BIASHARA YA SIRAHA KATI YA RWANDA NA ISRAEL INAKUWAJE SASA

BIASHARA YA SIRAHA KATI YA RWANDA NA ISRAEL INAKUWAJE SASA

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,565
Reaction score
5,983
Kwa kichapo inachoendelea kupata Israel, ni wazi biashara na mataifa mbali mbali hazina priority.

Inavoonekana, Israel haikutegemea itafumuliwa kwa kiasi tunachokiona. Watu wasio na makazi,miundo mbinu, maisha ya nchi kwa ujumla,yako hatarini. Na kila kuchako, mapigo yanazidi kuwa makubwa.

Rwanda ilikuwa na sehemu ya kuunganishia silaha zinazozalishwa Israel, kwa mkataba maalum. Silaha hizi,inavyoonekana ilikuwa tu kwamba wateja wa ukanda wapate bidhaa karibu. Je, kwa hali ile, Israel itaanzia wapi kufadhili mradi ule? Uzoefu wa jeshi lake, itakuwaje!
 
Back
Top Bottom