1. Utangulizi
Umewahi kujiuliza nini kinaweza kutokea ikiwa utawekeza fedha zako zote kwenye kampuni moja au aina moja ya uwekezaji, halafu uwekezaji huo ukapata changamoto?
Katika ulimwengu wa uwekezaji, kuna msemo maarufu unaosema: “Don’t put all your eggs in one basket.” Kwa Kiswahili...
MCA wa Watamu, Ibrahim Matumbo, amezua mjadala baada ya video hii inayosambaa mitandaoni kumuonyesha akiwapa wakazi fedha taslimu za KSh5,000 kila mmoja.
Katika video hii, wakazi wanaonekana wakijipanga kwa foleni huku wakipokea fedha hizo kutoka kwa MCA huyo. Tukio hilo limeibua maswali...
Biashara nyingi hazikui kwa sababu mwanzilishi wake anataka kufanya kila kitu mwenyewe. Anataka kuwa mmiliki, meneja, mfanyakazi, muuzaji, mhasibu, Customer Care na msimamizi wa kila jambo.
Matokeo yake, biashara inakuwa inamtegemea mtu mmoja. Akiondoka, mambo yanasimama. Akiumwa, biashara...
Sasa leo kwa mfanyo Malaika mkuu kaagizwa na mbingu mkiambiwa muunde serikali mtawezaje wakati ham a hata mbunge mmoja? Si bora mngeingia kwenye uchaguzi angalao mngeambulia wabunge wachache
Huo ndiyo ukweli hata kama mtanuna
Jioni njema
Deogratius Mushi
***
Ukiwa umepita mwaka mmoja tangu zilipotokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tatu Senkondo, mkazi wa Mbezi jijini Dar es Salaam, anaishi katika maumivu na sintofahamu kufuatia kutoweka kwa mumewe, Deogratius Mushi, aliyedaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana...
Nimesikia kuna tukio limemtokea binti mmoja ambae alikutana na kijana wa hovyo Muhuni akamfanya nae mapenzi kisha akamchukua video huku akiwa anamfanya hicho kitendo bila kuona aibu.
Kwa wakati huo naona wengi wamekua wakiongea kusema kijana amefanya tendo la uovu na haikua sawa au jambo sahihi...
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kibamba, Ernest Stanley Mgawe, amesimulia namna alivyokamatwa na Polisi mara mbili mwaka 2025, akidai kuwa katika tukio la pili alichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwake, akapigwa wakati wa mahojiano na kusababisha ashindwe kutembea kwa wiki mbili.
Mgawe, ambaye pia...
Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao.
Kamanda wa...
Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao.
Kamanda wa...
Diwani wa kata ya Msaranga Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro(CCM),Alhaj Ally Pendo maarufu kwa jina la Dunga amefanyaka mkutano wa hadhara na wananchi wake na kuelezea mafanikio yaliyopatikana tangu achaguliwe kuwa Diwani wa Kata hiyo Oktoba 29 mwaka jana
Mafanikio hayo yamejikita kwenye...
Polisi nchini Kenya wamewakamata raia watatu wa kigeni, Watanzania wawili na Mganda mmoja, kufuatia operesheni iliyofanikisha kupatikana kwa kilo 454 za dawa za kulevya zinazoshukiwa kuwa methamphetamine katika Kaunti ya Kwale.
Dawa hizo zinakadiriwa kuwa na thamani ya KSh3.6 bilioni katika soko...
Wana JF, naomba mnivumilie kwa dakika chache. Kwa kweli nimefika kipindi ambacho hata kupata maneno ya kuelezea hali yangu imekuwa changamoto.
Nimefiwa na baba yangu. Hili ni pigo ambalo si rahisi kulikubali wala kulizoea. Kuna pengo ambalo halizibwi kwa maneno, kuna kumbukumbu ambazo zinabaki...
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
hassan
hongera
jamhuri
jamhuri ya muungano
kipindi
kipindi cha pili
kutimiza
mmoja
muungano
muungano wa tanzania
mwaka
mwaka mmoja
pili
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
sana
suluhu
tanzania
uongozi
wako
Ukienda pale High Court masijala ndogo DSM ukumbi mmoja (open Court)
Hauwezi chukua watu zaidi ya 200, hivyo kuhamasishana kwenda pale ni kusababisha demand kubwa ya nafasi kwa kila mtu ambayo inaweza leta mambo mengine yasiyotabirika.
Sasa niwaase tu ndugu zanguni tutulie majumbani mwetu...
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
hassan
hongera
jamhuri
jamhuri ya muungano
kipindi
kipindi cha pili
kutimiza
mmoja
muungano
muungano wa tanzania
mwaka
mwaka mmoja
pili
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
sana
suluhu
tanzania
uongozi
wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.