chuo

  1. Zack Abdul

    WAZIRI MKUU AWASILI TABORA KWENYE MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ASKOFU MKUU MIHAYO

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Tabora, ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo leo, Novemba 28, 2026.
  2. H

    Waziri Mkuu Mwigulu awasili Tabora kwenye mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo

    WAZIRI MKUU AWASILI TABORA KWENYE MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ASKOFU MKUU MIHAYO Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Tabora, ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo leo, Novemba 28, 2026.
  3. OMOYOGWANE

    Kama unajiuliza ufanye biashara gani ukimaliza chuo au mtaani, siri ni hii: "Biashara zote ni extension ya kazi za nyumbani!"

    Wakuu habari za mida hii, Kuna mdau yuko mwaka wa mwisho chuo kikuu aliuliza afanye kazi au biashara gani. Swali lake limekuwa chachu ya kushusha huu uzi hapa ili umfungue macho yeye na wengine wengi wanaotafuta pa kuanzia. Ukweli ni kwamba, biashara nzuri ni ile unayoichagua wewe mwenyewe...
  4. M

    Naomba kuuliza hivi kazi gani anaweza kufanya mwanafunzi wa chuo kikuu kubla ya kumaliza chuo yaani yupo mwaka wa mwisho

    Naomba nijue maana natamni sana nipate kazi lakin sijaona kaz gan naweza kufanya kww mwanachuo kikuu mwaka wa mwisho anae soma
  5. O

    Sikuhizi vijana wavivu kwenda chuo tatizo nini?

    kijana kafaulu vizuri ana qualify mkopo, chuo n.k kifupi hana cha kukosa kulingana na sifa zake ila sasa hataki kwenda chuo kwa muda husika anakaa mtaani anasema ataenda next year . Mwaka unaofata haendi wala huoni pilika pilika anakuwa bodaboda mtaani mtu na divishen one tatizo nini ukiacha...
  6. abraham de potter

    KERO UDOM: Chuo kikuu kinashindwaje kutatua tatizo la maji wakati maeneo yanayokizunguka yana visima?

    UDOM: CHUO KIKUU KINASHINDWAJE KUTATUA TATIZO LA MAJI WAKATI MAENEO YANAYOKIZUNGUKA YANA VISIMA? Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kukabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na ya uhakika. Kinachoshangaza ni kwamba tatizo hili limekuwepo kwa miaka kadhaa bila kuonekana kwa...
  7. Roving Journalist

    Wasira ataka program zinazokidhi soko katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara, Stephen Wasira amekitaka Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kujitanua kwa kutoa programu zinazokidhi mahitaji ya soko, kuwawezesha wahitimu kijiajiri na kuajiriwa. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Novemba 20, 2026, aliposhiriki...
  8. Yom HaDin

    Nashauri Masomo haya yafundishwe kuanzia chekechea ( babyclass) hadi chuo kwa lazima

    Wayarahisishe kulingana na levo na yawe ni lazima 1: Financial literacy. Watoto na wanafunzi wajue fedha ni nini, jinsi ya kuzipata kihalali, kuzisimamia na kuzisalisha hadi maskini anakuwa bilionea. China kuna kipindi video zinawekwa chekechea za wazazi wakifanya kazi kwa suluba ili angalau...
  9. M

    Chuo unachosoma au ulichosoma kulikuwa na changamoto ya Huduma gani?

    Wanafunzi wa Chuo kilichopo Dodoma wanadai changamoto inayowakabili hapo chuoni ni uhaba wa maji, je kwenye Chuo ulichosoma au unachosoma kuna changamoto ya upatikanaji wa huduma gani? Usisahau kutaja jina la chuo na kama tatizo bado lipo wahusika wanaweza kuona na kuchukua hatua.
  10. Yoda

    Ubora wa elimu ya chuo kikuu ulidumaa sana tangu utawala wa awamu ya nne kuingia madarakani.

    Ukifuatilia habari za wanachuo Tanzania ulinganishe na habari za wanachuo wa nchi nyingine utagundua Tanzania bado ni nchi masikini na backward sana. Habari kubwa za wanachuo Tanzania ni 1. Matumizi ya mkopo (Boom) 2. Ngono 3. Uchawa kwa watawala Habari za wanachuo nchi nyingine ni 1...
  11. M

    KERO Wafanyakazi wa Tandabui Polytechnic Institute, Mwanza hatujalipwa maslahi yetu mwezi wa tatu sasa

    Mimi ni mmoja wa wafanyakazi wa Tandabui Polytechnic Institute, Mwanza. Sisi wafanyakazi, wakiwemo wakufunzi (tutors) na watumishi wengine, hatujalipwa mishahara kwa miezi mitatu sasa, huku tukiwa tunaelekea mwezi wa nne. Tumekuwa tukiulizia mishahara yetu kwa viongozi wa chuo pamoja na...
  12. Frank Wanjiru

    Amsomesha mpenzi wake Chuo Kikuu miaka minne,alipoenda kwenye Mahafari hajamkuta.

