitia COP31 kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa wananchi

    Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaofanyika Antalya, Uturuki, kuanzia tarehe 9 hadi 20 Novemba 2026, ni jukwaa muhimu la kimataifa katika kujadili mustakabali wa mazingira, uchumi na ustawi wa binadamu. Kwa Tanzania...
  6. Mishahara Tanzania ni midogo mno

    Chanzo mojawapo cha ukosefu wa mzunguko wa hela Tanzania, ni mishahara ni midogo mno. Wafanyakazi wengi ambao wapo humu wapo kwenye wigo huo. 1. Mishahara ya serikali 2. Mishahara ya sekta binafsi. 3. Mishahara ya deiwaka 4. Mishahara ya wafanyakazi wa sehemu mbalimbali 5. Mishahara ya...
  7. Kenya yakabidhi Tanzania mifugo 11 iliyoibwa mpaka wa Ang'ata Barikoi

    Ang'ata Barikoi, Transmara Kusini, Kenya – Naibu Kamishna wa Wilaya ya Transmara Kusini, Stephen Emojong, akishirikiana na Kamanda wa Polisi wa Wilaya hiyo, Enrico Telewa Lyomu, wamekabidhi kwa mamlaka za Tanzania mifugo iliyookolewa na maafisa wa Kenya. Mifugo hiyo inayojumuisha ng'ombe sita...
  8. J

    Mfumo gani wa Uchumi unaweza ondoa Tatizo la Mikopo? - Watu wanatajirika kirahisi sana Tanzania

    𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔 𝗠𝗜𝗞𝗢𝗣𝗢 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗦𝗠𝗘𝘀 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔: 𝗝𝗘, 𝗡𝗜 𝗨𝗞𝗢𝗦𝗘𝗙𝗨 𝗪𝗔 𝗗𝗛𝗔𝗠𝗔𝗡𝗔 𝗔𝗨 𝗨𝗗𝗛𝗔𝗜𝗙𝗨 𝗪𝗔 𝗠𝗙𝗨𝗠𝗢 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗙𝗘𝗗𝗛𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗔𝗠𝗕𝗨𝗔 𝗨𝗪𝗘𝗭𝗢 𝗪𝗔 𝗕𝗜𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗔? ✍️ Na 𝗔𝗺𝗿𝗮𝗻 𝗕𝗵𝘂𝘇𝗼𝗵𝗲𝗿𝗮, Mchumi | TICGL/TERI 𝘞𝘢𝘬𝘢𝘵𝘪 𝘵𝘩𝘢𝘮𝘢𝘯𝘪 𝘺𝘢 𝘮𝘢𝘭𝘪𝘱𝘰 𝘺𝘢 𝘮𝘵𝘶 𝘬𝘸𝘢 𝘣𝘪𝘢𝘴𝘩𝘢𝘳𝘢 (𝘗2𝘉) 𝘬𝘶𝘱𝘪𝘵𝘪𝘢 𝘮𝘪𝘧𝘶𝘮𝘰 𝘺𝘢 𝘬𝘪𝘥𝘪𝘫𝘪𝘵𝘢𝘭𝘪 𝘪𝘭𝘪𝘱𝘰𝘧𝘪𝘬𝘪𝘢 𝘛𝘡𝘚 𝘵𝘳𝘪𝘭𝘪𝘰𝘯𝘪 37.52 𝘮𝘸𝘢𝘬𝘢 2025, 𝘵𝘩𝘢𝘮𝘢𝘯𝘪...
  9. Kwa hapa Tanzania, Hakuna sehemu inawaka Jua kali kama kwetu Makanya, Same, Mkoa wa Kilimanjaro

    KWA HAPA TANZANIA, HAKUNA SEHEMU INAWAKA JUA KALI KAMA KWETU MAKANYA SAME, MKOA WA KILIMANJARO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimesikia watu wakilia na kupiga mayowe. Oooh! Jua kali. Oooh! Siku za mwisho. Oooh! El nino! Yaani kilio wakilalama hali ya hewa kuwa mbaya kutokana na kile...
  10. Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi Jengo la Kituo cha Rasilimali za Walimu Mbezi (TRC)

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando (aliyevaa skafu) akikata utepe kuzindua Kituo cha Rasilimali za Walimu (TRC) kilichofanyiwa maboresho na Vodacom Tanzania Foundation katika Shule ya Msingi na Ufundi Mbezi, Wilaya ya Ubungo. Uzinduzi wa jengo hilo umeambatana na makabidhiano ya vifaa vya...
  11. Honda yawekeza Tanzania, yafungua kiwanda cha kuunganisha pikipiki Dar es Salaam

