Kuponya magonjwa haileti faida kwao wafanya biashara wamiliki wa viwanda vya madawa ya binadamu bigpharma ,wangependa wagonjwa waendelee kuumwa na kutumia dawa kwa muda mrefu hata maisha yao yote ili waendelee kuwa wateja wao wa kudumu.
They dont care about your health all they care is making...
Badala ya kila siku watu kutueleza madhara ya punyeto kuna haja sasa ya watafiti kufanya utafiti na kutuletea faida za punyeto. Tunahitaji kupata data za idadi ya vijana walioepushwa na magonjwa ya zinaa kupitia punyeto.
Nina uhakika kama kila hamu ya tendo ingeishia kwenye ngono magonjwa kama...
Habari ndugu zangu,Naomba kujuzwa kwa mwenye kufahamu kuhusu haya magonjwa yasiyoambukizwa namna yanavyoenea kwa kasi,Miaka ya nyuma chakula chetu kikuu kilikuwa Wali na Ugali lakini kasi ya magonjwa haya haikuwa kubwa kama ilivyo leo, Lakini leo hii tunaambiwa moja ya sababu ya magonjwa kama...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH), Umoja wa Afrika, jumuiya za kikanda, na wadu wengine katika kuimarisha uwekezaji na mifumo ya kudhibiti magonjwa ya mifugo kwa lengo la kuchangia kutokomeza Sotoka ifikapo...
IJUE ASALI YA UNGA ( POWDERED HONEY)
Dawa ya asili yenye maajabu ya kipekee.
Ni dawa iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa ASALI NA MIMEA (mitishamba au mimea tiba )
NI dawa ambayo imeonyesha mafanikio makubwa kwa kutibu maradhi mbalimbali kama vile:
1.Maumivu ya kichwa , mgongo, kiuno , magoti...
Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa nikiumwa mara kwa mara; leo tatizo hili, kesho lingine. Mwaka 2018 nilifanyiwa upasuaji na...
1.UTI
2. PID
3.Vidonda vya tumbo
4.Bawasiri
5.Presha
6.Kisukari
7.Maumivu ya viungo na ganzi
8.Ngozi ya mafuta na chunusi
9.Ngozi kavu na mikunjo
10.Nywele kukatika au kutorefuka
Tuma ujumbe whatsapp 0713 039 875 kuungwa kwa darasa BURE
Ng'ombe huyu ana asili ya Brazil anatokana mchanganyiko wa ng'ombe wa asili Gyr na Friesian.
Anasifika kwa kutoa maziwa mengi Girolando jike aliyezaa mara ya kwanza anaweza kutoa hadi lita 18 kwa siku na aliyezaa mara ya pili anaweza kufikisha lita 30 kwa siku.
Sifa nyingine ambayo inafanya...
Marafiki wakikuita velvet waambie upo na famila beach kwa zena
Marafiki wakikuuta kitambaa cheupe waambie upo plaza unacheki movie na wadogo zako.
Malaya zako wakikuita zile pubs za tabata, waambie wiki hii una marejesho
Washkaji wakisema wanakulipia bill kwa leo, waambie unaumwa na hauwezi...
Magonjwa yanayoongoza kwa unyanyapaa duniani na hasa Afrika Mashariki ni pamoja na:
1. VVU/UKIMWI
Bado ndilo gonjwa linaloongoza kwa unyanyapaa. Watu wenye VVU mara nyingi wanatengwa, kupoteza kazi, au kukataliwa na familia/jamii kutokana na dhana potofu kuhusu njia za maambukizi.
2. Ukoma...
Kuna watu wakishaoa au kuolewa tayari jukumu la kulinda afya zao wanawachia wenza wao. Yani anaamini kwa kuwa na mtu huyo huyo hataweza kupata magojwa? Swali je mwenza wako ni mwaminifu? Je utajilinda vipi ukiwa ndoani?.
SUPER DOSE 2
.- Dr.Zaganza: Wataalamu andaeni mchanganyiko hapo chini unatibu magonjwa 5
1. Unga wa matunda ya Mtomoko (Annona cherimola) 500gm
2. Unga wa mbegu za parachichi (Persea americana) 500gm
3. Unga wa mizizi ya Mjafari (Zanthoxylum chalybeum) 1000gm
Matumizi
Gram tano za unga katika...
UTASIKIA NJOO TUKUPINE MWILI MZIMA AU MWINGINE TUNAPIMA MAGONJWA YOTE , UKIENDA UNAMKUTA NA KIPIMO CHA Quantum Magnetic Resonance Analyzer (QMRA)😄 Halafu gharama ya mwili mzima 20,000 tu 😆😆
Kuna magonjwa ambayo watu wengi huyaficha kwa sababu ya aibu, unyanyapaa (stigma), au utamaduni, lakini wanatumia pesa nyingi kuyatibu kwa siri:
Magonjwa ya zinaa (STIs) na uzazi:
Kaswende (syphilis), Kisonono (gonorrhea), Klamidia – watu wengi hawapendi kujulikana wanaumwa
HIV/UKIMWI – bado...
Mnavo angalia zile sinema mfano spider man,wolf na zengine zikiwaonesha wanadamu kuwa na mwingiliano wa viumbe ni ujumbe wanawapa mujiaandae.
Leo kuku anaweza kukuambukiza magonjwa yake au mnyama wakati sio genetic yake.
Kuna project ambazo ni za siri sana inasemekana genetic ya mwanadamu...
. Epuka kufanya ngono hadi matibabu yakamilike na daktari athibitishe kuwa ni salama, ili kuzuia kuambukiza wengine au kuambukizwa tena.
Hii watu wengi hupuuzia lakini imekuwa ikifanya watu wengi kutokupona kabisa maana unapokuwa unatumia dawa hata wale bakteria walinzi wanakuwa wanazidiwa na...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeshiriki katika Mkutano wa 3 wa Kimataifa wa Kimkakati wa Kikanda wa PEN-PLUS unaolenga kujadili na kuimarisha mikakati ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza, unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.