tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Jinsi Dodoma inavyojengwa ndio ilipaswa majiji yote Tanzania yajengwe vile

    NB: Sisemi kuwa Dodoma imejengwa vizuri ila nasema kuwa inajengeka kwa speed na serikali inapazingatia kuliko miji mingine. Treatment inayopata Dodoma ndio ilipaswa ifanywe kwenye majiji mengine pia Dodoma wanajenga barabara za njia nne hadi mitaani huko, kwenye mitaa chipukizi. Serikali...
  2. PENDEKEZO: Kuanzisha "Mfumo wa Uwajibikaji wa Pamoja na Usawazishaji wa Rasilimali Watu" katika Uhamisho wa Watumishi wa Umma

    PENDEKEZO LA KISERA: Kuanzisha "Mfumo wa Uwajibikaji wa Pamoja na Usawazishaji wa Rasilimali Watu" (Shared Responsibility & Cross-Subsidization Model) katika Uhamisho wa Watumishi wa Umma Habari za majukumu wakuu, Kwanza, tunapaswa kuipongeza Serikali kwa hatua kubwa iliyopiga katika kuimarisha...
  3. C

    Ripoti:Tanzania miongoni wa nchi 10 Afrika zenye ufasaha wa lugha kiingereza

    Tanzania imekuwa katika orodha ya kumi bora ya nchi zenye ufasaha wa lugha ya Kiingereza Afrika kwa mwaka 2026. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya kimataifa ya kila mwaka inayopima kiwango cha umahiri wa lugha ya Kiingereza miongoni mwa watu wazima katika kila nchi iliyofanywa na Education First...
  4. Benki ya Exim Tanzania Yalinda Hustle za Madereva Kupitia Twende BBM Festival 2026

    Dar es Salaam, 14 Novemba 2026: Benki ya Exim Tanzania imetumia tamasha la Twende BBM Festival 2026 kuwasogezea madereva wa bodaboda, bajaji na magari huduma za kifedha zinazolenga kurahisisha shughuli zao za kila siku na kulinda vyanzo vyao vya kipato, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha...
  5. R

    THE DOCTRINE OF PRECEDENT IN TAX APPEALS

    Tanzania's tax dispute resolution system depends not only on the correct interpretation of tax laws but also on consistency, fairness and respect for judicial hierarchy. The doctrine of precedent (stare decisis) plays an important role in ensuring that similar legal questions are determined...
  6. Tanzania hakuna mtu mwenye IQ kubwa tuacheni kujidanganya na kujifariji

    IQ kubwa inapimwa na output leo ukifa mtoto aliyezaliwa mwaka 2040 atakuwa inspired na maisha yako Tanzania watu wenye akili wapo wengi sana tatizo hatujapata watu watakaoleta mabadiliko makubwa ndo maana bado ni maskini Wako wanaojaribu ila bado hawajafanikiwa kuwa kwenye group la watu wenye...
  7. C

    Ripoti: Tanzania ni miongoni mwa nchi kumi za Afrika zinazofanya vibaya katika eneo la Uhuru wa Kidigitali

    Tanzania imetajwa miongoni mwa nchi kumi za Afrika zinazofanya vibaya katika eneo la uhuru wa kidijitali, baada ya kupata alama 27.3 kati ya 100 katika Ripoti ya Faharasa ya Ibrahim ya Utawala Bora Barani Afrika (IIAG) ya mwaka 2026. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Tanzania imeshika nafasi ya 46...
  8. C

    Tanzania imesisitiza na kuweka msimamo matumizi ya rasilimali za gesi asilia na makaa ya mawe

    Tanzania imesisitiza na kuweka msimamo wa matumizi ya rasilimali za gesi asilia na makaa ya mawe katika shughuli za kijamii na kiuchumi badala ya kutegemea nishati ya mafuta ikiwa ni hatua mbadala ya kukabiliana na ongezeko la gesi joto. Msimamo huo umetolewa Novemba 21, 2026 na Katibu Mkuu...
  9. Mfumuko wa Bei (Oktoba 2026): Tanzania 4.2%, Kenya 7.3%, Rwanda 19.5% – Kwanini Takwimu Hizi Hazipimwi kwa Rula Moja?

    Ukitazama takwimu rasmi za mfumuko wa bei kwa mwezi Oktoba 2026 katika nchi tano za Afrika, picha inaonekana hivi: Tanzania (Bara): 4.2% Uganda: 5.8% Kenya: 7.3% Nigeria: 14.06% (14.1%) Rwanda (Mijini): 19.5% https://youtu.be/yW8k807JsTs Kwa jicho la haraka, unaweza kusema maisha ni rahisi...
  10. Q

    Taifa la Tanzania halitokaa liendelee kamwe hadi CCM itoke madarakani

    Vision ya CCM sio kuiendeleza nchi wala sio kuiendeleza CCM na wanachama wake bali ni kukitumia chama kujinufaisha kwa baadhi ya watu, angalau Magufuli alionekana ana vision na nchi ila njia alizotumia zilikuwa sio sahihi. Familia chache sana zinanufaika nazo ni za kuhesabu, hazijali wananchi...
  11. Bandari ya Mbamba bay kuimarisha biashara kati ya Tanzania, Malawi na Msumbiji

