tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. U

    Natabiri siku moja Mhesh Nicolas Benjamin Mkapa atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hayo ni maono yangu Kwa sasa ni miongoni mwa Watendaji wenye uwezo mkubwa achilia mbali uadilifu Nicholas Merinyo Mkapa (also spelled Nicholaus) is a Tanzanian public servant and lawyer serving as the Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Communication and Information Technology...
  2. Deni la Taifa: Kati ya Kenya, Uganda na Tanzania Nani Yuko Kwenye Hatari Zaidi?

    Kila tukisikia taarifa za Deni la Taifa, namba zinazotajwa zinatisha: Kenya inadaiwa takriban Dola Bilioni 100, Tanzania Dola Bilioni 43, na Uganda Dola Bilioni 37. Lakini wachumi wanasema jumla ya deni pekee haiwezi kukuambia kama nchi imezidiwa au la. https://youtu.be/d0bonWJ1bw4 Uchambuzi...
  3. 2026 FIFA U-17 Word Cup Qatar | 19 November - 13 December 2026 | Team ya Tanzania inashiriki kwa Mara ya Kwanza

    Vijana wetu wa Serengeti Boys wapo Qatar wakishiriki Kombe la Dunia kwa vijana under - 17. Hii ni fursa kwao kujitangaza Kimataifa na vile vile kuonesha ukomavu wapate Namba team ya Taifa Stars FIFA U-17 World Cup imeanza Leo tar 19 Nov hadi 13 December, ikiwa na jumla ya team 48 na...
  4. Mi naombi kwa madereva wanaosafirisha mizigo nchi za nje hapa Tanzania

    Hakuna watu wanapitia changamoto kama madereva wanaosafirisha mizigo kutoka bandarini dar kwenda nchi zinazozunguka tanzania. Kiufupi unageuka muhanga sababu sio nchi yako,unyanyasaji wa serikali unapopita nchi hiyo,wizi wakutisha Hakuna kuthaminiwa na bosi wala kampuni. Kwa nini msiombe...
  5. Tanzania HAKUNA Mungu wa DINI yoyote ya kweli, Mungu labda yupo nchi nyingine sio Tanzania

    Watanzania hawaishi kwa kudra za Mungu, wanaishi kwa kudra za mtu mmoja tu, huyo tu ndio anaamua wewe kuishi au usiishi. Kwa kifupi Tanzania tuna mungu wetu na wote tunamjua, kama unabisha, niambie huyo Mungu wako unayemuamin anashindwa nin kumzuia huyu Mungu wa kitanzania? Mungu wa kitanzania...
  6. Tanzania yaendelea kuimarisha uwekezaji na ushirikiano wa biashara na Cuba

    Tanzania na Cuba zinaendelea kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kidiplomasia kwa kuendeleza fursa za uwekezaji, biashara na ushirikiano wa kiteknolojia. Ushirikiano huo unalenga sekta muhimu zikiwemo afya, elimu, kilimo, utalii, utafiti wa kisayansi na uzalishaji wa viwandani, huku ukifungua...
  7. M

    Ndejembi amwakilisha Rais Samia mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini Tanzania

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, anamwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania (TMIC 2026). Mkutano huo unafanyika kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba 2026...
  8. I

    CAF yazindua Nembo Rasmi ya AFCON 2027, Kenya, Tanzania na Uganda waungana kwenye Utambulisho wa Mashindano.

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limezindua rasmi nembo ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambayo itaandaliwa kwa pamoja na Kenya, Tanzania na Uganda. Nembo hiyo imebeba taswira ya utamaduni na utambulisho wa Afrika Mashariki, ikiwa na rangi za bendera za mataifa hayo...
  9. M

    Fursa iliyopo kwenye parachichi mikoa ya Njombe

    Habari zenu waungwana hivi kilimo cha parachichi ni kweli kina pesa kama inavyoelezwa na clips kutoka Njombe au ni kama zao la vanilla?
  10. Ukifanyika utafiti Tanzania tunaweza kuwa nafasi ya juu sana Afrika katika nchi zinazoongoza kuvujisha video za utupu wa watu mitandaoni

    In recent years Tanzania kumekuwa na video za watu wengi sana ambazo zimevuja mitandaoni zikionesha wakiwa wanafanya ngono. Hapa siongelei porn acting/ porn industry, hapana. Naongelea video za wapenzi wawili wanaojirekodi wakifanya ngono na kisha mmojawapo anazipost mitandaoni na zinasambaa kwa...
  11. Kuna msanii wa Tanzania anaweza kuumwa ugonjwa mkubwa akajitibia mwenyewe?

