kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakome

    Je, unafahamu sababu za baadhi ya makabila Tanzania kuwa na idadi kubwa ya Waislamu na Wakristo?

    Hali hii haikutokea kwa bahati mbaya wala hayakuwa mapenzi ya Watanzania kuchagua wenyewe dini wanayotaka Ukashangaa kutokuona Wachaga Waislamu au Waswahili Wakristo? Mgawanyiko wa Dini na Historia ya Jamii nchini Tanzania Katika jamii ya Tanzania, imekuwa jambo linaloonekana la kipekee na la...
  2. Business Mogul

    Watu wanaoitwa Robert mara nyingi ni watu wenye IQ na akili kubwa sana

    Watu wanaoitwa Robert mara nyingi ni watu wenye IQ kubwa sana akili kubwa sana . Kuna watu wengi duniani wanaoitwa Robert ambao wameacha alama kubwa katika historia ya sayansi, teknolojia, biashara, uchumi, sanaa na uongozi. 1\. Robert Oppenheimer Alikuwa mwanafizikia aliyeongoza kisayansi...
  3. Wauzaji wa Container Tz

    Watanzania 10 wenye akili kubwa: kujifunza kutoka kwa watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kutenda

    WATANZANIA 10 WENYE AKILI KUBWA: KUJIFUNZA KUTOKA KWA WATU WENYE UWEZO MKUBWA WA KUFIKIRI NA KUTEN Utangulizi Akili kubwa si lazima ipimwe kwa kiwango cha elimu, vyeti au uwezo wa kufanya vizuri darasani pekee. Akili inaweza kuonekana katika uwezo wa kuchambua matatizo, kutengeneza mifumo...
  4. F

    Kuna wakati gerezani kunaweza kuwa salama kuliko uraiani, Nchimbi alipotea akiwa nyumba kubwa

    Sikuwahi kuwaza kuwa mtu mwenye ulinzi Mkubwa kama Nchimbi aweza kutekwa na kupotezwa na kunyamazishwa kirahisi vile. Tukaambiwa na akina Pascal Mayalla kuwa, ndugu Nchimbi atatokea kukabidhi ofisi, ikapita hivyo hivyo, Sasa ulisema alipotezwa hujakosea. Ilifika mahali mfungwa Tundu Lissu...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Moja ya kosa kubwa kijana unalifanya ni kuogopa kuoa kisa mambo hayajakaa sawa. Kosa kubwa sana

    MOJA YA KOSA KUBWA KIJANA UNAJIFANYA NI KUOGOPA KUOA KISA MAMBO HAYAJAKAA SAWA. KOSA KUBWA SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baba Niliwahi kukuambia kamwe usijicheleweshe. Wala usikubali mtu akucheleweshe. Nilikuambia. Nikakuambia tena, yapo mambo ambayo utatakiwa uyafanye ukiwa na...
  6. Wakufoji

    Jamani utaratibu wa kwenda hospital kubwa ukoje ni hadi niwe na rufaa au?

    Nimevunjika mguu sasa nilikua napanga niende hospitali kubwa moja kwa moja je inaruhusiwa ?.
  7. TANESCO

    Na sisi tuna jambo letu kubwa tarehe 26, na tunawahitaji mlifuatilie kwa karibu!

    Ndugu wateja , Na sisi tuna jambo letu kubwa tarehe 26, na tunawahitaji mlifuatilie kwa karibu! Tukisema ni historia, mtasema tunajisifu wajivuni.Tukisema ni surprise, mtataka spoiler! 😂 Basi kwa heshima kabisa, tunawaomba tarehe 26 macho na masikio kwa admin. Tarehe isiguswe hiyo...😆
  8. leroy

    Naira ya Nigeria Iliporomokaje Kutoka ₦156 Hadi ₦1,534 kwa Dola? Funzo Kubwa kwa Afrika Mashariki!

    Mwaka 2014, Dola 1 ya Marekani ilikuwa inauzwa takriban Naira 156 nchini Nigeria. Kufikia Februari 12, 2024, Dola hiyohiyo iligonga Naira 1,534 kwenye soko rasmi (na kufika hadi ₦1,830–1,900 kwenye soko la mtaani/parallel market). Kufikia Novemba 19, 2026, kiwango rasmi kimekaa karibu na Naira...
  9. K

    Acheni kuwaonea wivu watu wenye IQ kubwa

    Kuna member mmoja alifungua uzi wa kuonesha appreciation kwa kuwatambua(appreciate) watu wenye IQ kubwa hapa Jamiiforums. Ila cha ajabu kuna member kama watano wameanzisha nyuzi kuonesha hawakubaliani na baadhi ya members kwenye hiyo IQ list. Ninachotaka kusema ni kwamba humu kumejaa wivu na...
  10. Red black

