dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. W

    Anahitajika Fundi Pikipiki Dar es salaam Kunduchi

    Natafuta Fundi Pikipiki mwenye uzoefu, mwaminifu na mweledi wa kazi yake, ambaye yuko tayari kufanya kazi nasi. 📍 Eneo: Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam Mtu mwenye sifa hizo na ambaye yuko tayari kufanya kazi, tafadhali wasiliana nami kupitia: 📞 0657 736 223 📧 [email protected] Kwa...
  2. Tlaatlaah

    Jiji la Dar Es Salaam limejengeka zaidi katika kipindi cha awamu hii ya 6 chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.

    Naona majengo makubwa na marefu ya makazi ya watu, kumbi za mikutano ya kitaifa na kimataifa, mahotel makubwa ya kimataifa na maofisi ni mengi sana ukilinganisha na wakati uliopita, hali inayoashiria kuimarika kwa uwekezaji na kushamiri kwa maisha na uchumi wa watu wa jiji la Dar Es Salaam...
  3. Hismastersvoice

    Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    Akiongea huko Madale mkuu wa mkoa ameliagiza jeshi la polisi liikamate familia yote ya mzee Mushi na kuwaweka kolokoloni! Ni lipi kosa la mke na watoto wa mzee Mushi wanahusika na kosa ambalo huenda lilitendwa na marehemu! Sidhani hata walalamikaji watafurahia kuona mke na watoto wa...
  4. K

    Agizo la Dustbin Mbili Dar es Salaam: Kodi Tunalipa, Dustbin Tunanunua wenyewe; Hivi Halmashauri Zina Kazi Gani?

    Utangulizi Katika jitihada za kuweka Jiji la Dar es Salaam katika hali ya usafi, Mkuu wa Mkoa huo, Mheshimiwa Albert Chalamila, ametoa agizo jipya linalomtaka kila mmiliki wa nyumba mkoani humo kuwa na vifaa viwili vya kuhifadhia taka (dustbins). Agizo hili, lililotolewa wakati akizungumza na...
  5. Akthoo

    32man from Dar es salaam Looking for coffee-loving female friend

    Hey everyone! Iam from Dar . I make a living selling coffee, so naturally I’m always looking for someone who can appreciate a good cup and have a conversation about it. I’m single, a little philosophical and lately life has given me plenty to think about. I lost my father a couple of months...
  6. K

    KERO Abiria wa basi la Nayrah T 103 EGM Arusha to Dar es salaam hatujatendewa haki

    Basi letu limekamatwa Mlandizi kwa kosa la ku-overtake. Tupo kituo cha polisi tangu saa 11 jioni hadi sasa saa 1 usiku, bila kupewa taarifa yoyote kuhusu kinachoendelea. Kwenye basi kuna watoto na wazee ambao wanapata shida. Tunaomba wahusika watusaidie na kutoa taarifa kuhusu hatua...
  7. N'yadikwa

    Mkuu wa mkoa Dar es salaam: Tuboreshe mfumo wa usafi wa barabara – mashine zitumike badala ya kufagia kwa mikono

    Kamwene, Huu ni ushauri wa wazi na wa kujenga kuhusu suala la usafi wa barabara za Dar es Salaam, hasa katika maeneo yenye shughuli nyingi za ujenzi, biashara na makazi. Moja ya changamoto inayoonekana katika barabara nyingi za Dar es Salaam ni matumizi makubwa ya watu kufagia barabara kwa...
  8. LIKUD

    New Dar Es salaam yote leo imehamia Kiwalani.. Kiwalani wameweza sana leo

    Dar el salaam mpya ( New Dar Es Salaam) yote Leo imehamia Kiwalani kuanzia saa kumi hadi saa kumi na mbili. Kama hukuwa Kiwalani Leo mida hiyo I have very little to tell you. U were supposed to be there.. # Kiwaside Halla. #Mascombisco. New Dar Es salaam = Back City ( Mbagala), Chanika...
  9. Kisesetusese

    Inapotajwa Mwanza, Dodoma, Dar es salaam, Arusha, Tanga, Mbeya nk Zanzibar hakuna jiji?

