VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Mchumba wangu Alinipigia simu!
Hello baby, nina njaa sana muda huu.
Samahani unaeza kuja kwangu muda huu , na wakati unakuja naomba uniletee kuku dear.
Bila kupoteza muda, ilianza kutafuta pahala wanauza kuku🐓 & nilinunua mkubwa kabisa nikaenda nikenda kwa mchumba wangu.
Alianza kumgawa vipande, akatoa nusu akachemsha na nyingine akaiweka kwenye friji.
Wakati tumekaa zetu kuku anaendelea kuiva😁🙆.....
Ndani ya kama dk 20 wakati kuku anachemka jikoni, simu yake ikaita; akaingia chumbani kwenda kupokea.
Baada ya kupokea simu, aliniambia kaka yake anakuja na hatofurahi akinikuta pale so nimpishe kidogo.
Akanisisitiza niondoke haraka atanipigia simu kaka yake akiondoka.
Kwa amani kabisa nilielekea jikoni nikashusha sufuria chini nikatoa zile nyama nikaacha mchuzi mtupu; nikafungua friji nikachukua vipande vyote alivyokuwa amevihifadhi🙄, nikaanza safari ya kurudi kwangu.
Kuanzia jana nampigia simu kujua kama kaka yake ameondoka ama laa wala hapokei simu zangu cha ajabu ananikatia kabisa😭😭😭
Watu wangu kwani kuna kosa nimefanya????😒😒😩😩