VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Nani anabisha?
Mme hukumu ya miaka 20. Mke anawaza aolewe,abaki amlelee mfungwa?!
Mfungwa nae anawaza watoto wake wataenda wapi! Mwenake ataoa/kuolewa? Ataenda na watoto, je siku akitoka itakuwaje!!!