Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.
Asema kwamba Tanzania haiwezi kujenga maridhiano ya kudumu kwa kufunika madai ya dhuluma badala ya kuyatatua.
Aliyekuwa mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, amepinga mchakato wa maridhiano unaoandaliwa na Serikali, akidai hauwezi...
Aliyekuwa Gavana wa Migori, Okoth Obado, pamoja na washirika wake wawili, wanatarajiwa kujua adhabu yao leo baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Rongo, Sharon Otieno.
Mahakama Kuu chini ya Jaji Cecilia Githua inatarajiwa kutoa hukumu dhidi...
Israeli: Wakili maarufu wa utetezi wa Israeli Zion Amir aliwashutumu wale walio nyuma ya kesi dhidi ya Benjamin Netanyahu kwa kufanya kazi na washirika wa vyombo vya habari kupotosha umma na kuiangusha serikali yake ya mrengo wa kulia.
Akizungumza na Noam Fathi na Ariel Sender, Amir...
Tuliposema Karafuu imegaragazwa vibaya sana watu hawakuelewa technically Ina Maana gani 😁
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewasilisha taarifa ya kusudio la kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania (Masjala Ndogo ya Dar es Salaam), akipinga uamuzi wa Mahakama Kuu uliomwachia huru...
A Harare court has granted a State application to withhold the names of the complainant and witnesses from publication on security grounds in the case of Spirit Embassy Church founder Uebert Angel. The application was granted by consent.
Angel has been placed on remand after appearing in court...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi Mhe. John Pambalu imeahirishwa baada ya hakimu anayesikiliza kesi hiyo kutopatikana mahakamani.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 24 nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, Wakili wa Pambalu...
Kesho tarehe 24/11/2026 muda wa saa 3 asubuhi John Pambalu atapelekwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kusomewa mashitaka ya kesi inayomkabili ya Ugaidi.
Stay tuned
AMKENI!
@Africa_In_EN
imechapisha madudu ya kimama na kumwanika Ndejembi Urafiki wake na Abdul iko on recordLakini pia alifunguliwa kesi Uingereza na anadaiwa faini na hadi leo hajalipa! Ndo nawaambia hawa TISS ya Mombo ni 🚮 - Makamu wa Rais mzima ameacha vimeo huko UK! Na tungejua huyo faini...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiizungumzia jinsi hukumu ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu ilivyo yaibua yale madudu ya udhaifu wa Mhimili wetu wa Mahakama katika kutenda haki na kutoa hukumu za haki ambazo hata jicho la kawaida litajiridhisha kuwa haki...
haki
haya
haya ni
hukumu
hukumu kesi ya uhaini
katiba
katiba mpya
kesikesi ya uhaini
kutenda haki
lissu
madudu
mahakama
mahakama kutenda haki
mpya
suluhisho
tundu
tundu lissu
udhaifu
uhaini
Angalieni jinsi kesi ya Lissu imefichwa kwenye mtandao bila kuandika jina lake - kesi imeandikwa maherufi tu
Nimepiga screenshot muone kesi zingine zinavyowekwa
tanzlii.org/en/judgments/a… - ingieni hapa
Huu usanii mtupu @judiciar
Kesi ya uhaini inayokuikimkabili Tundu Lissu, upande wa mashtaka uliwasilisha mashahidi 17, ambapo tisa walikuwa mashahidi waliolindwa kwa kufichwa utambulisho wao. Miongoni mwa mashahidi waliotajwa hadharani ni ACP George Bagyemu (PW1), aliyekuwa kiongozi wa timu ya uchunguzi, na ACP Amini...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC) kimeibua maswali kuhusu uamuzi wa Mahakama Kuu kumhukumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi, baada ya kumkuta hana hatia ya kosa la uhaini.
Katika taarifa yake iliyotolewa Novemba 12...
Haya hapa mapendekezo na wito wa LHRC kulingana na hukumu ya kesi ya uchochezi ya Tundu Lissu
1. Wito kwa DPP Kupitia Upya Mashtaka ya Uhaini
La kwanza ni kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kupitia upya mashtaka yote ya uhaini yaliyofunguliwa kwa kutumia kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya...
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ni mmoja wa wanasiasa wa upinzani wanaofahamika zaidi Tanzania, na pia ni wakili mzoefu. Kesi ya uhaini iliyofunguliwa dhidi yake Aprili 2025 ilimpa nafasi isiyo ya kawaida: kusimama kizimbani kama mshtakiwa na wakati huohuo...
Baada ya watu kujadili hukumu ya kesi ya jamuhuri dhidi Mh. Lissu, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Mendeleo nimeona nami niiangalie kesi kwa jicho la mtu wa kawaida, ambaye si mwanasheria na namna hukumu inavyoathiri twasira ya mahakama kwa jamii.
1 .Iwapo kosa alilokutwa nalo mh. Lissu...
Hapa ndipo ninapoanza kupata matumaini kwamba mambo yanayojiri huko juu si mepesi. Taarifa zinapovuja kuhusu jambo nyeti kama hili, kwetu ni fraha mambo ni moto lakini hutufanya tutafakari kwa kina.
Kwa kawaida, taarifa za ndani zinapovuja kuna maswali kadhaa ya kujiuliza:
Hutakiwi ...
Cha kushangaza kwenye tovuti ya mahakama ukipitia hata hii kesi aliyopewa lissu tokea mwanzoni ya mchongo hakuna sehemu kuna taarifa.
Jambo jengine wanampa pongezi jaji wao masaju.
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwatahadharisha CHADEMA na Lissu wao kuwa kama na ikiwa watajaribu Kukata Rufaa basi watakuwa wanajisumbua na kujipotezea Muda tu .
Kwa Sababu kwa Sasa Muda Siyo Mrefu Majaji Wataanza kwenda Likizo Ya Mwisho wa Mwaka ambapo kurejea kwao ni kuanzia 2027 mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.