hela

  1. E

    DOKEZO TAMISEMI hela mnazopeleka mashuleni zinapigwa!

    TAMISEMI ni wakati wa kuchapa kazi ili kumsaidia Raisi. Kumekuwa na udanganyifu mkubwa wa pesa zinazopelekwa mashuleni kuanzia kwa wakuu wa idara mpaka viongozi walioko mashuleni nitaelezea kwa kifupi jinsi gani serikali inavyopoteza pesa nyingi. 1. Serikali imekuwa ikipeleka pesa nyingi kwa...
  2. Moto wa volcano

    Tabia halisi ya mume kwa mke inaonekana akiwa na hela / Tabia halisi ya mke kwa mume inaonekana mume asipokuwa na hela

    Tabia halisi ya mwanaume kwa mke wake inaonekana akiwa na hela , tabia halisi ya mwanamke kwa mume wake inaonekana mume asipokuwa na hela.
  3. Namshakende

    "Wanaume tafuteni hela”

    Wakuu, habari za muda huu. Leo asubuhi nimepokea ujumbe kutoka kwa mwanamke mmoja akiniambia hapendi mwanaume bahili kama mimi na kwamba ninapaswa kutafuta pesa. Ujumbe huo umenifanya nitafakari kuhusu kauli maarufu ya “Wanaume tafuteni hela.” Ni kweli mwanaume anapaswa kujituma, kujitegemea...
  4. Jannatul Firdaus

    Nandy: Hakuna mtu ambaye atapewa dili la hela nyingi alikatae especially la pombe, isionekane hivyo kwa sababu atajua kwamba tumeongea details

    Mjadala mkubwa umeibuka kupitia klipu ya sauti inayoangazia madai yanayohusiana na dili la mvinyo au pombe linalodaiwa kuhusisha jina la msanii zuchu na Nandy. Inasemekana kuwa Zuchu alisikika akidai dili hilo lilikuwa liende kwake lakini alilikataa kwa sababu ni la mvinyo, huku sauti...
  5. Dogoli kinyamkela

    baada ya kupetezana kwa mda mlefu hatima wemekutana tena

    baada ya kupetezana kwa mda mlefu hatima wemekutana tena
  6. kavulata

    Tufunge mikikanda yetu, wazungu hawana hela ya kutupatia. Wako hoi pia.

    Kero ziko duniani kote, wazungu hawana hela ya bure kwetu siku hizi. Ukiona wanatupa hela tushituke, ni mtego huo. Tukabane humuhumu tulipe kodi na kuilinda kwelikweli itumike bila kudokolewa. ILikuwa Ufaransa, ikaenda Italy na sasa iko Ujerumani. https://youtu.be/p_GlVGvCmNE?si=UhYoPx0ZDi3vjueA
  7. Gunner11

    Mwanaume kama huna Pesa "huthaminiki"!

    Wanabodi.. Poleni kama nitakuwa nimeandika lugha ngumu, ila nataka kuweka msisitizo kabisa. Wanaume wenzangu, ni muda mwafaka wa kutambua ukweli Mchungu. Mnyama dume asipo kuwa na nguvu, hawezi kustahimili maisha ya porini. Ataishia kuteswa na wanyama wenye nguvu, hata pata jike, na pia hata...
  8. U

    Huwezi kuwa na hela ukala ugali na mihogo

    Niwatakie siku njema
  9. BOB LUSE

    Shule zimefungwa, hela zimetengwa na kutumika kwaajiri ya Elnino! Elnino Mungu kaizuia! Hizi tahadhali!

    Wakati mwingine ukishindwa jambo sio Vizuri ulazimishe hata kama Mazingira hayaruhusu! Watoto wapo majumbani, elnino haipo! Kwanini wasiendelee kusoma kwakuwa walichotarajia kitatokea tishio lake halipo. Kwanini wasitumie vyombo vilevile kueleza uhalisia huo. Mzazi kalipa ada mpaka hela ya...
  10. Gunner11

    Kumbe hela haitafutwi? Inategwa

    For a lifetime tumeambiwa kuwa pesa inasakwa, utasikia wanaume, "tafuta hela achana na wanawake" like pesa ni kama dhahabu inakwenda kuchimbwa. Guys, it's a sad truth Ukisema tutafute pesa, utaitafuta maisha yako yote na hautaipata.. Mimi mwenyewe nini elewa hiyo concept hivi karibuni. Na...
  11. G

    Nimenunua gari ndogo ya mizigo mjini. Napigaje pesa?