    Ni ubaguzi ulioje.
  10. Agent Smith

    Mkazi wa Mbezi, Dar es salaam. Natafuta kibarua

    Mimi ni kijana wa kiume naishi Mbezi, magari saba. Natafuta kazi yoyote halali inayofundishika.
  11. d coy++++

    Unahitaji mitambo? Heavy Industrial equipment in Agriculture, Construction, Mining and Industries. Karibu tuwasiliane 0754247000. Ubungo Dar es salaam

    Habari ya wakati huu. Mwenye mahitaji mashine ya kununua, spea parts, na service za mashine hizi chini, karibu tuwasiliane zaidi. 1. Tractor (35hp, 50-60hp, 75hp) na Power tiller 15.5hp 2. Forklifts ( 3.5T, 5T & 7-10T) 3. Generators ( 17kva - 550kva ) 4. Wheel loaders ( 3T & 5T) 5. Excavators...
  12. Kitomai

    House4Sale 3 Bedrooms apartments for sale - Upanga, Dar es Salaam

    🏠 Nyumba za vyumba 3 vya kulala zinauzwa UPANGA! 📍 LOCATION: UPANGA, Dar es Salaam - Karibu na kila kitu! 💰 BEI: Kuanzia Milioni 540 TZS HUDUMA ZILIZOPO: ✔️ Self-contained rooms ✔️ Fully fitted wardrobes & Kitchen ✔️ Ample parking space ✔️ Secure location na CCTV 24/7 ✔️ Standby generators -...
  13. mimi mtakatifu

    Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake. Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho...
  14. R

    "Mshindi ni Nani" Kipindi cha zamani Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD)

    Wahenga, miaka ya zamani nikiwa kama msikilizaji nguli wa RTD kuna kipindi nilikuwa nakipenda sana kiliitwa Mshindi ni Nani. Wakati kile kipindi kinaanza, kulikuwa na biti moja kali sana halafu unasikia kama mtu anapiga yowe "uuuuuwih...yau...yauyau" halafu ndo inakuja sauti ya kike kwa madaha...
  15. Lycaon pictus

    Kwa kweli bandari ya Dar es Salaam inahitaji kuongezewa eneo

    Nilikuwa naona kama watu wa bandari walafi tu wa eneo. Ila ukilinganisha na bandari zingine, bandari ya Dar ina eneo dogo sana. Bandari kubwa(kwa mizigo) zaidi Afrika ni ya Tangier, Morocco. Ina eneo la ardhi la ekari 2,500. Bandari ya Mombasa, Kenya ina jumla ya eneo la ekari 3,000. Ban mydari...
  16. Gospel KTV

    Changamoto ya uchomaji taka (kusoma matakataka) kwenye makazi ya watu hapa Dar es Salaam

    Wakuu, habari za mchana huu. Kuna changamoto naona inazidi kushamiri kwenye mitaa yetu mingi hapa Dar es Salaam, nayo ni tabia ya baadhi ya watu kuchoma moto taka katikati ya makazi ya watu. Lugha ya mtaani wengi wanasema "kusoma matakataka." Kimsingi, jambo hili limekuwa likisababisha moshi...
  17. Jannatul Firdaus

    KERO Foleni ya magari Mwenge, Dar yaendelea kuwa kero kwa wananchi

    Barabara ya Mwenge, ambayo ni miongoni mwa makutano makuu na muhimu zaidi jijini Dar es Salaam, inaendelea kushuhudia msongamano mkubwa wa magari, hasa wakati wa asubuhi na jioni. Eneo hili linalounganisha Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Bagamoyo, na Sam Nujoma ni kiungo muhimu sana cha usafiri...
  18. A

    KERO Nauli ya Dar es salaam mpaka Dutumi (Morogoro vijijini) kupitia Ngerengere ni TZS 20,000 Licha ya kuwa ni Kilometa zisizozidi 90. LATRA mpo wapi?

    Inakuwaje nauli kuwa kubwa kuliko umbali halisi wa safari? Je, nauli hii imepitishwa na LATRA kweli? Kama imepitishwa, ni vigezo gani vilivyotumika kuamua kiwango hiki cha nauli, na inalingana na viwango rasmi vilivyowekwa? Wananchi wanastahili kupata maelezo ya wazi kuhusu namna nauli...
  19. Zack Abdul

    Upanuzi na uboreshaji wa bandari ya Dar es Salaam mambo yazidi kunoga

    UPANUZI NA UBORESHAJI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM MAMBO YAZIDI KUNOGA UJENZI WA MATENKI YA KUPOKEA NA KUHIFADHI MAFUTA WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 52. Mradi huu Utagharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 678 za Kitanzania. Matenki haya yatafanya jumla ya Ukubwa wa Cubic Meter 389000 sawa na Lita...
  20. M

    Turahisishe maisha: Stendi ya Magufuli isiwe mwisho wa ubunifu wa usafiri Dar es salaam

    TURAHISISHE MAISHA: STENDI YA MAGUFULI ISIWE MWISHO WA UBUNIFU WA USAFIRI DAR ES SALAAM Na GULATONE MASIGA Uamuzi wa Serikali wa kuimarisha matumizi ya Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli iliyopo Mbezi kwa shughuli za kupakia na kushusha abiria ni sehemu ya juhudi za kupanga upya mfumo wa usafiri...
Back
Top Bottom