nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Ushawahi kuachana na mpenzi wako kwasababu ya kushindana kisirisiri “Nani atakaa muda mrefu bila ya kuanza kumtafuta mwenzie”?

    Habarini, Kuna trend ipo sahivi kwenye baadhi ya mahusiano mengi tu, unakuta we na mchumba wako hamjagombana, wala hamna aliemkwaza mwenzie. Ila kuna yale mawazo flani yanawapata wote wawili pale kila mmoja anapotaka kumtafuta mwenzake kumjulia hali kupitia meseji au phone call. Unakuta mdada...
  2. F

    Baada ya Tundu Lissu kuwa kiongozi mkuu hapo mbeleni, nani watamfaa kuiimarisha Serikali yake?

    Haya ni maoni binafsi, natumia uhuru wangu kutoa maoni, kamwe nisieleweke vibaya, ni uhuru wa maoni nilionao kikatiba. Kila mtu ajua kuwa CCM ilikufa rasmi October 29 2025, Sasa muda si muda,Tundu Lissu atakuwa kiongozi mkuu wa wa Tanzania Mungu akipenda. Sasa nauliza mapema,ni watu Gani...
  3. K

    Nani alikuambia uchawa haulipi?

    NANI ALIKUAMBIA UCHAWA HAULIPI? HUYU JAMAA MWENDAZAKE AKIRUDI LEO NAONA HAWATAWEZA KUONGEA JINSI ALIVYOMSALITI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 25, 2026, amemteua Hamis Mohamed Mwinjuma, maarufu kama Mwana FA, kuwa Waziri wa Uvuvi kufuatia...
  4. C

    Je ukiulizwa utaje watu watano watakaowapatanisha wanasiasa na kuliponya Taifa,utamtaja nani na nani?

    Katika kipindi hiki ambacho Taifa linahitaji maridhiano, mshikamano na umoja, ni muhimu kutafakari nafasi ya watu wanaoweza kusaidia kujenga daraja kati ya viongozi wa kisiasa wenye mitazamo tofauti. Uponyaji wa Taifa unahitaji busara, hekima, uadilifu na utayari wa kusikilizana bila kujali...
  5. MIXOLOGIST

    Nani Aliyetudanganya Kila Mtu Lazima Asome au Aelimike?

    Ni hivi, kila mtu anahitajika hapa duniani. Wajinga na Wapumbavu wanahitajika zaidi pia pengine kuliko werevu na wenye elimu. Kuna wakati na kuna shughuli zinahitaji watu wa aina hiyo. Kwanini sasa tulazimishe watu wawe na kiwango fulani cha elimu? Elimu ya msingi kuwa form IV Kupata ujinga...
  6. R

    Huyu ni nani: Wanachi wenye silaha waliua wenzao 29.10.2025!

    Anasema 29.10.2025 wananchi we ye silaha waliua wenzao Naona sigida........ Sigida tells something anyway!
  7. kibaigwa finest

    Nani wa kumfunga Simba SC?

    JKT Tanzania watakuwa wenyeji wa Simba SC leo tarehe 21 Novemba 2026, saa 12:30 jioni (18:30) kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Simba wanaingia kwenye mechi hii wakiwa kileleni mwa ligi bila kupoteza mchezo wowote, wakati JKT wanatafuta kusogea kwenye nafasi za juu...
  8. leroy

    Biashara Kati ya Tanzania na Kenya Mpakani (Namanga): Nani Anashinda Kweli na Nani Anapigwa?

    Biashara kati ya Kenya na Tanzania ilishuka kwa 9.4% mwaka jana hadi Ksh 114.1 Bilioni (kutoka rekodi ya Ksh 125.9 Bilioni). Katika kiasi hicho, Kenya iliuza bidhaa za Ksh 63.6 Bilioni kwenda Tanzania na kununua bidhaa za Ksh 50.5 Bilioni kutoka Tanzania. Cha kushangaza, takriban 70% ya anguko...
  9. MakinikiA

    Je ni nani aliyechokonoa mitambo, au Waajemi? Mkuu wa usalama wa mtandao wa Marekani, Sean Cairncross, amefutwa kazi

    Chanzo cha picha,Getty Images Mkuu wa usalama wa mtandao wa Marekani, Sean Cairncross, amefutwa kazi yake, chanzo kilicho karibu na Ikulu ya White House kimeiambia AFP siku ya Alhamisi, kufuatia hitilafu kubwa za mifumo na kuongezeka kwa wasiwasi kuhusu vitisho vinavyotokana na akili mnemba...
  10. leroy

    Deni la Taifa: Kati ya Kenya, Uganda na Tanzania Nani Yuko Kwenye Hatari Zaidi?

