haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Kama Serikali inawapoteza Vijana wenye maono kama haya wanataka Taifa la aina gani?

    Wakuu, habari za muda huu. Nimekutana na kipande hiki cha video cha kumbukumbu cha mwanaharakati na kiongozi wa vijana, Twaha Mwaipaya, ambaye mpaka sasa bado hajulikani alipo tangu ripoti za kutekwa kwake mwishoni mwa Oktoba 2026. Katika video hii, Mwaipaya anasikika akitoa msimamo mzito kuwa...
  2. Kipenzi Changu

    Haya ndio makabila matatu yanayoongoza kwa kiburi na dharau

    Huu ni utafiti wangu wa muda mrefu sasa. Mfuatano huu ni kwa umuhimu 1. Wahehe 2. Wahaya 3. Wandendeule wapo Songea
  3. Dennis Robert Shughuru

    Kuna mtu kanitaja kwamba nina IQ ndogo haya ndo majibu yangu

    Kuna member kanitaja kule kwamba nina IQ ndogo na anaamini kwa kufanya hivyo ananikera na kuna ambao wamemsupport Paroco Watanzania ni watu ambao wanapenda sana sifa hata ambazo ni wazi hastahili kwa hiyo ukitaka kumuudhi mtanzania hata kama yeye hana fedha mwambie huna fedha atakukasirikia...
  4. N

    Mazao gani ambayo haya haribiwi na ngedele na nyani?

    Habari? Nina shamba langu lipo Tanga kando ya mto mkurumuzi , Kunachangamoto ya ngedele kila zao unalo lipanda wana kula na kufanya uharibifu , Je? Nipande zao gani ambalo nitavuna bila shida au njia za kitumia kuthibiti hao ngedele
  5. Yom HaDin

    Nashauri Masomo haya yafundishwe kuanzia chekechea ( babyclass) hadi chuo kwa lazima

    Wayarahisishe kulingana na levo na yawe ni lazima 1: Financial literacy. Watoto na wanafunzi wajue fedha ni nini, jinsi ya kuzipata kihalali, kuzisimamia na kuzisalisha hadi maskini anakuwa bilionea. China kuna kipindi video zinawekwa chekechea za wazazi wakifanya kazi kwa suluba ili angalau...
  6. Alexido jz instagram

    Ni starehe gani ulishawahi kuiona ilikushangaza sana, haya maconnection ni bomu la muda mrefu lilisubiri kulipuka tu

    Miaka hiyo ntena si zamani sana nadhani ni 2021 au 2022 kama sikosei, nilikuja dar nilikia na hela fulani hivi nikasema nikale bata. Sasa usiku nilienda pale buguruni, kuna club unaingia bure acha huku kwenye makolokolo ya kamali za wachina, hapa pembeni nika choma ndani mzee mziki huo waatu...
  7. Pascal Mayalla

    Hukumu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaibua Madudu ya Udhaifu Wa Mhimili wa Mahakama Kutenda Haki, Suluhisho la Madudu Haya ni Katiba Mpya!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiizungumzia jinsi hukumu ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu ilivyo yaibua yale madudu ya udhaifu wa Mhimili wetu wa Mahakama katika kutenda haki na kutoa hukumu za haki ambazo hata jicho la kawaida litajiridhisha kuwa haki...
  8. Crocodiletooth

    Kongole kwa BBC kwa maamuzi haya sahihi.

    Imekuwa ni utaratibu kwa baadhi ya wanahabari kusahau majukumu yao wakiwa kazini kwao na kugeuka wanaharakati hivyo kupoteza uelekeo wake kitaaluma hasa kwa kile kilichompeleka kwenye ajira yake! ======== Ni muhimu sana hata hapa kwetu tz,hili likamulikwa kuhakikisha weledi wa kazi unafuatwa...
  9. comrade_kipepe

    Leo nmeota Lissu atatoka baada ya mambo haya kupita

    Sijajua ni lini, lakini nimeota atatoka baada ya maridiano na MAREKEBISHO ya katiba mpya. Hii ni habari mbaya sana kwangu mana najua akisharudi mtaani atamsumbua sana daktari Samia suluhu (PhD)
  10. K

    NINI HATIMA YA HAYA YOTE

    Kwamba kuna watu wanatekwa kwa sababu mbalimbali ikiwemo za kimapenzi,kisiasa, kudaiana na nakadhalika;ni nini mwisho wa matukio hayo,nani ata yakomesha mambo haya,Watekaji hawajui kwamba kuna mwisho wa mambo hayo,hawaogopi? Kwamba kuna watu wanahukumiwa kunyongwa kwa sababu wamekosoa au...
  11. Isenye

    Hivi kwa haya majibu ya huyu mheshimiwa,wakuu wetu wa wilaya wamepikwa kweli kimaadili?

