VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
SIKATAI niko kuwa nimeolewa..
Lakini, kuna haka kashikaji kamehamia majuzi, ni moto wa kuotea mbali.
Kajinga kashanichanganya hadi nikaamuwa nimdanganye mme wangu kuwa naenda kumuona dada yangu Mjini, kwa kisingizio kuwa anaumwa na hana muangalizi wa karibu. My wangu nae bila hiana, alinikubalia.
Kajinga toka kamehamia, kana tu miezi miwili, na hata sijawahi ona mwanamke yeyote akiingia kwake.
Nilitoka nae akanisindikiza niende mjini kupanda gari la kuelekea alipo sister. Kiukweli sikuwa naenda kwa sister, nilitaka tu muda usogee aende kazini na mi nigeuze. Usiku saa mbili hivi, nikiwa ndani kwa Kishtobe wangu,
Around saa mbili na nusu, tukiwa ndani, tulisikia mtu anagonga, na kujitambulisha. Kumbe ni mme wangu. Buzi langu alichokifanya ni kuhakikisha nazama uvunguni, Mimi huyo chini ya kitanda. Jasho lilinitoka, jamani. uzinzi noma.
Akiwa mlangani nilisikia anamuuliza huyu m wangu: "Bro, una condom nane unisaidie? Hii kitu leo lazima inuke mayai choma." Nikajiuliza, sipo nyumbani. Mme wangu anahitaji condom 8?
Leave alone that one,jamaa alimpa, mtu ambaye sijawahi ona akiwa na demu, condoms anakaa nazo za nini?
Safari ya mbali iliahilishwa, ndani ya dakika 10, nilikuwa tu nyumbani; mme wangu humo ndani ameshakiwasha.
Namgongea, kakataa kufungua.
Na mi niliita uongozi akafungua kwa amri, masikini anaona aibu. Katika kujitetea, nilisema nilijua anayo hiyo tabia ni mtego nilimuwekea.
Dadeki, siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.
Mi kama mzinzi OG, nimemfumania mzinzi wangu pro max. Ila hakijaharibika kitu, na mi lazima nichakazwe ndo tuwekane sawa.