VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Jijini Kigali, Hoapitali ya CARAES Ndera,inayojihusisha na tiba ya magonjwa ya akili na mishipa, imetangaza kupata ongezeko kubwa la wanaotafuta huduma, wengi wao wakiwa vijana chini ya miaka 30.
Siku za nyuma,ripoti kutoka ngazi za serikali, ilidai mtu mmoja kati ya 5(1/5),aliwahi kusumbuliwa na magonjwa hayo.
Kazi ipo
Siku za nyuma,ripoti kutoka ngazi za serikali, ilidai mtu mmoja kati ya 5(1/5),aliwahi kusumbuliwa na magonjwa hayo.
Kazi ipo