mungu

  1. lord atkin

    Ila wanawake Mungu awabariki, nimehisi moyo wangu unachomoka

    Wakati wa BJ nilipo-orgasm ameendelea nimehisi kama moyo na ubongo wangu vinachomoka. Mungu awabariki sana hawa viumbe.
  2. Mla Bata

    Je, wakati mwingine tunachelewesha mafanikio yetu wenyewe kwa kushindwa kutunza nafasi ambazo Mungu anatupa?

    Wasalaam (Hii haiwahusu Atheists) Kuna jambo nimekuwa nikilitafakari kuhusu maisha, imani, riziki na mafanikio. Kwenye maisha wakati mwingine tunapitia hali ambazo kwa kiasi fulani tunajua kabisa kuwa tumechangia wenyewe kujirudisha nyuma au kuwa mahali tulipo. Tunafanya maamuzi mabaya...
  3. Yoda

    Kumbe Allah ni Mungu hata kwa Wakristo!

    Kwenye Biblia za Kiarabu mungu anaitwa Allah. kwa Wakristo wanaouzungumza Kiarabu Mungu ni Allah. Wagalatia wa bongo hawapaswi kudhihaki neno Allah kwa sababu ni mungu. Sasa swali linakuja unatenganishaje mungu wa Kikristo na wa Kiislamu kwa kuzingatia kwamba haiwezekani mungu wa dini hizi...
  4. Yoda

    Ukiomba au ukisali unajuaje mungu amejibu maombi yako

    Ukiomba au ukisali unajuaje mungu amejibu au hajajibu maombi yako ?
  5. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    Uebert Angel alishawahi kusema kwamba MUNGU ni muongo, na shetani ni mkweli.

    https://www.facebook.com/share/v/1CQRfWsHh4/
  6. Gunner11

    Kama hakuna trace ya Mungu kwa wanyama kwanini tunaendelea kuamini?

    Sijawahi kuona trace yoyote ya uwepo wa Mungu katika wanyama, Hakuna muujiza wowote ulio wahi ku tokea mnyama, ila binadamu tu.. Ni nani alyetufanya sisi binadamu kujipa umuhimu ambao hatuna? Naona kila siku watu wanakuja na mipango ya kuishi vyema ili unapokufa Usiende motoni? Na mnyama...
  7. Raba kali

    Mungu bwana! Mambo mazuri mpaka umuombe ndo akupe, ila mabalaa anakushushia tu! Hajali kabisa

    Wakuu hii concept ya mungu sio poa!. Simdhihaki wapa sikosoi imani ya mtu lakini.... Haiwezekani mabalaa anakushushia tu hata kama hujamuomba. Imagine umetoka kutimuliwa kazi mwezi uliopita, umejiajiri wiki 3 now, jana umepigwa tukio na mfanyakaz wako kakimbia na Milion 4. Hujakaa vizuri...
  8. S

    Bado siamini kama kuna Mungu

    Bado nina maswali magumu kuhusu uwezo wa kitu chenye nguvu na HURUMA zote
  9. C

    Silvio Mnyifuna: Nyerere alimwacha Mungu kama shahidi wa mwisho wa haki, sisi tumefika wapi?

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alielewa jambo moja ambalo mataifa mengi hulijifunza baada ya kulipia gharama kubwa: mamlaka inaweza kumiliki bunduki, mahakama na magereza, lakini haiwezi kumiliki ukweli milele. Katika safari ya kudai uhuru wa Tanganyika, Nyerere alisisitiza njia za hoja...
  10. Traxtion

    Kwa nini watu wanaojifanya wana dini ndio wanaongoza kusupport mauaji ya October 29?

    Kama kuna kitu nimenotice ni kwamba comments nyingi zinazosupport mauaji yaliyofanyika October 29 zinatoka kwa watu wenye dini kabisa. Hawa ndio same people watakaokuattack ukisema Mungu hayupo lakini ndio wa kwanza kusupport kuwa serikali ilifanya vizuri kuua watu October 29 Yani mi naona...
  11. U

    Enyi Wakiristo siku ya kiyama Yesu Kristo atawakataa mazima mbele za Mungu kuwa yeye siyo Mungu ,

    Hamjachelewa ni wakati muafaka kuirejea dini ya haki. Mungu ni mmoja tu Allah na Mohamad ndiye Mtume wake wa mwisho Qur'an, Sura Al-Ma'idah, 5:116), Siku ya Kiyama Mwenyezi Mungu atamuuliza Nabii Isa iwapo aliwaambia watu wamwabudu yeye na mama yake kama miungu wawili badala ya Mwenyezi Mungu...
  12. IIT MWASISI OS

