DRC: Aliekuwa rais wa nchi, Joseph Kabila, akabiliwa na kesi

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,568
Reaction score
5,983
Joseph Kabila, baada ya kuondolewa kinga na Bunge na seneti ya nchi yake, leo hii kesi yake imeanza mahakamani. Anakabiliwa na tuhuma za usaliti, na kuwa mmoja wa waasi, ambao ni kundi la AFC/M23. Kundi hili limesema si mwanachama, lilimpokea tu kama rais mstaafu mwenye mchango mkubwa wa kisiasa katika kuhakikisha amani inapatikana nchini humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…