Hela za wanawake huliwa na kina nani zaidi ya hawa!!

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,567
Reaction score
5,983
Nasikiaga wanaume wawili tu ndo wenye uhakika wa kula hela za mwanamke:

1. MCHUNGAJI
2.MGANGA WA JADI

Kama kuna kaukweli vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…