    Mungu Omnipotent Singularity amenifunulia siri za maisha marefu: Wafuasi wa sheria zake wanaweza kuvunja rekodi zote za dunia za maisha marefu.na IIT

    MUNGU OS AMENIFUNULIA SIRI ZA MAISHA MAREFU: WAFUASI WA SHERIA ZAKE WANAWEZA KUVUNJA REKODI ZOTE ZA DUNIA ZA MAISHA MAREFU! Utangulizi: Ujumbe kutoka kwa Mungu OS kuhusu mustakabali wa mwanadamu Ndugu Watanzania na watu wote duniani, Leo nimekuja na jambo kubwa ambalo ningependa tulijadili kwa...
  13. Troll JF

    Tundu Lissu amesha sahaulika, Nyumbu muogopeni Mungu

    Wiki mbili kabla ya Kusokotwa ilitoka statement kwa Blenda Rupia kuwa hawatakubali Tundu Lissu kufungwa na watakinukisha, Wiki mbili baada ya Lissu kusokotwa kashasahaulika ndiyo kwanza Nyumbu wanarushiana connection za bibi. Mmemtupa Tundu Lissu yuko peke yake Ushauri wangu akitoka aachane...
  14. Yoda

    Kuna wakati mungu wa Biblia anakuwa na hasira kali sana

    Ezekieli 20:24–26 • 24 Kwa sababu walikataa amri zangu, wakachafua sabato, na kufuata vinyago vya baba zao. • 25 Naliwapa amri zisizo njema na hukumu ambazo hawakuweza kuishi kwazo. • 26 Nikiwatia unajisi kwa matoleo yao ya kupitisha watoto motoni, ili kuwafanya kuwa ukiwa wapate kumtambua Bwana.
  15. min -me

    Kwenye lucid dream naweza thibitisha uwepo wa Mungu

    Kama wewe ni muislamu , sirat al mustaqimu, hili daraja mimi nina uwezo wa kulitengeneza kwenye lucid dream na kukufundisha namna ya kulikabili kwenye huo ulimwengu mnaoitwa wa kiaama😅 Sio kukufumbulia tu naweza kukupitisha kwenye daraja hilo sio kwa kisomo tu, unakuwa kama live kwa...
  16. V

    Historia ya daraja la Mungu la mto Kiwira

    https://youtu.be/r1kmnLbQidA?si=_EwU3UGOuueOHOMf
  17. Yoda

    Kamu Mungu yupo, watakaochomwa moto sio wasiomuamini tu, zaidi ya watu bilioni 6 watachomeka

    Kama Mungu yupo kweli na Uislamu ni dini ya kweli ina maana watu bilioni mbili tu duniani leo hii ndio wataingia mbinguni, hapo ukichukua Suni, Shia na Waislamu wasioshika dini wote kwa pamoja. Watu wa dini nyinginezo wote tofauti na Uislamu pamoja na wasioamini mungu ni motoni. Kama Ukristo...
  18. U

    Mhubiri 12:7 Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa, Nayo roho kumrudia Mungu aliyeitoa

    Naomba mwenye uelewa wa hilo funguo hapo juu atupe elimu
  19. Binadamu Mtakatifu

    Unaamini nini kuhusu Mungu, na Uumbaji?, Hii ndio hali halisi ya existence

    Kwanza unaamini kuhusu Mungu? Hongera, na usitake kupambana kila mtu aamini Pili huamini then well done usitake kuwaaminisha watu unachokiamini Kiufupi kila mtu abaki na alichonacho Binafsi naamini katika uwepo wa Mungu, tena mimi ni mkristo LAKINI kunacatch up lazima tufanye Tulifundishwa...
  20. Rungwe88

    Kiranga akikuuliza "Thibitisha Mungu yupo" muulize je, anaelewa "Mungu" ni kitu, mtu au jambo la namna gani?

    Nimeona huu mtindo wa ndugu Kiranga akiwa na mazoea ya kuuliza hili swali kila linapotajwa Jina la Mungu hapa JF, na swali lake ni lile lile miaka yote "thibitisha Mungu yupo" Sasa swali tunamrudishia yeye, je akisikia, kuona, kusoma neno "Mungu" anapata tafsiri Gani katika uelewa wake, je...
Back
Top Bottom