nchi

  1. Robert Heriel Mtibeli

    Kimedani Mzee wa Msoga hataruhusu rafiki yake yeyote au mtu wake wa karibu mwenye ndoto ya kuwa Rais awe Rais wa nchi hii

    Sabato Njema! Kama mtaalamu wa masuala ya kimedani. Njama, hila, siasa chafu na mambo ya kijasusi. Nachelea kusema mbinu anazotumia Mzee wa Msoga zimemfanikisha kwa kiwango kikubwa sana. Huku opponents wake wakibaki wanaachwaga kwenye mataa. Utanisamehe Mzee wa Msoga ikiwa hii kwako itakuwa ni...
  2. F

    Mwigulu anapodai kuwa "ukiua watu, unaleta laana juu ya nchi" anamaanisha nini?

    Kuna aliyemwelewa anieleweshe? Anajaribu kupeleka ujumbe Gani? Naomba kujibiwa
  3. Echolima1

    Wahamiaji haramu kutoka nchi za Kiislamu waleta fujo huko Georgia

    Polisi wa Georgia walipambana na wafuasi wa Beşiktaş wa Uturuki wakionyesha bendera zinazoitwa "za Palestina" na mabango ya "Wapalestina" wakati wa mechi ya Ligi ya Europa ya UEFA dhidi ya Hapoel Be'er Sheva ya Israeli. Maafisa walitumia dawa ya pilipili na fimbo, na kumwacha angalau mtu mmoja...
  4. tpaul

    Vijana tafuteni ajira; teuzi zinazunguka ndani ya ukoo wa panya

    Hizi teuzi za juzi ambazo Rais Samuya alitanua goli ili kuwaongezea ulaji watu wake zimenishangaza sana. Kama kuna kijana anasubiri uteuzi badala ya kutafuta kazi ajiajiri mwenyewe, ataendelea kusubiri hadi Yesu atakaporudi. Hakuna sura mpya hata moja iliyoyoingizwa ndani, teuzi zinazunguka...
  5. T

    Viongozi wa Tanzania Kisaikolojia hawa ni watu wenye mapungufu makubwa ya kujiamini na kuamini thamani yao

    Ni hivi, tuna viongozi wenye matatizo ya akili, ufahamu na hata nathubutu kusema, wanaugua hisia za kujiona duni- inferiority complex. Kuanzia utitiri wa ma PHD ya kujibambika ( kwani kila PHD wa kweli lazima awe ameandika na kuitetea 'nadharia' yake, aka thesis), hadi kulazimisha majina yao...
  6. Traxtion

    Marekani ni nchi tajiri sana. Kwa nini hawatatui tatizo la homelessness na drug addiction nchini kwao?

    Huwa nikiangalia matatizo ya huku kwetu Africa, ni kwamba nchi za Kiafrika ni masikini na kuna matatizo kama makazi nk ni ngumu kusolve kwa sababu nchi za Kiafrika hazina hela Lakini Marekani wamerithishwa nchi tajiri na hadi leo inaendelea kuwa nchi tajiri kwa nini wanashindwa kupata solution...
  7. Kazanazo

    Nataka kujua, endapo chadema mkichukua nchi mtaiendesha kwa mlengo gani?

    Hapa nazungumzia ubepari na ujamaa, nataka nijue chadema sera zao ni za mlengo gani. Tunaona nchi kwa sasa chini ya ccm imekuwa ikionesha kwa vipindi kuwa haijafungamana na upande wowote endapo, kuna kipindi akiingia rais huendesha nchi kwa sera za kijamaa kama vile karudisha nguvu ya taasisi za...
  8. polokwane

    Huu ujinga wa zamu ya wakristo na zamu ya waislam kwenye urais ufe! Nchi haitasonga kamwe maana kuna kundi linairudisha nchi nyuma kila awamu yao

    Kuna awamu za upande fulani zikishika serikali lazima nchi iwe kwenye hekaheka wizi,ufisadi,ubadhirifu,uzembe, kulindana kutokana na udini,matajiri wa msimu huibuka tu from no where sababu ya wizi, miradi inakwama ,watoto wao kuhusihwa kabisa na maswala ya serikali,mikataba ya kishenzi shenzi...
  9. A

    Kabla hujanunua gari nje ya nchi, soma haya kwanza

    Unapanga kuagiza gari kutoka Japan, Uingereza, Dubai au nchi nyingine? Usikimbilie kufanya malipo kabla ya kuzingatia mambo haya matano muhimu: 1️⃣ Historia ya Gari: Uliza kuhusu wamiliki waliopita na kama gari limewahi kupata ajali. 2️⃣ Hali ya Gari: Kagua injini, umbali liliosafiri...
  10. instinct desire

    Heche waambie watu wajue kuwa wafuasi CHADEMA wanakamatwa kwa Mujibu wa sheria. Acheni kutafuta umaarufu kwa kuvunja Sheria za nchi

