Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
Wakulima katika kijiji cha Logoeti Halmashauri ya wilaya ya Kiteto, Mkoani Manyara waambiwa kupitisha mashamba yao ambayo yamekuwa yakilimwa kwa kipindi kisichopungua miaka 30, kwani inaonekana walivamia eneo la machungio.
Mnamo miaka ya 2005-2015, wakulima wa vijiji vya Lukeli, Longojine...
Salute y'all 👋
Long time no see you family, hopefully you're doing just fine and so do I.
Post hii ni dedication kwa actors wangu pendwa ambao wengi wetu tumekua tukiwatazama kutoka Hong Kong lakini mwaka huu wametutoka duniani ambao ni
1: Chen kuan tai
2: Whang Jang Lee
..........
Kabla ya...
KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA NISHATI NA MADINI YAPONGEZA MPANGO WA UUNGANISHAJI UMEME KWA WANANCHI KATI YA TANESCO NA BENKI YA CRDB.
📌Yasema utachochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi.
📌Yasisitiza utekelezaji wa mpango huo kuleta matokeo Chanya kwa wananchi.
Kamati ya Kudumu ya...
vita ya Urusi na Ukraine ipo kwenye hatua hatari sana ya kupanuka na kuvuka mipaka, ingawa bado haijafika kwenye vita ya moja kwa moja ya dunia au mapigano kamili kati ya Urusi na muungano wa kijeshi wa NATO.
Tarehe 20 Novemba 2026, makombora mawili ya Urusi na droni moja vilianguka ndani ya...
Wakuu habari,, kwa wazoefu wa bike naombeni mnipe ushauri kati ya hizi mbili haojue 150cc na king D 150cc ipi itanifaa zaidi? Nataka bike ya kubebea mizigo
Biashara kati ya Kenya na Tanzania ilishuka kwa 9.4% mwaka jana hadi Ksh 114.1 Bilioni (kutoka rekodi ya Ksh 125.9 Bilioni). Katika kiasi hicho, Kenya iliuza bidhaa za Ksh 63.6 Bilioni kwenda Tanzania na kununua bidhaa za Ksh 50.5 Bilioni kutoka Tanzania. Cha kushangaza, takriban 70% ya anguko...
Wanabodi,
Utangulizi wa Facts Kuhusu Katiba Tanzania.
Je Wajua Tangu Tupate Uhuru, Tanzania hatujawahi kuwa na katiba ya Wananchi?
Je Wajua Katiba hii iliyopo ya Tanzania ya Mwaka 1977 ni Katiba ya CCM?
Je Wajua Katiba hii ni ya Mfumo wa Chama Kimoja CCM, Toka Enzi za Chama Kushika Hatamu...
ccm
chama
chama kimoja
fikirishi
hapo
hii
inahitaji
katikatiba
katiba mpya
katiba ya ccm
marekebisho
marekebisho ya katiba
mpya
mwaka
sio
swali
swali fikirishi
tanzania
vingi
vyama
vyama vingi
wananchi
watanzania
Kila tukisikia taarifa za Deni la Taifa, namba zinazotajwa zinatisha: Kenya inadaiwa takriban Dola Bilioni 100, Tanzania Dola Bilioni 43, na Uganda Dola Bilioni 37. Lakini wachumi wanasema jumla ya deni pekee haiwezi kukuambia kama nchi imezidiwa au la.
https://youtu.be/d0bonWJ1bw4
Uchambuzi...
Wananjaa...
Ving'ang'anizi
Waongo Waongo, na hawajui hata kudanganya.
Si rudii tena, maana nilikuwa Nime setiwa bonge la surprise kupigwa pesa ndefu,
Yaani mtu unamtumia m1 alafu anakurudishia kisa kupishana sentensi..
Hii ni kusakwa kisaikolojia then siku aje akumemende Hati ya...
Wadau wa sports,kiukweli kinachoendelea kwenye timu ya simba kinasikitisha,kwa maoni tatizo lipo kwa mwenyekiti wa simba bwana murtaza mangungu.
Kama alikuwa naona kuna mambo hayapo sawa,
Kwanini hakuwaambia wanachama,sasa hivi mda wake umeisha anakuja na ngojera kibao,binafsi namuona kama mtu...
Na Constantine J.S. Mauki, Nov. 2026
Nchi hizi mbili ziliungana April 26, 1964, muda mfupi tu baada ya Wazanzibari kufanya mapinduzi na kumng'oa Sultani visiwani humo.
Kielelezo Na. 1: Ishara ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Chanzo: Wikipedia
Haya yalikuwa makubaliano ya Mlm JK...
Watu wa maana, bila hawa dunia isingekalika.
Wakulima:- hawa uhakikisha jamii inapata chakula cha kutosha,matunda pamoja na mali ghafi za viwandani.
Wafugaji:- hawa uhakikisha jamii inakula nyama na bidhaa zingine kutumika kama malighafi viwandani.
Wamiliki wa viwanda:- hawa uhakikisha jamii...
Sisi wengine hatujui ila tunasikia chadema kila wanapopata jukwaa hata ndogo tu la kusema huwa wanatoa masharti yao magumu ya wao kukubali kushiriki kwenye maridhiano. Sasa hivi shariti lao muhimu ni Lissu aachiwe huru.
Maswali yetu sisi wananchi ni mengi kuhusu haya maridhiano.
1. Maridhiano...
Wadau wa soka, tuseme ukweli bila mashabiki wa kihisia.
Man United sasa hivi sio timu tena, ni hospitali. Carrick ameshindwa, timu iko kwenye relegation zone, tunafungwa ovyo, wachezaji hawana nidhamu.
Kama Carrick akitimuliwa, kati ya hawa 4 nani anafaa?
1. EDDIE HOWE - (Newcastle)
Faida...
habari wadau.
kwa mazazi mwenye kipato cha kumpa uwezo wa kulipa ada milion 3 kwa mwaka, ila hana hela nyingine ya kuwekeza ujenzi ama kuwekeza kwenye biashara. achague njia ipi ya kumuwekezea mwanae
atumie hiyo hela kulipa ada, ili mwanae asome private schools, mbeleni mtoto aje ajiwekezee...
Kwa kuanza, wote wapongezwe Kwa kazi nzuri za kijasusi kutupea classified infos Kwa uzalendo wao bila malipo yoyote.
Katika hukumu ya kesi hii, nani amechukua point zote? Ingawa wote wanajitahidi.
Maoni tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.