DRC: Rais mstaafu Joseph Kabila Kabange ahukumiwa kifo.

DRC: Rais mstaafu Joseph Kabila Kabange ahukumiwa kifo.

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Mwendesha mashitaka katika mahakama ya kijeshi nchini DRC, ameiomba mahakama kumpa adhabu ya kifo rais mstaafu wa nchi hiyo, Mhe Joseph Kabila.
Anakabiliwa na tuhuma za kutaka kupinduwa serikali ya rais Tshisekedi, na kuungana na makundi ya kigaidi kwa lengo la kuvunja usalama wa nchi. Kabila ambae alikimbia nchi zaidi ya miaka miwili sasa, kesi hii dhidi yake inaendeshwa bila uwepo wake.
 
Back
Top Bottom