dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Stability

    Kuna tofauti kati ya kuishi Dar es Salaam na kukaa Dar es salaam. Wengi wetu tunakaa Dar es salaam

    Umeshtuka usiku unasikia kiu, sasa lile wenge la usingizi unasahau dumu ambalo lina maji ya kunywa unachanganya na ndoo yenye maji uliosuuzia vyombo vichafu usiku unayochota na kunywa, 🤮
  2. Vien

    Dar es Salaam kila mtu ninayekutana naye akinichekea nakuta ana pengo. Afya ya meno imekuwa tatizo kubwa sana miaka hii

    Hii hali inaanza kutisha. Siku hizi unakutana na mtu, hasa mdada mrembo, unampa marks zote. Lakini akitabasamu unakuta ana pengo au meno yana matatizo yanayoonekana wazi. Hii inanifanya niamini kwamba suala la kutunza afya ya kinywa na meno limekuwa changamoto kubwa kuliko tunavyolichukulia...
  3. R

    RC Chalamila: Watu wote wa Dar es Salaam tuseme asante kwa Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wakazi wa Mkoa huo wana kila sababu ya kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutokana na maendeleo yaliyofanyika katika miradi ya mabasi ya mwendokasi. Chalamila amesema hayo Agosti 7, 2026 katika hafla ya kufungua na kutembelea mradi...
  4. T

    Boksi la ajabu ladaiwa kutelekezwa barabarani Mwenge, Dar es salaam

    Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam. Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa boksi hilo lilitelekezwa tangu jioni ya jana Jumatano Agosti 5,2026. Polisi washafika eneo la tukio...
  5. Mindyou

    Ni eneo gani litakuwa 'Masaki mpya' ya Dar es Salaam ndani ya miaka 10 ijayo?

    Wakuu Nauliza tu maana juzi nilikuwa napita maeneo fulani ya Goba Tegeta A aisee kuna mitaa imepangika na kuna utulivu wa hali yaa juu sana Yaani mtaa imepigwa pasi vizuri bila nyumba kukabana koo, kuko kimya kabisa bila kelele za hovyo wala umbeya wa kijiweni, na ukiangalia shoto na kulia...
  6. A

    KERO Majengo yetu Ubungo Riverside (Dar es Salaam) yanaoza tangu 2020, TANROADS wamezuia kuendeleza, tunazidi kupata hasara

    Mimi ni mwananchi na mfanyabiashara mmojawapo miongoni mwa wamiliki wa nyumba na viwanja zaidi ya 100 vilivyopo katika eneo la Ubungo Riverside, pembezoni mwa stendi ya basi (Riverside). Eneo hili la kibiashara, nina nyumba yangu halali yenye hatimiliki ya uwekezaji ikiwemo biashara na makazi...
  7. Roving Journalist

    Rais Dkt. Samia anazindua Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 | Ikulu Dar | 03 Agosti, 2026

    https://www.youtube.com/live/Motr1Qogzvc?si=0zWibpltOzbHFz0w
  8. M

    Kufikia 2050 majiji yatayokuwa yamejengwa zaidi kwa mapato ya mikoa mingine, mikopo na misaada ya nje ni Dar Es Salaam, Dodoma na Arusha

    Dar Es Salaam - Ni jiji lenye ofisi nyingi za uongozi wa kitaifa na East Africa commercial city Dodoma - Ni jiji linalowekewa bajet kubwa sana ili kuhamishia ofisi za serikali huko Arusha - Ni jiji linaloendelea kupata back up ya miradi kwa kuwa na hadhi ya umoja wa Afrika Mashariki na...
  9. Sprouts pre School

    Karibu Elite Home tuition dar es salaam

    Unatafuta mwalimu bora wa kumsaidia mtoto wako kufanya vizuri shuleni? Elite Home Tuition tunaleta walimu wenye uzoefu nyumbani kwako kwa muda unaokufaa. Huduma zetu zinapatikana kwa: Pre-School, Primary na Secondary Mitaala ya Tanzania na Cambridge Masomo yote ya Sayansi, Sanaa na Biashara...
  10. Traxtion

    Dar es Salaam: Watoto 160 wamezaliwa kwa upandikizaji mimba

    DAR ES SALAAM; KITUO cha kupandikiza mimba cha Kairuki Green IVF (KGIVF) cha Dar es Salaam kimefikisha watoto 160 tangu kuanzishwa kwake miaka mitatu iliyopita. Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa kituo hicho, Dk Clementina Kairuki wakati akizungumzia...
  11. K

