Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Habari za muda huu wana JamiiForums,
Mimi ni kijana Mtanzania, mwalimu kitaaluma(Professional Teacher) ambaye kwa sasa ninaendelea na masomo ya shahada ya kwanza (sayansi ya kompyuta) hapa Dar es Salaam. Kutokana na majukumu ya kimaisha na masomo, natafuta kazi ya part-time (muda wa usiku na...
https://www.youtube.com/live/eYm_4HmbPWE
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 27, 2026.
https://www.youtube.com/live/RHxzTxFUdNE
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifungua Mkutano wa Tatu wa Kisayansi wa Afya ya Uzazi, Mama, Mtoto Mchanga, Mtoto, Vijana na Lishe, JNICC jijini Dar es Salaam Novemba 26, 2026.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kukosekana kwa huduma ya umeme katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam kufuatia hitilafu iliyotokea kwenye njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 220 kutoka Kituo cha Kinyerezi kwenda Kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Ubungo...
Jambo muhimu ni kuhakikisha unaandaa mapema nyaraka zote zinazohitajika kwa ajili ya usafirishaji na uingizaji wa gari lako.
Nyaraka zilizokamilika na kupangwa vizuri zitakusaidia kuelewa vizuri mchakato wa ushuru na forodha, pamoja na kupunguza ucheleweshaji unaoweza kuepukika.
AGENT MALCOLM...
Mimi ni msabato lakini Leo nawapongeza Wakatoliki
Kanisa moja Takatifu la Mitume
Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam limekusanya jumla ya Shilingi bilioni 6.15 (TSh 6,154,464,705.55) katika kilele cha mchango wa Misa ya Mavuno (Tegemeza Jimbo) kilichofanyika leo Jumapili, Novemba 22, 2026...
Serikali yawekeza zaidi ya bilioni 193 kuimarisha upatikanaji wa umeme Dar kukidhi ongezeko la mahitaji ya kiuchumi na kijamii
Miradi inayotekelezwa inalenga kuongeza uwezo wa kusafirisha umeme kutoka vituo vya uzalishaji hadi kwa watumiaji
NATAFUTA BAJAJI YA HESABU – DAR ES SALAAM (DEREVA MWAMINIFU NA MAKINI)
Habari wana-JamiiForums,
Ninaomba mwenye bajaji iliyo katika hali nzuri ya kiufundi na anahitaji dereva wa hesabu jijini Dar es Salaam, tuwasiliane ili tuweze kufanya kazi kwa uaminifu number 0621810992
Habari za wakati huu na samahani ,nilikuwa naomba kama naweza pata kazi ambayo itanisaidia kwa namna moja ama nyingine
kikubwa iwe ya halali nipo dar es saam na pia nina uzoefu wa kufanya kazi maabara na kiwandani elimu yangu ni degree .msaada🙏🏻🙏🏻tafadhali
Namba yangu ni 0798449559
Unahitaji kompyuta kwa ajili ya kazi zako kama library, ofisini, video editing, engineering, architecture na n.k. Njoo ujipatie PC desktops na laptops kwa bajeti yako, kwa mawasiliano nicheki 0756704145 call,sms, WhatsApp.
Kwa mahitaji ya kompyuta laptops na desktops njoo ujipatie kwetu kwa hitaji lako, nitajie PC unataka ya kazi gani nikupe bei na specs (sifa) za PC unayotakiwa kuwa nayo, nicheki 0756704145 call,sms, WhatsApp.
Kama unahitaji gaming PC na workstations za custom build yaani unawekewa hardware unazotaka kama RAM, HDD au SSD , CPU kulingana na mahitaji yako...kwa desktops Computer, pia kwa laptops zipo aina zote za gaming, professional na mobile workstation zenye gpu ya NVIDIA graphics card... Njoo na...
Habari wakuu.
Pengine sipo sawa au nipo sawa kwa maana hii ni my own experience. Mimi nimepita mikoa kadhaa na nimeishi miji ya mikoa mingi sana nchi hii. Dodoma, Arusha, Kilimanjaro, DAR, Mwanza , Geita , Bukoba na Shinyanga ni baadhi ya mikoa na miji niliyoishi .
Kwa experience niliyoipata...
Explore the latest 518 Jobs in dar-es-salaam, November 2026
Apply For the 518 jobs Found in dar-es-salaam on this November 2026.
Explore various jobs from various companies. Herocean Enterprises (T) Ltd, United Bank for Africa (UBA) Tanzania, As Recruit Solutions, LGV Real Estate Consultants...
Hii haswa kwa wamiliki wa line za tigo aka Yas walioko Dar es Salaam katikati.
Ukiwapigia lazima halo halo ziwe nyingi.
Ni miezi 2 sasa nimefanya utafiti na kuona hili.
Yas mnayumba
Kampuni ya Honda imefungua kiwanda cha kuunganisha pikipiki eneo la Ubungo, Dar es Salaam, hatua inayolenga kuongeza ajira kwa vijana, kukuza ujuzi wa kitaalamu na kuimarisha sekta ya viwanda nchini. Kiwanda hicho kitaunganisha pikipiki kwa kutumia vipuri vinavyoagizwa kutoka nje, hatua...
Katika moja ya changamoto zinazosumbua Dar es Salaam ni foleni barabarani
Gharama za kumaliza hii changamoto kwa njia za kawaida ni kubwa sana inayogharimu billions za tsh ambazo ni usumbufu mkubwa sana kwa Serikali wakutenga budget
Lakini kupitia Pakome kuna mbinu za siri sana za kumaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.