    Hivi huu muziki wa Tanzania una faida yoyote kwa wasanii ukiacha umaarufu tu wanaopata mtaani ? Sijawahi kuona msanii ameugua ugonjwa mkubwa ambaye hajaomba msaada! Unaweza kushangaa hata siku Diamond akiumwa naye akaomba msaada kuchangiwa matibabu. Au Watanzania wote ni ombaomba tu kwa asili ?
  12. Ubora wa elimu ya chuo kikuu ulidumaa sana tangu utawala wa awamu ya nne kuingia madarakani.

    Ukifuatilia habari za wanachuo Tanzania ulinganishe na habari za wanachuo wa nchi nyingine utagundua Tanzania bado ni nchi masikini na backward sana. Habari kubwa za wanachuo Tanzania ni 1. Matumizi ya mkopo (Boom) 2. Ngono 3. Uchawa kwa watawala Habari za wanachuo nchi nyingine ni 1...
  13. Siri ya Uchumi wa Rwanda Kukua kwa Kasi (9.4%) Bila Kuwa na Bandari – Je, Tanzania na Kenya Tuna Cha Kuiga au Kuna Hatari Mbele?

    Rwanda ni nchi ndogo yenye watu takriban milioni 14 tu na haina hata bahari wala bandari (landlocked). Lakini katika robo ya pili ya mwaka 2026, uchumi wake umekua kwa asilimia 9.4%! Wakati huohuo, kufikia Oktoba 2026, mfumuko wa bei mijini umefika asilimia 19.5%. https://youtu.be/V09ooCmyH3o...
  14. M

    UFAFANUZI wa Msigwa Kuhusu taarifa juu ya Zuio la Ndege za Tanzania kutua katika anga la Ulaya

    Ufafanuzi Kuhusu taarifa zilizosambaa juu ya zuio la ndege za nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kutua katika anga la Ulaya "Kwanza ningependa Watanzania wajue kwamba habari ambayo imetrend hasa leo sio habari mpya. Hii ni taarifa iliyotokana na tathmini iliyofanywa na mamlaka za Umoja wa Ulaya...
  15. H

    Wachambuzi wa Tanzania kwenda na tune ya Serikali

    WACHAMBUZI wengine support au kuchambua madam Kwa kupalilia wazo la SERIKALI je hao ni WACHAMBUZI kweli au uchwara maana kila nikiwasikiliza waliochambua jambo Huwa wanasuppott mtizamo wa watawala na kidogo wanajifany a kuweka kati Nini tatizo lao wewe jaribu kuwasikiliza wengine ni kuunga...
  16. Kitu nimegundua kuhusu utawala huu Tanzania

    Wanaounga mkono ni wale vilaza na wavivu wakufikiri, binafsi naunga mkono ila nanshangaa nipo pamoja na wale mazumbukuku na wasio na uelewa timamu 🤔 Kuna mda unafikiaria sana 😢, inakuake hili fuso letu la kazi isonge mbele wapo vilaza kuliko wenye akili timamu 🤔
  17. K

    Hivi kweli Tanzania tuna Waandishi wa Habari ama tuna Mandondocha?

    Habari za wakati huu wakuu, Jana niliangalia mahojiano kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, na mtangazaji mkongwe, Ndugu Salim Kikeke kupitia kituo cha Crown FM. Niliyaangalia mahojiano yale kwa mshangao mkubwa sana kutokana na namna mwandishi huyu mwenye jina kubwa...
  18. B

    Websites 10 bora za kutafuta kazi tanzania kwa ufanisi

    Tovuti 10 Bora za Kutafuta Kazi Tanzania (2026) Kupata kazi nchini Tanzania kunaweza kuwa changamoto, hasa kwa wahitimu wapya wa vyuo, wataalamu wenye uzoefu na watu wanaotafuta fursa bora za maendeleo ya kitaaluma. Kwa bahati nzuri, kuna majukwaa mbalimbali ya mtandaoni yanayowasaidia watafuta...
  19. B

    Tovuti 10 bora za kutafuta kazi tanzania

    Tovuti 10 Bora za Kutafuta Kazi Tanzania (2026) Kupata kazi nchini Tanzania kunaweza kuwa changamoto, hasa kwa wahitimu wapya wa vyuo, wataalamu wenye uzoefu na watu wanaotafuta fursa bora za maendeleo ya kitaaluma. Kwa bahati nzuri, kuna majukwaa mbalimbali ya mtandaoni yanayowasaidia watafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…