    KUTOKA SEOUL HADI DODOMA: Rasimu ya Warioba, Hofu ya Watawala Wetu, na Mustakabali wa Katiba Mpya Kuelekea Chaguzi

    Wana-JF, Kasi ya siasa za kimataifa hivi sasa inatupa masomo makubwa sana kuhusu nguvu ya sheria na umuhimu wa mifumo imara ya kikatiba. Hivi karibuni, tumeshuhudia Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, akihukumiwa vifungo vizito vya jela—ikiwemo kifungo cha maisha kwa kosa la uasi na...
  12. A

    EWE MKAZI WA KATORO Je, unajua sasa unaweza kusajili kampuni yako rasmi (BRELA) ndani ya siku 5 tu bila kusafiri Kwenda Dar es Salaam?

    Huhitaji tena: (i). Kupoteza siku nzima foleni (ii). Kutumia gharama za usafiri kwenda Dar es Salaam au Mwanza (iii). Kuchanganyikiwa na taratibu ngumu za makaratasi Sisi tunakusaidia hatua zote, kuanzia jina la kampuni, hati za usajili, TIN, hadi cheti chako rasmi cha BRELA vyote vikifanyika...
  13. Minjingu Jingu

    Wavulana wa Dar Es Salaam wanasikitisha sana. Hasa ambao wamekulia Kinondoni, Ilala na Magomeni

    Usije ukawa na mtoto ukakaa naye maeneo haya.... Huwa hawakui, hawawi wanaume. Mi hata nikipata rafiki akiwa amekulia hayo maeneo huwa namwona kuwa bado hajawa mwanaume kamili Sisi wanaume wa mikoani tunawadhatau sana watu wa Daa ambao wanajiita wanaume mfano huyu Tid nasikia bado anafugwa...
  14. Q

    BAKWATA na Serikali waseme ukweli sababu ya kusimamishwa shehe wa Mkoa Dar es salaam

    Wanasingizia chanzo ni kukataa mtoto wa nje, kumbe sio. Kwani waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wangapi. "Ninachoweza kusema ni kweli amesimamishwa naomba niishie hapo", alisema Katibu wa Ulamaa. Watuambie kwanini dereva wake yupo mahabusu. Kuna siku siri itawekwa wazi, wataaibika...
  15. GWAMAKA USWEGE

    Wapi wanatengeneza soli za viatu Dar es Salaam

    Habari wakuu, Kuna wale wataalamu wanaotengeneza viatu pamoja na soli zake kuanzia hatua ya kwanza, yaani wenye viwanda vyao. Naomba kujua, hapa Dar es Salaam wanapatikana wapi? Nashukuru.
  16. M

    Kumetolewa tahadhari ya El Niño ila hakuna elimu yoyote inatolewa kwa Wananchi, kwanini?

    Kutokana na tahadhari ya wataalamu wa hali ya hewa kuhusu uwezekano wa mvua kubwa za El Niño mwaka huu, tunaomba Serikali na mamlaka husika kuongeza juhudi za kutoa elimu na tahadhari kwa wananchi ili waweze kujiandaa mapema. Pia, kuna wasiwasi kuhusu hali ya miundombinu ya mifereji ya maji...
  17. goldcall

    Fast food kwa wafanyakazi wa maofisini Dar es salaam, Karibuni sana

    Kichwa cha habari chahusika, Habari za kazi ndugu zangu, tunaitambulisha kampuni yetu ya usambazaji wa chakura maofisini kwa jiji la Dar es salaam, wadau wa JF- msije kupata shida kwenda kula katika vibanda umiza sisi tupo kwa ajili yenu. UBORA KATIKA KAZI: 1. Chakula kinaandaliwa na ma chef...
  18. Parabolic

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi atembelea Banda la GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea banda la kampuni ya GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), wakati wa hafla rasmi ya kufunga msimu wa maonesho ya mwaka 2026. Katika ziara hiyo ya heshima...
  19. Think2

    Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia Dar

    Kule wachimbaji kuchakaza milion 30 kwa siku ni kugusa tu Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia dar kuchoma mahindi barabarani au kuuza supu za pweza huku unaacha madini utakuwa na akili kweli? 😂 Mwisho, Geita ngwengwe ipo tumia kinga mtu wangu
  20. Inside10

    Padri Dkt Vicent Mpwaji Ateuliwa Kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu La Dar Es Salaam

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai 11, 2026. Mhashamu Askofu mteule Padre Vincent Lawrence Mpwaji alizaliwa Juni 05 mwaka 1978 Jimbo...
Back
Top Bottom