Kwa mizigo hii, SADC walibaki na nini kwenye stoo zao za kijeshi lakini?

Kwa mizigo hii, SADC walibaki na nini kwenye stoo zao za kijeshi lakini?

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Bado tu mamia na mamia ya malori yanaendelea kusomba vitu kutoka Goma.

Inaonekana SADC,hasa Afrika kusini walijiandaa vya kutosha,bahati mbaya ndo hivo, safari ya fedheha ndo kama hii.

Shelia za kivita, hizi zote zilikuwa ni mali za M23. Je, inawezekanaje, M23 ilikubali kuwarudishia tu hivi hivi! Je,mpaka silaha zote hizi zinazosafilishwa kila mara M23 inaziachia, donge gani limetembezwa!

Kama kwa silaha hizi, SADC ilisalimu amri,tena mbele ya aliekuwa akiitwa muasi, hapa na siraha za jeshi la DRC bado zipo, hii M23 moto wake si ulikuwa wa kuotea mbali?
 

Attachments

  • SADC.mp4
    25.1 MB
Back
Top Bottom