    Mkuu wa wilaya kujibishana na Gen Z kwenye mitandao ya kijamii,basi bora hata majibu yake yawe ni yenye staha,but anatoa majibu ambayo ni sawa na matusi tu. Kuna maadili kweli hapa? Hii tabia hata Gerson msigwa anayo sana.
  12. G

    Majina haya kwenye tangazo hili yakupa picha gani kwa Tanzania ya sasa?

  13. R

    Kumbe haya mambo ya cognate offence yalitabiriwa kitambo. Msikilize marehemu Alute Mgwai akijojiwa

    Hawawezi hawawezi ku substitute na kosa dogo, hawawezi! Kumbe waliweze?
  14. Kylor

    Maisha tuna tofautiana ukipata nafasi ya kumsaidia mtu msaidie kuna baraka nyingi sana

    Kuna siku nimekutana na mama ametoka kujifungua kwenye bajaji ya kushare nilikuwa naenda sehemu so kufika maeneo ya hospital bajaji ika simamishwa pale yule bibi aka muita mwanae wapande kwenye bajaji na yule bint alikuwa ana tembea kwa kujivuta sana nikauliza huyu si mzazi? wakajibu yes...
  15. Alexido jz instagram

    Nikimuangalia baba angu mdogo, miaka kadhaa nyuma, alikua tajiri kiasi chake, Leo Hana kitu, mlevi tu. Maisha haya, chunga sana

    NI jiji la mwanza tulivu mida ya asubuhi baba kiki akifanya usafi kwenye duka kubwa la electronics, fridge, tv, pass, maredio nk Amevaa nguo za ghaarama nyumba anayoishi ni ya gharama, watoto wake wakisoma chekechea za gharama kipindi hicho, mkewe mama kiki sijui ni mlinganishe na nani ili...
  16. R

    Waheshimiwa majaji Ndunguru, Karayemahana Kiwonde, hakuna mteja atawaamini kuwa mtatenda haki hata kama kesi haina maslahi na serikali. NAJISI

    Hata kama kesi itakuwa haina uhusiano na serikali, kwa hiki mlichokifanya, hakuna client wenu mwenye akili timamu atakuwa na imani kama mtaenda haki. Hata ksi ya wizi wa kuku ikiletwa kwenu, kesi ndogo hakuna ambaye atakuw ana imani nanyi. Ushauri: Huyo mliyemtumikia mwambieni awape kazi...
  17. Kaka yake shetani

    jamiiforum naomba zingatieni haya ni hatari kubwa ambayo hata maraisi wametumia dini au kabira wabaki madarakani

    Na shangaa kuona mada zikufutwa au kuunganishwa au kuwa kivuli watu wasisome. Sina mengi ya kusema ila ni wazi tulipofikia hata ujumbe huu mtakumbuka. Mungu ibariki mkifa
  18. britanicca

    Speculation bwana haya eti Nyama ya moto sana Kutema huwezi Maana ni utamu Kumeza huwezi ni ya moto

    Mmoja akauliza maswali ya kipuuzi nimtu namiheshimu very prominent What if wakasema tukimuacha huru bila ka hatia kokote ni shida atatushtaki, bora kifungo au faini Maana faini wana Chadema watailipa tu! Haimaanishi lazima kesi kwe hivo kuna mtu kauliza what if anafungwa kifungo cha nje miaka 5...
  19. uran

    Haya Magari yamenunuliwa kwa thamani ya 1.2B Mkoa wa Arusha

    Yamenunuliwa Matano. Ni Land Cruiser Prado 250. Maarufu kama Kasongo... Bei yake halisi Toyota Hii Hapa.
  20. R

    Lema kuna ujumbe wako toka kwa Quinine. Alitegemea utoe majibu kwa maswali haya. Nanukuhu wito wa QUININE kwako. Anataka majibu

    Prelude..Quinine: Lema, kwenye press yako tunategemea utakuja na majibu ya tuhuma hizi. Thread starter; Quinine Platinum Member Today at 7:52 Unatuhumiwa kuikutanisha familia ya Lissu na viongozi wa serikali kwenye hoteli ya Sea Cliff ili familia imuombee msamaha Lissu kwa Samia, je tuhuma...
Back
Top Bottom