    Mwanaume mmoja nchini Kenya ameibua mjadala mitandaoni baada ya kudaiwa kujitolea kumlipia masomo na kumsaidia kifedha mpenzi wake kwa kipindi cha miaka minne katika Chuo Kikuu cha Karatina. Kwa mujibu wa simulizi hilo, mwanaume huyo alimsaidia mwanamke huyo tangu alipoanza masomo hadi...
  13. S

    KERO UDOM walianza kurejesha fedha za ziada (overpayment) lakini sasa wameacha, hatuelewi shida ni nini

    Bado kuna changamoto kubwa ya ucheleweshaji wa kurejesha fedha za ziada (overpayment) kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Baada ya taarifa iliyochapishwa na JamiiForums kuhusu kuchelewa kwa malipo hayo kusambaa, uongozi wa chuo ulianza kulipa baadhi ya wanafunzi, hatua iliyoashiria...
  14. Mikopo Consultant

    Nikiwa A-Level na chuo, nilikuwa napiga bao tamu sana kwenye mtihani mgumu!

    Aisee mimi ni mtu nilikuwa na hofu sana ya kufeli mtihani. Kwahiyo kuna wakati nikiwa kwenye mitihani mikubwa kama ya taifa na pindi nipo chuo kwenye UE, ilikuwa kama nikikutana na swali gumu basi nakuwa na hofu na mpaka inapelekea kubana mapaja sehemu moja na kujikuta napiga bao na kupata raha...
  15. Roving Journalist

    Korea yaipatia Tanzania Sh Bilioni 441 za kujenga Chuo mahiri cha TEHAMA Dodoma

    TANZANIA inatarajia kupata Chuo Mahiri cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (DTI) jijini Dodoma, ambacho ujenzi wake unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni 441, kupitia mkopo nafuu kutoka Serikali ya Korea Kusini, kwa ajili ya kuimarisha uzalishaji wa wataalamu wenye ujuzi wa hali ya...
  16. B

    KERO Tunaomba UDOM kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa program za masomo

    Tunaiomba uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa programu za masomo (Course Transfer). Wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao huwasilisha maombi mapema hulazimika kusubiri majibu kwa muda mrefu, huku masomo na moduli za...
  17. OMOYOGWANE

    Nilipokuwa chuo kikuu kuna jamaa alimtoa lecturer mtukutu nje , Lema vs Mange , Lema ni mwanasiasa Mange ni mwanaharakati, jasiri ndio mshindi

    Miaka ya 2010s nikiwa chuo fulani mkoani Morogoro, darasani tulikuwa wanafunzi zaidi ya 200, kulikuwa na. Freshers pamoja wanafunzi waliotoka makazini wanajiendeleza kimasomo miongoni mwao kulikuwa na askari jeshi lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kuukataa unyanyasaji wa yule lecturer mtukutu...
  18. M

    KERO Chuo cha CBE kimekataa kumsajili Mwanafunzi kisa hajalipa laki 8 huku mwisho wa kulipa ada ukiwa haujafika

    JE, NI SAWA MWANAFUNZI KUPOTEZA MWAKA WA MASOMO KWA SABABU YA TAARIFA ZA MALIPO YA ADA? Leo nikiwa maeneo ya Posta, Dar es Salaam, nilikutana na dada mmoja ambaye ni mwanafunzi mpya (fresher) katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE). Alikuwa katika hali isiyo nzuri kabisa, akilia kwa uchungu...
  19. Zack Abdul

    Songea: ujenzi wa chuo cha IAA wafikia 77%, wananchi watoa pongezi kwa rais samia

    Ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Tawi la Songea, umefikia asilimia 77. Chuo hicho kinatarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wanafunzi 4,500 kwa wakati mmoja, hivyo kuongeza fursa za elimu ya juu, kukuza ujuzi na kuchochea shughuli za kiuchumi katika Mkoa wa Ruvuma na maeneo jirani.
  20. A

    KERO Wazabuni tunaofanya kazi Chuo Kikuu Mlimani tunazungushwa malipo yetu kwa muda mrefu

    Binafsi, nina kampuni ya usafi inayotoa huduma katika taasisi kadhaa, ikiwemo Chuo Kikuu cha Mlimani. Hata hivyo, changamoto kubwa imekuwa ni malipo ya huduma tunazotoa. Unaweza kufanya kazi kwa zaidi ya miezi tisa bila kulipwa, huku ukiwa na wafanyakazi wenye familia zinazokutegemea na ambao...
Back
Top Bottom