dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Tech Max

    Nauza laptop fujistu i5 ram 8GB,hdd 500GB,ina windows 11 os, bei 300,000 nipo dar es salaam, nicheki 0756704145

    Nauza laptop fujistu i5 ram 8GB,hdd 500GB,ina windows 11 os, bei 300,000 nipo dar es salaam, nicheki 0756704145, free original keyboard na mouse
  2. Mad Max

    Dar es Salaam na Pwani Kuna Joto Kali Sana. Tujitahidi kunywa Maji

    Ili joto ni Kali sana. Maji bafuni ya moto ova una heater. Imagine dehydration mwilini, aisee tunywe maji angalau 2L.
  3. Tech Max

    Nauza laptop Fujistu i5 ram 8GB,windows 11, keyboard,mouse free original bei 300,000 nipo dar es salaam, mkoani natuma

    Nauza laptop Fujistu i5 ram 8GB,hdd 500GB, windows 11, keyboard,mouse free original bei 300,000 nipo dar es salaam, mkoani natuma. Nicheki 0756704145 whatsapp,call, sms
  4. Roving Journalist

    Responded DAWASA: Januari - Novemba 2026, Mita 3,497 zimeibiwa maeneo ya Dar es Salaam na Pwani

    Wizi wa mita za maji zikiibiwa zinaenda kutumika wapi Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kushughulikia changamoto kwa wananchi wasio waaminifu wanaoiba mita za Maji kwa matumizi ambayo bado hayajafahamika. Mamlaka imebaisha kuwa kuanzia Januari hadi...
  5. Tech Max

    Kama unahitaji kompyuta desktop, laptop, na software / programu

    Kama unahitaji kompyuta desktop na laptop ,na software / programu nicheki ,mkoa wa dar es salaam mikoani tunatuma kwa uaminifu
  6. Tlaatlaah

    Polisi Dar Es Salaam, tafadhali tumieni weledi wenu Novemba 6, 2026 baada ya hukumu

    Plz plz tumieni weledi wenu wa kimkakati katika kuyasambaratisha in a second, magenge yote ya kihalifu na vikundi maalumu vya fujo vilivyo andaliwa na baadhi ya wanasiasa ili kufanya ghasia mara baada ya hukumu ya kihistoria ya mtuhumiwa uhaini kusomwa. Niwaonye my friends, ladies and gentlemen...
  7. Tech Max

    Naomba wazo la biashara la mtaji wa 10m hapa dar es salaam

    Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam. Nicheki 0756704145 kunisaidia wazo la biashara.... naomba mwenye connection nq mtu anayeendagq China na dar kwa ajili ya biashara
  8. Tech Max

    Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam

    Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam. Nicheki 0756704145 kunisaidia wazo la biashara.... naomba mwenye connection nq mtu anayeendagq China na dar kwa ajili ya biashara
  9. O

    Safari Dar es Salaam - Tanga

    Nipo Dar es Salaam naomba muongozo nina Ist ya 2nz nahitaji kwenda nayo Muheza hivi hapa mafuta ya bei gani, lita ngapi yanaweza nifikisha pasi mawazo
  10. Tech Max

    Natafuta kazi yoyote Dar es salaam nina diploma ya mechanical engineering

    Natafuta kazi yoyote Dar es salaam nina diploma ya mechanical engineering Nicheki whatsapp call sms 0756704145
  11. Tech Max

    Ninawazo la biashara kwa dar es salaam mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp

    Ninawazo la biashara kwa dar es salaam maeneo ya mbezi, naishi mkoa wa dar es salaam, mbezi mwisho karibia...mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp, tufanye kazi
  12. Dronephonex

    Traffic ashindwa kumsaidia bodaboda aliyepata ajali Ilala

    TRAFFIC NA BODA BODA KUNA UGOMVI? Leo, jijini Dar es Salaam, eneo la Ilala, tukio la ajali ya boda boda limeibua maswali baada ya askari wa usalama barabarani (Traffic) kudaiwa kushindwa kutoa msaada kwa dereva wa boda boda aliyepata ajali. Kwa mujibu wa maelezo ya mdau aliyeshuhudia tukio...
  13. Lyetu

    Vilio mradi wa viwanja Mvuti Dar es salaam. Uzoefu wangu umenisaidia.

