kabila

Joseph Kabila Kabange ( kab-EE-lə, French: [ʒɔzɛf kabila]; born 4 June 1971) is a Congolese politician who served as President of the Democratic Republic of the Congo between January 2001 and January 2019. He took office ten days after the assassination of his father, President Laurent-Désiré Kabila in the context of the Second Congo War. He was allowed to remain in power after the 2003 Sun City Agreement ended the war. He was elected as president in 2006 and re-elected in 2011 for a second term. Since stepping down after the 2018 election, Kabila, as a former president, will be a senator for life, according to the Constitution of the DRC.Kabila's term was due to expire on 20 December 2016, according to the terms of the constitution adopted in 2006. Officials suggested that elections would be held in November 2016, but on 29 September 2016, the nation's electoral authority announced that the election would not be held until early 2018. Talk focused on the need for a census before holding elections. In August 2018, Kabila announced that he would step down and not seek reelection in the December 2018 general election. He was succeeded by Félix Tshisekedi in the country's first peaceful transition of power since independence.
While in power, Joseph Kabila faced continuous wars in eastern Congo and internal rebel forces supported by the neighboring governments of Uganda and Rwanda.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Nauliza hivi kuna Profesa yeyote nchini Tanzania anatoka kabila la Wazigua, Waha au Wafipa?

    Niwatakie usiku mwema
  2. Manyanza

    Lijue kabila la Wambororo

    Hili ni kabila linalopatikana Katika nchi za Nigeria, Kameruni na Chad...ni jamii ya wafugaji inayotambulika sana kwa tamasha lao la Gerewol ambapo wanaume ndio hujiremba sana ili waweze kupata wachumba...hii ni tofaut na jamii nyingi za kiafrika ambazo mara nying mwanamke ndio hujiremba ili...
  3. N

    NGUMU HII: Katika Kampuni binafsi ziliyojaa (60%) Management na Staff watu wa kabila moja tofauti na wewe. Uliweza ku-survive mtanzania Mwenzangu??!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Mwaka 2014 mpaka 2016 mimi yalinishinda. Nilifanya kazi ya mkataba wa miaka 2 mkataba ulipoisha tu, wakataka kunipa mwingine nikakataa. Nikaondoka zangu kutoka Kigoma, huyooo nikarudi zangu Tanga kufanya kazi ya conductor wa daladala. Na ndio kazi yangu mpaka leo hii...
  4. U

    Wazee wa kimila kabila la wakikuyu walalamika vijana wanaotahiriwa kuwa na maumbile madogo ya kiume wadai ni kwa sababu ya kuvaa pampasi

    Wazee na wataalamu wa tohara ya kimila kutoka jamii ya Wakikuyu wameelezea wasiwasi wao kuhusu kile wanachokiita "tatizo la udogo wa uume" miongoni mwa vijana wanaopitia tohara msimu huu. Wanasema baadhi ya wavulana hao wanaonekana kutokua kimwili kama inavyotarajiwa, na baadhi ya wazee...
  5. M

    Heche asifia sherehe za Tohara bila ganzi kuonyesha ushujaa, kwanini yupo kimya katika sherehe zinazoendelea za kuketa wasichana ?

    Tohara kwa wasichana zimekatili wasichana wengi sana, Wasichana wengi wakikeketwa wanachowaza ni kuletewa ngombe na kuelewa tu, ndoto za elimu huzima Ukimya wa Heche ni kusapoti haya ?
  6. min -me

    Kwa utambusho wa kabila la kichaga warombo wanastahili kila kitu

    Kwa kila kitu , kupambana tokea sifuri , mila na tamaduni lahaja ya kitambo ndiyo inapaswa kutuwakilisha wachaga wote . Warombo ni jambo la kawaida mno kukuta kijana wa miaka 18 ana miliki ghorofa na mabilioni ya fedha . Sisi wachaga wengi hizo pesa wanamiliki wazazi tu . Japo sisi...
  7. Pakome

    Nachukia sana Kabila nililozaliwa Tanzania, nikabila la hovyo linalonyanyasa na kudharau wote wasiokuwa na uwezo wa fedha, nimejitenga nalo

    Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
  8. Pakome

    Nachukia sana Kabila nililozaliwa Tanzania, nikabila la hovyo linalonyanyasa na kudharau wote wasiokuwa na uwezo wa fedha, nimejitenga nalo

    Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
  9. min -me

    Siku hizi ukisikia wadada wanataja kuvutiwa na aina, kabila fulani la sisi 🤣

    Siku hizi ukisikia wadada wanataja kuvutiwa na wanaume wa aina fulani ,tambua hao wanaume ni magoigoi ya mwisho , ambayo hao wanawake wanaweza kuwamudu . Hakuna mwanaume mwenyewe akili timamu , mwanamke wa kizazi hiki atamkubali moja kwa moja . Kwa sasa hizi jinsia zinavutiwa na...
  10. M

    Tukiachana na wamasai ni kabila gani lingine ni vigumu kumuona mtu mwenye ulemavu aliozaliwa nao

    Kuna wengine ?
  11. Yoda

    Kwa nini mtoto anakuwa wa kabila la mzazi mmoja tu ?

    Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ? Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
  12. F

    Hivi vikundi vya watekaji na wauwaji vidhibitiwe haraka,Raulent Kabila, alitendwa vibaya sana na mlinzi wake

    Tukiendelea kuwalilia na kuwakumbuka wenzetu waliouwawa October 29,2025, tujikumbushe kidogo historia. Hapo nchi jirani DRC yalianzia Mambo hivi hivi, dhulma, utekaji na mauaji wakati huo Kuna watu Fulani, walidhani wao hawawezi kufikiwa. Sasa ilitokea siku moja mlinzi wa karibu wa Raulent...
  13. A

    Heche mkutanoni Nzega: Haya tunayoyadai wengine kina Kabila wanaingia misituni kuyatafuta. Sisi tunayadai kwa amani mnatuua!

    John Heche, Tabora Haya tunayodai wengine kina Kabila wanayatafutia wakiwa misituni. Sisi ni chama cha amani lakini bado mnatuwinda, mnatuua! ################# Maoni yangu SERIKALI NA WATANGANYIKA Mmewahi kujiuliza, hivi huko Congo, Sudan, Somali, nk nk nk Silaha zilifika fikaje kwenye...
  14. C

    DRC: Kabila anapanga mashambulizi dhidi ya serikali

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemshutumu rais wa zamani Joseph Kabila kwa kupanga kile ilichokiita "shambulizi pana” dhidi ya taifa hilo baada ya kuungana na waasi wa M23 na kuunda muungano wa FRN. Akizungumza na shirika la habari la AFP siku ya Ijumaa (16.10.2026)...
  15. USSR

    Kuna watu hapa Tanzania ukiwaona tu unatambua ni kabila gani au watu wa mkoa gani .

    1. Wamakonde ukiona vichwa vya mviringo unajua tu huyu ni mmakonde 2.Mchaga macho makubwa, vichwa vikubwa na miguu myembamba unafamu huyu ni mangi . 3.Mhaya sura ngumu ya kutisha na imekomaa unafahamu huyu ni kyoma. 4.Muiraq/mmburu weupe mkali miguu myembamba na pua mchongoko hapo unajua maji...
  16. E

    Vital Kamerhe amshukia Joseph Kabila kuanzishwa kwa FRN

    Vital Kamerhe, rais wa zamani wa Bunge la Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), amekosoa hatua ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Joseph Kabila, kuongoza kundi jipya la kisiasa na kijeshi linaloitwa Front pour la Refondation de la Nation (FRN), akisema hatua hiyo akisema hatua hiyo...
  17. E

    Joseph Kabila atangazwa kuwa kiongozi wa kundi jipya la kijeshi na kisiasa DRC

    Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Joseph Kabila, ametangazwa kuwa kiongozi wa kundi jipya la kijeshi na kisiasa linaloitwa Front pour la Refondation de la Nation (FRN), hatua inayoweza kubadili mwelekeo wa mgogoro wa kisiasa na kiusalama unaoendelea mashariki mwa nchi...
  18. USSR

    Joseph Kabila na hoja 10 dhidi ya utawala wa sasa wa DRC chini ya Tshisekedi

    OKOA CONGO: Kabila Amkataa Tshisekedi Kuhudumu kwa Muhula wa Tatu na Kuwataka Wananchi Wachukue Hatua Kuokoa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC): Hoja kuu 10 kutoka katika hotuba ya Rais wa zamani Joseph Kabila. 1️⃣ Kongo iko katika hatari ya kusambaratika...
  19. Yoda

    Hili kabila la Wachaga linakuaje moja wakati lugha ni tofauti?

    Kwa nini Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Warombo, Wasiha na Wa Old Moshi wote wanaitwa wachaga wakati lugha zao ni tofauti ? Mbona kama utapeli ulianza mapema?!
  20. mwehu ndama

    Acheni kuwabagaza wanawake kutoka hilo kabila tukufu

    Kumekua na mijadala na hoja kadha wa kadha za kuwasagia kunguni wanawake wa kimatumbi toka kabila moja tukufu hapa nchini kwamba hawafai kufanywa wake wa ndoa. Wapo wanaodai kwamba wanawake hao ni vibaka wakuzaliwa na kwamba wanapita na chochote ulichonacho. Hata kama mwanaume unamiliki buku...
Back
Top Bottom