    Kampuni ya Honda imefungua kiwanda cha kuunganisha pikipiki eneo la Ubungo, Dar es Salaam, hatua inayolenga kuongeza ajira kwa vijana, kukuza ujuzi wa kitaalamu na kuimarisha sekta ya viwanda nchini. Kiwanda hicho kitaunganisha pikipiki kwa kutumia vipuri vinavyoagizwa kutoka nje, hatua...
  12. Katika nchi inachekesha kwenye uongozi kila mahali ni Tanzania

    Huwa naona nchi yetu tunachekesha sana na hatuko serious kabisa katika uongozi. Hivi inakuaje kwamba wabunge wa majimbo karibia nusu ya nchi nzima huwa wanaishi Dar es Salaam halafu wanaenda kutembelea kwenye majimbo yao wanayoyawakilisha bungeni ?! Mfano kuna mbunge wa Kigoma huwa naona...
  13. Q

    Gerson Msigwa: Tutatumia njia yeyote ile AFCON ifanyike Tanzania

    Naona maji yameanza kufika shingoni, walipewa hadi September kuonyesha utayari wa viwanja na miundombinu leo mwaka unakatika, walidhani 2027 ni mbali, wameanza kulaumu mitandao mwisho watalaumu wanaharakati kama kawaida yao. "Tunatumia njia yoyote itakayotuwezesha kuhakikisha AFCON inafanikiwa...
  14. Tanzania tunaagiza mavazi ya mtumba ya dola milioni 100. Sawa na Tsh 265 bilioni kwa mwaka. Tupige marufuku mavazi ya mtumba.

    Tupige marufuku mavazi ya mtumba. Pesa nyingi zinapotea kuyaagiza na fursa ya ajira kwa watanzania zinapotea. Watu hata wameacha kujifunza cherehani sababu ya mitumba kujaa. Watu huwa wanasema hatuwezi piga marufuku sababu hatuna viwanda vya nguo. Wanasahau kuwa si rahisi kuwa na viwanda vya...
  15. It Is the Laxity of the Citizens That Permits Dishonest Politics in Tanzania

    The Constitution of the United Republic of Tanzania places citizens at the centre of political life. Article 8(1) states that “sovereignty resides in the people,” that the Government is accountable to them, and that they shall participate in its affairs. Article 21 gives every citizen the right...
  16. Pesa za Serikali Zinatoka Wapi? Uchambuzi wa Bajeti ya Tanzania vs Kenya (2026/27)

    https://youtu.be/XI7YlZP1W4w Habari zenu wanabodi. Kuna mjadala mzuri sana unaoendelea kuhusu uchumi wa nchi yetu ukilinganishwa na majirani zetu, Kenya. Tukiangalia bajeti za mwaka 2026/27, swali la msingi ambalo wengi hatujiulizi kwa kina ni: Hizi trilioni zote ambazo serikali inatumia...
  17. Magazeti ya Kimataifa yaliyoonesha mwelekeo wa Rais mtarajiwa wa Tanzania Mh. Civilian-Coin.

  18. Mgogoro wa siasa Tanzania utapungua kwa 90% ikiwa itarudi kwenye Chama kimoja cha siasa

    Mgogoro wa siasa Tanzania utapungua kwa 90% ikiwa itarudi kwenye Chama kimoja cha Siasa Ikiwa Tanzania itaendelea kuwa na vyama vya siasa zaidi ya kimoja mgogoro utakuwa mkubwa wa asilimia 90% Lakini kama kitabaki Chama kimoja cha siasa mgogoro utakuwa mdogo wa 10% tu Sitataja sababu zake...
  19. Air Tanzania: Safari zitachelewa kwa siku 7

    Kampuni ya huduma za usafiri wa ndege ya Air Tanzania (ATCL) imetoa tahadhari kwa abiria kuhusu uwezekano wa kuchelewa kwa safari za ndege, mabadiliko ya ratiba, na kubadilishwa kwa ndege, kuanzia tarehe 7 Novemba hadi tarehe 14 Novemba 2026. Sababu iliyotoloewa na kampuni hiyo ni : Kuondolewa...
  20. Rais Samia Uturuki: Tanzania kufungua fursa za kimataifa kwa maendeleo ya wananchi

    Safari ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuelekea Antalya nchini Uturuki, kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), ni sehemu ya juhudi za Tanzania kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kutafuta fursa zinazoweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…