    Nimeona watu wengi sana wakilalamika kuhusu viwanja vilivyouzwa MVUTI Dar es salaam tarehe 30/10/2026 kwenye mfumo wa TAUSI Haya ni maoni yangu kwa uzoefu wa muda mrefu wa kutumia mfumo wa TAUSI. Uzoefu wa kunua viwanja, kuomba leseni za biashara, kushiriki Auction kwenye Mfumo. Malalamiko...
  14. R

    Waitara: Nimeona kwenye mitandao sherehe za wasagaji, Je, serikali ilitoa kibali sherehe ifanyike Dar es Salaam?

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ameibua swali bungeni leo Novemba 2, 2026, akitaka kujua kama serikali ilitoa kibali cha kufanyika kwa sherehe za wasagaji zilizoripotiwa kwenye mitandao ya kijamii jijini Dar es Salaam, na ni hatua gani zinachukuliwa kudhibiti tabia hizo...
  15. A

    DAWASA: Kutakuwa na ukosefu wa maji kwa baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kwa siku nne!

    Wakazi wa maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam wanatarajiwa kukabiliwa na upungufu wa huduma ya maji kwa siku nne kuanzia kesho Jumanne, Novemba 3 hadi 6, 2026, wakati Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) ikifanya matengenezo ya bomba kuu lenye kipenyo cha inchi 72...
  16. B

    latest Jobs in Dar Es Salaam 2026

    Explore Latest Trending Jobs in Dar Es Salaam, 2026 Apply Faster and conveniently with besttalentreach platform 1. Storekeeper & Procurement Officer — Tanzania, Dar es Salaam 2. Accountants - 2 posts — Tanzania, Dar es Salaam 3. Marketing Manager - 1 post — Tanzania, Dar es Salaam 4. Sales...
  17. TIB RASILIMALI

    Elimu ya HISA: Mwongozo wa kuanza kuwekeza katika soko la hisa la Dar es Salaam

    1. UTANGULIZI Elimu ya fedha ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kuhusu akiba na uwekezaji. Miongoni mwa fursa zinazopatikana katika masoko ya mitaji ni uwekezaji katika hisa, ambao humwezesha mtu kumiliki sehemu ya kampuni na kushiriki katika matokeo ya biashara...
  18. Pascal Mayalla

    Live From Delta Hotels Dar es Salaam: Uzinduzi wa Kitabu "The Table Got Bigger by Marsha Msuya Kilewo

    Wanabodi, Mimi mwanabodi mwenzenu, leo niko Delta Hotel jijini Dar es Salaam, to share na nyinyi uzinduzi wa Kitabu kilichoandikwa na Marsha Msuya Kileo. https://youtube.com/live/vpYHWWtVFVs Hiki ni kipindi maalum cha uzinduzi https://youtu.be/y_zJipDG18M?si=jHpEazmnCgMnkSab Hii ni Story ya...
  19. Tlaatlaah

    Huenda athari na madhara ya El nino yakawa makubwa na mabaya zaidi maeneo ya Pwani hususani katika jijini la Dar es Salaam

    Na hii ni kutokana na mizaha, dhihaka na dharau za kiwango cha juu sana dhidi ya tahadhari zinazotolewa na mamlaka husika pengine zaidi hata ya wale waliokua wakimdhihaki Nuhu wakati akijenga safina kujiepusha na gharika. Tayari baadhi ya mikoa kama vile Kigoma, Manyara na kanda ya ziwa...
  20. A

    KERO Askari wa Jiji la Dar es Salaam sasa wamefikia hatua ya kukimbiza watu kwa visu?

    Leo nikiwa maeneo ya Samora, Posta Mpya, nilishuhudia watu wawili wakikimbizana kwa kasi kubwa. Kilichonishtua zaidi ni kwamba mmoja aliyekuwa akimkimbiza mwenzake alikuwa ameshika kisu. Mwanzoni nilihisi huenda kulikuwa na mwizi, lakini baada ya dakika chache, mtu huyo mwenye kisu alirejea...
Back
Top Bottom