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay kutachochea biashara na ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania, Malawi na Msumbiji, kupitia kurahisisha usafirishaji wa mizigo na abiria katika Ziwa Nyasa. Amesema Serikali imewekeza...
  12. Nadharia ya elimu ya Plato na elimu yetu ya Tanzania

    NADHARIA YA ELIMU YA PLATO NA ELIMU YETU YA TANZANIA--- Fr.Dr.Shukrani Mbirigenda( UDSM-Institute of Development Studies(DS) UTANGULIZI Plato ni mwanafalsafa wa Kigiriki aliyeishi miaka 400 kabla ya Kristu. Katika kuzungumzia nadharia ya elimu, Plato aliwahi kusema kuwa watu ndani ya jamii...
  13. Kuzungumzia maridhiano Tanzania ni kupoteza muda tu

    Maridhiano katika mataifa yote huwa yanafanyika pale ambapo kumekuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe, mauaji makubwa ya kimbari (genocide), mapinduzi, waasi, mapambano ya silaha au machafuko makubwa ya kisiasa yaliyodumu muda mrefu yakileta shida kubwa kwa matajiri na watawala. Sasa jiulize...
  14. M

    Vijana wetu wa IT wa Tanzania mnakwama wapi kutengeneza app mbadala za Bolt zitazowaumiza Bodaboda kwa makato makubwa ?

    Kila siku tunasikia kilio cha ndugu zetu wa Bodaboda na Bajaji wakilalamikia makato makubwa (commission) kutoka kwenye hizi app za usafiri za nje. Wanafanya kazi kubwa juani na mvua, lakini jasho lao linaishia kwenye makato yanayoenda Bolt Vijana wetu wa IT wa Tanzania, mnakwama wapi? au ndio...
  15. N

    A BITTER TRUTH: Tanzania sio Kenya. Hili ni dola la kijamaa kama China. Chama Kikuu Cha Kisiasa ni kimoja tu, vingine 18 vilivyobaki vyote visaidizi.!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Karibu sana mnitukane baada ya kumaliza kuisoma thread hii, ila huu ndio ukweli nyie wadogo zangu wa 2000s. Kama Siasa haikuingizii pesa, do it moderately. Abandom activism. Abandon insults and name calling. Usiwe mjinga ukapigwa virugu na Police kwa mtu ambaye hata...
  16. Tanzania isichezee fursa iliyopo kwenye "carbon credit"

    Kuna haja kubwa hivi sasa hapa nchini Tanzania kuwa na mijadala ya kina kuhusu uwepo wa fursa ya kutengeneza fedha nyingi kupitia kupunguza hewa ya ukaa duniani kupitia "carbon credit". Lazima nimsifu John Heche ambaye mara kwa mara amekuwa akizungumzia jambo hili katika majukwaa mbalimbali ya...
  17. Biashara Kati ya Tanzania na Kenya Mpakani (Namanga): Nani Anashinda Kweli na Nani Anapigwa?

    Biashara kati ya Kenya na Tanzania ilishuka kwa 9.4% mwaka jana hadi Ksh 114.1 Bilioni (kutoka rekodi ya Ksh 125.9 Bilioni). Katika kiasi hicho, Kenya iliuza bidhaa za Ksh 63.6 Bilioni kwenda Tanzania na kununua bidhaa za Ksh 50.5 Bilioni kutoka Tanzania. Cha kushangaza, takriban 70% ya anguko...
  18. Mchezaji Wa Tanzania anaweza kulipwa mabilioni kwa matangazo ya Biashara?

    Jude Bellingham anakadiriwa kulipwa kati ya €3 milioni hadi €5 milioni (takriban Dola za Marekani milioni 3.2 hadi 5.4) kwa kampeni yake mpya ya kutangaza chupi za Calvin Klein, huku akivuna jumla ya takriban Dola za Marekani milioni 15 hadi 16 kwa mwaka kutokana na mikataba yote ya matangazo...
  19. Tani 13 za dhahabu toka Tanzania ziliingia Dubai mwaka 2024 bila kurekodiwa nchini. Zilipitaje?

    Mwaka 2024, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulirekodi kupokea kilo 19,171 za dhahabu kutoka Tanzania. Takwimu za Tanzania zinaonyesha kilo 6,103 tu zilizouzwa UAE mwaka huo. Kilo 13,068 hazionekani kwenye kumbukumbu zetu za mauzo nje. Takwimu hizi zimo kwenye ripoti mpya ya shirika la Uswisi la...
  20. Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.

    Wanabodi, Utangulizi wa Facts Kuhusu Katiba Tanzania. Je Wajua Tangu Tupate Uhuru, Tanzania hatujawahi kuwa na katiba ya Wananchi? Je Wajua Katiba hii iliyopo ya Tanzania ya Mwaka 1977 ni Katiba ya CCM? Je Wajua Katiba hii ni ya Mfumo wa Chama Kimoja CCM, Toka Enzi za Chama Kushika Hatamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…