    Kwasababu 2Pac alipata umaarufu kwa kuvuta Bangi basi na nyny wafuasi wa CHADEMA mnafanya uharifu kwa makusudi ili mjulikane mpo ili mpate umaarufu, ndugu zangu achaneni ni hizo siasa za kibangi Bangi Dunia ya sasa haihitaji waharifu & MAGAIDI Mtachukuliwa hatua za kisheria na hakuna atakaye...
  11. R

    Rais Mwinyi ana uchungu na raslimali za nchi yake, Tanganyika anauzwa kila kitu maana anajua hapa siyo kwake/ kwao

    Wwkurugenzi wameiba billion Tsh, amewawajibisha, ila Samia hapa anasema tuwazomee! Hapa ni TANGANYIKA, siyo kwao ya TANGANYIKA hayamuhusu
  12. Echolima1

    Hatimaye waarabu huko Lebanon waamua nchi yao kufanya mahusiano na nchi ya Israel!!

    https://t.me/hnaftali/24861
  13. Kaka yake shetani

    Hii nchi inachekesha sana kwa sanaa za serikali ya CCM

    Kuna mda mwengine unajiuliza hivi hawa ndio viongozi au vichaa tuliopo nao wameshika daraka. Katika hii tume mpya watajitokeza maishi wa kulazimishwa kwa mateso na wengine wakulipwa kusema yale yaliyotokea tanzania nzima hakuna hata polisi wala serikali walikuwepo kwenye kuhusika. Watadai...
  14. UMUGHAKA

    Wakuu kwa hiki nilichokiona Geita, Itoshe kusema hii nchi inatafunwa vibaya mno

    Usinchoshe na nsikuchoshe,Tusichoshane! Wakuu nipo hapa Geita kwa takribani siku kadhaa,kuna rafiki yangu mmoja yeye ni dereva wa magari makubwa ya mizigo yanayokwenda nchi za nje,wakati ananipigia simu kunipa hai alijua nipo Dar es salaam lakini nikamwambia kwa muda ule tulipokuwa tunazungumza...
  15. figganigga

    PLATO: Mpumbavu anapopata madaraka, jambo la kwanza analofanya ni kuwanyamazisha wenye hekima na kuiangamiza Nchi

    Mpumbavu anapopata madaraka, jambo la kwanza analofanya ni kuwanyamazisha wenye hekima. Jambo linalofuata ni kujikusanyia wapumbavu wengine wanaomzunguka. Na jambo la mwisho analofanya ni kuiangamiza nchi.” Nukuu hii inahusishwa na PLATO. Plato alikuwa mwanafalsafa mashuhuri wa Ugiriki ya Kale...
  16. Carlos The Jackal

    Ni Katika Damu pekee ndipo CCM wataachia NCHI, hamna lingne CCM watakalofanya la kuwaondoa Madarakani, Nawao wanaogopa Jela na Umasikini.

    Hivi kweli Kikwete na Familia yake wanaweza acha NCHI itawaliwe na CHADEMA ? Samia na Familia yake ?. Huyu ZCO Mafwele, Mafwele ana nguvu sana NCHI hiii ,ingawa nguvu yake ni ya utegemezi ,lkn je atakubali CCM itokee Madarakani?. Akina Kiziga ?. Hujamtaja, Mombo na Genge lake ...
  17. The Dictator

    Utapeli ni mwingi nchi hii....mko wapi, mnaendeleaje na biashara zenu?

    Kuna wale walihamasika kufuga kware miaka ile, mko wapi? Biashara inaendeleaje sasa? Wapi wale wa vanila? Wapi wale wa mr. Kuku? Wapi na wale wengine mliokuwa fursa za wengine labda mmefanikiwa pengine?
  18. Pakome

    Kuna Serikali nne za Afrika zinafanya majadiliano ya kufungia TikTok kwenye nchi hizo kwa madai ya kuwa inachochea machafuko ya kisiasa

    DOKEZO Kuna Serikali nne za Afrika zinafanya majadiliano tangu wiki iliyopita, majadiliano hayo yamelenga kufungia mtandao wa TikTok kwenye nchi hizo nne kwa madai ya kuwa unachochea machafuko ya kisiasa Malalamiko yao yanashutumu mtandao wa TikTok kwa kuruhusu watumiaji hasa vijana kufanya...
  19. Eronda

    FALSE Did the NRM CEC endorse Gen. Muhoozi Kainerugaba as its next presidential flag bearer?

  20. Kaka yake shetani

    Mi naombi kwa madereva wanaosafirisha mizigo nchi za nje hapa Tanzania

    Hakuna watu wanapitia changamoto kama madereva wanaosafirisha mizigo kutoka bandarini dar kwenda nchi zinazozunguka tanzania. Kiufupi unageuka muhanga sababu sio nchi yako,unyanyasaji wa serikali unapopita nchi hiyo,wizi wakutisha Hakuna kuthaminiwa na bosi wala kampuni. Kwa nini msiombe...
Back
Top Bottom