    Habari wana jamii. Naombeni kufunzwa namna biashara ya kubeba mizigo kwa gari ndogo kama hizi pick up za tani 2 inavyoendeshwa (Mfumo wake). Naanzaje? Napataje wateja? Gari ipo dar lakini mimi ni mgeni wa hii biashara. Msaada wenu🙏
  12. Corticopontine

    Tuibieni Hela zetu lkn si kuruhusu ushoga, chukueni vyoote lkn msiruhusu ushenzi wa kuangamiza Taifa letu

    Ni nini mmepewa mpaka mnakuwa na kigugumizi cha kukemea ushoga? Magari? Dhahabu?? Ni nini basi?? *Nimechukia sana na ububu wao kukemea ushenzi ushetani huu
  13. figganigga

    HOJA Benki ya CRDB inatuhumiwa kuibia watu hela kwenye akaunti zao. BoT ipo Kimya

    Hili swala la Benki kukata hela kwenye akaunti ya mtu bila makubaliano si sawa. Wanatakiwa watoe taarifa kwamba kuna hela hii tutakata mwezi ujao. Mtu unaweka pesa zako benki ukijua ni sehemu salama ukipatwa na shida ukaenda huikuti. Si bora mtu angeiweka chini ya godoro tu? Nashauri BoT...
  14. A

    DOKEZO Mfumo wa SIS unatumiwa na Wakuu wa Shule kujaza wanafunzi hewa ili wapate hela

    Mfumo wa SIS (School Information System) unatumika na Wakuu wa shule kujaza wanafunzi hewa (walioacha shule/kufukuzwa/wasioripoti) wote wanawekwa na hawaondolewi kwenye mfumo ili wapate hela nyingi kupitia mfumo wa FARRS. Wengine wanaenda mbali zaidi, wanawachangisha wazazi michango ya walimu...
  15. Mshana Jr

    Ukiwatumia hela hawa watu

    UKIMTUMIA MWANAMKE HELA 3,000 hawajibu 5,000 ok 10,000 nimeona 20,000 Tnx 50,000 Asante 100,000 asante ba mpenzi chibaba wangu🥰 jioni nakuja kukuona🤩 UKIMTUMIA MWANAUME HELA 3,000 kaka asante💪🏿 5,000 kaka umetisha🔥 10,000 unyama sana mwanangu🤝🏾 20,000 umetisha mwenyekiti📌🔨 50,000 Mungu...
  16. Msemaukwelii

    KERO Malalamiko kuhusu malipo ya walimu tuliosimamia mitihani ya Kidato cha Pili Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga

    Kuna malalamiko kuhusu malipo ya walimu tuliosimamia mitihani ya Kidato cha Pili, ambapo tumelipwa nusu ya fedha tulizostahili kulingana na makubaliano ya awali. Tulipohoji na kufuatilia kiasi kilichobaki, tuliambiwa na uongozi kuwa hayo ndiyo malipo yaliyopangwa, licha ya kuwa mkataba wetu...
  17. R

    Think deep: Walijua for sure, El Nino italeta maafa ya Jua Kali, ambapo huwezi " kupiga hela", wakasingizia Mvua kubwa

    THINK A BIT DEEP: Kwa auto drive mode ambayo TANGANYIKA inapitia, nasema kuna uwezekano mkubwa, " Wapigaji" ie wezi wa hela za umma, walijua kuwa El Nino this time itakuwa JUA KALI. Kwa muktadha huo huwezi KUIBA HELA. Unafanyaje? Unadanganya kuwa El Nino itakuwa ya mvua kubwa na hivyo inahitaji...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Waziri Makonda umekataa kutupa hela waandishi wa mtandaoni kwani sisi sio Content Creators?

    WAZIRI MAKONDA UMEKATAA KUTUPA HELA WAANDISHI WA MTANDAONI KWANI SISI SIO CONTENT CREATORS? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Juzi tulionana pale kwenye Final ya Pongwe Cup, Upanga, ukiwa kama Mgeni Rasmi. Sikupata nafasi ya kukujulisha hili kutokana na hali iliyokuwepo. Hii ni mara ya pili...
  19. instinct desire

    Je! Zile hela za Donation za kulisha mkutano mkuu wa chadema bado zipo? Maana naona CHADEMA Kuna UTAPELI mwingine wanataka waucheze kupitia Pambalu

    Watanzania shitukeni Kuna UTAPELI mkubwa sana ndani ya chadema, mpaka sasa mkutano mkuu haujafanyika ili hali watu walishashangishwa Hela nyng ambazo inasemekana zimeliwa na viongozi wa chadema. kama hela hazijaliwa basi viongozi wa chadema wajitokeze waseme zipo wapi na zipo sh ngapi mpaka...
Back
Top Bottom