    Kila tukisikia taarifa za Deni la Taifa, namba zinazotajwa zinatisha: Kenya inadaiwa takriban Dola Bilioni 100, Tanzania Dola Bilioni 43, na Uganda Dola Bilioni 37. Lakini wachumi wanasema jumla ya deni pekee haiwezi kukuambia kama nchi imezidiwa au la. https://youtu.be/d0bonWJ1bw4 Uchambuzi...
  11. instinct desire

    Kwahiyo baada ya Lissu kufungwa majukumu ya mwenyekiti wa CHADEMA Yanafanywa na nani? Au CDM ni Mali ya Lissu?

    Heche hawezi kuitisha uchaguzi wa kumpata mwenyekiti mpya kwasababu aliwekwa na Lissu, Jina la Heche lilikuwa kwenye mfuko wa Lissu kwahyo mchakato wa kumpata Heche ni batili ndo maana chama kinaongozwa na mfungwa...HII HAIJAWAHI TOKEA DUNIANI KOTE. Cha ajabu Lissu mwenyewe hakukabidhiwa ofisi...
  12. U

    Tumalize utata jamani , Waha, Kinga, Chagga, Sukuma? Nani namba Moja kiutajiri!?

    Msinione mimi ni mbaguzi kwakuwa sijaweka Wahindi, Waarabu, na wapemba, hao utajiri wao ni exception, tuwaweke pembeni , tuwapambanishe wamatumbi peke Yao. Chalamila amesema japokuwa Dar ni ya wazaramo lakini kiuchumi katika mkoa wao wapo Chini Sana, na amekiri na kusema wapemba, waha wakinga...
  13. instinct desire

    Nyie wafuasi CHADEMA mkono wa Sheria haumalizwi kwa HASHTAG za #FREE sijui nani, acheni kufata mikumbo mtazeekea Mahakamani.

    Nyie CHADEMA acheni kufata mikumbo kesi hazimalizwi kwa hashtag za free panyaroad wa ufipa. After all; Hizo hashtags zenyewe ni kwa Lissu tu naye zimedumu wiki Moja tu baada ya hapo watu wakaendelea na maisha Yao, hao wengine sijui akina Pambalu hashitag zao zilidumu siku Moja tu baada ya...
  14. The UPCOUNTRIAN

    Ni nani huyu?

    Huyu bwana mwenye Suruali nyeusi ni nani? Alikuwa na 'umuhimu' gani kiasi cha 'kuwakusanya' Waziri na RPC?
  15. MWANDAMBO

    PostGE2025 Samia anaridhiana na nani, na kuhusu nini?

    Samia Suluhu Hassan anafanya mzaha na vituko vya kisiasa vya kiwango cha juu sana. Na pengine tatizo si yeye peke yake, bali hata baadhi ya watu wanaomzunguka ambao inaonekana wameshindwa kuelewa uzito wa hali ya kisiasa nchini. Samia aliingia kwenye Uchaguzi akiwa na vyama vya siasa vya...
  16. T

    Waziri mkuu anatumia nguvu nyingi kuaminisha umma kuwa anafanya kazi ila mpaka sasa mwaka na zaidi nani kaona jambo kubwa amelifanya!?

    Sijui kama ni mimi tu nashindwa kuelewa mambo au ni kitu gani Nimeona mahali mahali watu wanampongeza waziri mkuu kwa kufikisha mwaka mmoja wa uwaziri mkuu na hata huko njombe nimemsikia mbunge mmoja kampugia hadi magoti waziri mkuu, ila kwa upande wangu eti uniulize ni jambo gani ambalo...
  17. masopakyindi

    Wadau tustuke, huyu raraa reree ni nani? ana like kila post hasa za siasa?

    Sitaki kuingilia u-member wa mtu hapa JF maana ni kosa kujadili undani wa member na kujua ni nani. raraa reree ana like kila post bila kucomment, hasa za kisiasa. Lakini napata wasiwasi kuwa huyu raraa reree ni program tu ya kudukua kila member. Mwasemaje wadau? Aione : raraa reree jitetee mkuu.
  18. Red black

    Je, siku ukifa nani ataleta taarifa za kifo chako hapa JF 🤔

    Kifo ni fumbo , Nani ataleta taarifa za kifo chako hapa JF Mimi Mallerina ataleta info zote za kifo changu
  19. N

    Nani watakaonufaika na maridhiano na nani watakaopoteza?

    Kuna kilipu ya baba wa taifa hayati Mwl J.K. Nyerere akizungumzia juu ya revolution for change. Anasema wanaoogopa mabadiliko ni wanyonyaji na kwamba masikini wako tayari kujaribu siku zote na hawana cha kupoteza Siku ccm na cdm wakifanya Maridhiano, wakishikana na kukumbatiana, na wanachi...
  20. Gunner11

    Asikwambie mtu, kuishi single kunaharibu sana afya ya akili

    Niwachane tu ukweli wadau.. Kuishi single ni msala, kwanza unakuwa una hasira hasira tu. Ndugu zangu mlio single, Kamwe usije kudhani una enjoy, NY friend you are just surviving.. Kama jinsi mwili wako unavyo taka chakula hata viungo vyako vya siri vinadai... I need to reshape my love life...
Back
Top Bottom