King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeamuru Serikali na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuondoa mara moja vizuizi vyote vilivyokuwa vikizuia upatikanaji wa mtandao wa kijamii wa 'X' (zamani Twitter) nchini, ikitangaza kuwa hatua ya kuufunga mtandao huo ilikuwa...
Sabato Njema!
Kama mtaalamu wa masuala ya kimedani. Njama, hila, siasa chafu na mambo ya kijasusi. Nachelea kusema mbinu anazotumia Mzee wa Msoga zimemfanikisha kwa kiwango kikubwa sana. Huku opponents wake wakibaki wanaachwaga kwenye mataa.
Utanisamehe Mzee wa Msoga ikiwa hii kwako itakuwa ni...
Wakuu habari za mida hii,
Kuna mdau yuko mwaka wa mwisho chuo kikuu aliuliza afanye kazi au biashara gani. Swali lake limekuwa chachu ya kushusha huu uzi hapa ili umfungue macho yeye na wengine wengi wanaotafuta pa kuanzia. Ukweli ni kwamba, biashara nzuri ni ile unayoichagua wewe mwenyewe...
🔥 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! 🔥
Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!
📍 LOCATION: Goba Center
📐 UKUBWA: 645 SQM
📜 UMILIKI: Hati miliki ipo
📏 VIPENGELE VYA ENEO:
Kiwanja kimepimwa.
Kipo mtaa mzuri na tulivu.
Mita...
🔥 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! 🔥
Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!
📍 LOCATION: Goba Center
📐 UKUBWA: 645 SQM
📜 UMILIKI: Hati miliki ipo
📏 VIPENGELE VYA ENEO:
Kiwanja kimepimwa.
Kipo mtaa mzuri na tulivu.
Mita...
🔥 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – GOBA CENTER! 🔥
Unatafuta kiwanja katika eneo zuri kwa ajili ya kujenga nyumba au uwekezaji? Hii ni nafasi yako!
📍 LOCATION: Goba Center
📐 UKUBWA: 645 SQM
📜 UMILIKI: Hati miliki ipo
📏 VIPENGELE VYA ENEO:
Kiwanja kimepimwa.
Kipo mtaa mzuri na tulivu.
Mita...
Sio tabia yangu ila Kuna msela wangu tumefahamiana miez sita sasa sababu tunafanya kazi idara moja, sasa jana jana alinipigia kunisabahi kama kawaida ndipo katika store nikamuingizia hiyo shida akasema tutaangalia japo nae hayupo win win situation.
LEO SIKU YA TATU..NO CALL wakati alikua mtu...
Hizi teuzi za juzi ambazo Rais Samuya alitanua goli ili kuwaongezea ulaji watu wake zimenishangaza sana. Kama kuna kijana anasubiri uteuzi badala ya kutafuta kazi ajiajiri mwenyewe, ataendelea kusubiri hadi Yesu atakaporudi. Hakuna sura mpya hata moja iliyoyoingizwa ndani, teuzi zinazunguka...
Habari wanajamii,
Binafsi nianze kwa kusema sidhani kama ni vyema kuliweka hili suala wazi ingawa ni heri iwe tu,labda ninatengeneza historia.
Mimi ni kijana Gen Z ingawa bi miaka kabla ya 2000,Nilitoka nyumbani nikiwa na miaka 19 hivi,so hafi sasa ninajua mengi kidogo katika haya maisha
Yote...
Hivi hawa jamaa wanatuonaje sisi Watanzania? Wanadhani wote tuna akili kama za kina Yericko Nyerere Lucas Mwashambwa Troll JF za kusifusisu? Huyu huko nyuma alisema hivihivi wakati wa mkwe wake baadae wakakataa
https://www.facebook.com/groups/105479782985320/permalink/3405616519638280/
Jamaa aliua watu 9 cold blood kwa makusudi kabisa, amekuhukumiwa kifo ambapo adhabu itakelezwa au imepanga kutekelezwa dec 3 2026, yeye (muuaji) pamoja na ndugu zake wameomba mahakama kuzuia hiyo adhabu ya kifo, let than sink in, aliua watu 12 wasio na hatia cold blood bila ya huruma yoyote ile...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Mwaka 2014 mpaka 2016 mimi yalinishinda. Nilifanya kazi ya mkataba wa miaka 2 mkataba ulipoisha tu, wakataka kunipa mwingine nikakataa. Nikaondoka zangu kutoka Kigoma, huyooo nikarudi zangu Tanga kufanya kazi ya conductor wa daladala. Na ndio kazi yangu mpaka leo hii...
Duniani kote, takwimu zinaonesha kuwa ukataji miti na uvuvi wa baharini ndizo kazi hatari zaidi. Lakini hapa kwetu Tanzania, moja ya kazi zenye hatari kubwa zaidi ya kupoteza maisha ipo ardhini kwenye uchimbaji mdogo wa madini.
Kuanzia machimbo ya dhahabu kule Geita, Kahama na Mara, hadi...
Miaka michache tu iliyopita Watanganyika tulikuwa tunawa accuse Wazanzibari kwa udini, bila ya kujua ipo siku na sisi tutafikia huko. Tofauti ni kwamba Zanzibar ilitangulia tu, sasahivi ni kama wote tuko sambamba
Kuna mada nilileta humu kuhusu yule mtoto wa Ghana aliyeuawa kwa kupigwa risasi...
TIGO/YAS router hii ya POST PAID tunaibiana sana, inatuumiza sisi Raia wa Kawaida rekebisheni TAFADHALI. How come natumia ikiisha nikichelewa DENI linaongezeka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.