    Kuna familia zina siri kubwa sana

    kuna familia zinaua watoto wao wa uzao wa kwanza kama kafara wakiwa wachanga kabisa , kuna familia baba anawagonga wanae wa kike mpaka kuwazalisha, kuna famila mama anafanya mapenzi na watoto wake wa kiume, Kuna familia watoto wanaoana wao kwa wao na kuzalishana kabisa, kuna familia zina...
  11. Teslarati

    Tafakuri: Faida kubwa ya kuwasomesha watoto shule za bei au shule za vipaji maalum sio vyeti bali ni connections za ukubwani watakazopata kupitia huko

    Kuna jamaa ananishangaa sana ninapojikakamua kumsomesha mwanangu IST, anasema hio hela bora nikamuwekee bank. Umasikini unaanzia akilini especially pale mtu anavyoshindwa kujua kazi ya hela na hela inafanya kazi vp. Hio ada nikiiweka bank hadi aje amalize shule tyr haitokua na thamani...
  12. Dennis Robert Shughuru

    Tanzania hakuna mtu mwenye IQ kubwa tuacheni kujidanganya na kujifariji

    IQ kubwa inapimwa na output leo ukifa mtoto aliyezaliwa mwaka 2040 atakuwa inspired na maisha yako Tanzania watu wenye akili wapo wengi sana tatizo hatujapata watu watakaoleta mabadiliko makubwa ndo maana bado ni maskini Wako wanaojaribu ila bado hawajafanikiwa kuwa kwenye group la watu wenye...
  13. Alloyce PR

    Anguko la milki kubwa: Historia inaweza kujirudia?

  14. K

    Tatizo kubwa: Serikali ndiyo wavunja sheria wakubwa!!?

    Serikali badala ya kulinda ndiyo hao hao watekaji wa watu Serikali ndiyo hao hao wanabambikizia kesi watu Serikali hiyo hiyo ndiyo wanaiba kura za watanzania Halafu tunasema tuko sawa😂😂
  15. M

    2035, Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Watafiti wanabashiri ifikapo mwaka 2035,Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo. Utafiti huo uliofanywa na kituo cha utafiti cha Marekani cha Pew kinaonesha kuwa idadi ya Wakristo bado inakua lakini idadi jumla ya Waislamu inakua kwa kasi zaidi kutokana na kasi ya kuzaana...
  16. Mmawia

    Suzana Kaganda, Kamanda jasiri apewe nafasi kubwa polisi

    Huyu mama misimamo yake ilitosha kuwashawishi wakubwa wa wizard na idara ya polisi kumpatia nafasi kubwa ya maamuzi ndani ya polisi. Binafsi kwa sasa sijui aliishia wapi mara baada ya kuchomoza na hotuba zilizo trend sana kipindi kile Jiwe yupo magogoni. Soma Pia: Rais Samia asante Kwa Uteuzi...
  17. Tareq20

    Watanzania asilimia kubwa wanaamini mtoto Yule angel aliepigwa risasi oktoba 29 na kufariki Jana muhimbili pengine ameuwawa Je wewe unaamini nini?

    Piga kura hapa kuhusu mtoto angel aliefariki jana
  18. youngkato

    Jinsi ya kukuza biashara kutoka mtu mmoja hadi kampuni kubwa: Njia 8 za kujenga empire

    Biashara nyingi hazikui kwa sababu mwanzilishi wake anataka kufanya kila kitu mwenyewe. Anataka kuwa mmiliki, meneja, mfanyakazi, muuzaji, mhasibu, Customer Care na msimamizi wa kila jambo. Matokeo yake, biashara inakuwa inamtegemea mtu mmoja. Akiondoka, mambo yanasimama. Akiumwa, biashara...
  19. youngkato

    Biashara ya playstation: Jinsi ya kuanza, kusimamia na kutengeneza faida

    Je, umewahi kufikiria kuanzisha biashara ya PlayStation? Biashara ya PlayStation ni mojawapo ya biashara za burudani unazoweza kuanzisha kwa mtaji kulingana na ukubwa unaotaka. Unawapa watu nafasi ya kucheza video games kwa kulipia muda fulani, kwa mfano dakika 30 au saa moja. Wateja wako...
  20. radhiya

    Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana. Bei ya rejareja: sh 20,000/=. Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata Kinyerezi (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar. Mawasiliano...
Back
Top Bottom