israel

  1. M

    Israel inatisha ! Mwaka ndio huo unayoyoma, kiongozi mkuu wa Iran kajificha uvunguni kama panya

    Israel wanatisha sana!! Mwaka unaelekea ukingoni huku kiongozi mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, akiwa bado amejichimbia uvunguni mwa mahandaki Hapendi ila inamlazimu, Israel wamekaa mkao wa kula akithubutu tu kutoka huko shimoni wanawatuma tena marubani wao wa kike wakafanye kilekile...
  2. Chizi Maarifa

    Sheikh Mkuu Irani atoa Siri nzito kuhusu Israel kuua Viongozi wa Iran

    Aiseee..... Sasa hapa anaongea lugha ambayo inafahamika kwa Waislamu. Hili ni moja ya matukio ambayo yanawatesa sana Wairan. Mpaka sasa hawajaweza ku recover. Hapa nazungumzia sana sana Wairan wa Iran. Achana na hawa wa Mchambawima na Kunduuchi au Kilimanyege.
  3. I

    Kampuni ya teknolojia ya Marekani "NVIDIA" inavyotegemea teknolojia ya Israel katika uendeshaji wake

    Wakati fulani Huang aliutaja Israeli kama "nyumba ya pili" ya Nvidia, na Netanyahu aliunga mkono hisia hiyo alipoandika kwenye mtandao wa X: "Ushirikiano wa Nvidia na sekta ya teknolojia ya Israeli umeleta thamani kubwa kwa kampuni hiyo na kwa uchumi wa uvumbuzi wa Israeli." "Kuendelea kwa...
  4. Echolima1

    Wakili maarufu wa Israel Zion Amir awashutumu wanaoendesha kesi ya Netanyau!

    Israeli: Wakili maarufu wa utetezi wa Israeli Zion Amir aliwashutumu wale walio nyuma ya kesi dhidi ya Benjamin Netanyahu kwa kufanya kazi na washirika wa vyombo vya habari kupotosha umma na kuiangusha serikali yake ya mrengo wa kulia. Akizungumza na Noam Fathi na Ariel Sender, Amir...
  5. M

    Israel wanatumia masaa mawili kufika Iran, mifumo ya Iran imelala fofofo, wanastuka Israel huyu hapa wanasema "Surprise Attack"

    Yaani Israel wanatuma msafara wa NDEGE 2OO zinapaa masaa mawili angani mpaka kufika Tehran, halafu utasikia "wametuvamia kwa kushtukiza" (Surprise Attack) Na hii ndiyo sababu Israel siku hizi wanajiamini kupitiliza hadi kuwatuma marubani wa kike wakafanye "field" kule Iran! Yaani wamelishusha...
  6. Echolima1

    Israel yadai Iran inatengeneza silaha za kemikali!

    🚨 Israel imeshiriki taarifa za kijasusi na Marekani zinazoonyesha kwamba Iran inatengeneza silaha za kemikali kwa ajili ya matumizi yanayowezekana dhidi ya Israeli na nchi zingine katika Mashariki ya Kati, kulingana na Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz. Katz pia alifichua kwamba: ▪️ Iran...
  7. Echolima1

    Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alihutubia Bunge la Knesset huko Israel 🇮🇱

    Katika tukio la kushangaza, majaji 3 wanaosimamia kesi ya ufisadi ya Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, walimwambia Mwanasheria Mkuu Gali Baharav-Miara kwamba matarajio ya kuhukumiwa katika Kesi 4000 na 2000 ni madogo, wakiwasihi waendesha mashtaka kufikiria upya mashtaka hayo. Jaji...
  8. Ritz

    Hakuna haja ya Israel kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran kwa sasa - Eisenkot

    Wanaukumbi. Gadi Eisenkot, ambaye anashiriki mazungumzo ya kuunda serikali mpya nchini Israel, amesema haoni haja ya kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran kwa sasa. Gadi Eisenkot, ambaye aligombea nafasi ya Waziri Mkuu, amesema katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika bunge...
  9. Echolima1

    Wawakilishi wa Eisenkot na Netanyahu waanza duru ya tatu ya mazungumzo ya kuunda serikali ya umoja Israel 🇮🇱

    Wawakilishi wa Eisenkot na Netanyahu waanza duru ya tatu ya mazungumzo ya serikali ya umoja Wawakilishi wa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na Gadi Eisenkot, mgombea mkuu wa upinzani, wameanza mkutano wao wa tatu kuhusu kuunda serikali ya umoja. Ujumbe kutoka chama cha Likud cha Netanyahu na chama...
  10. Echolima1

    Wakuu tunaweza kupitia na kusoma tecknolojia za Israel zinazovuma sana

    Hii ndiyo Israel 🇮🇱 🇮🇱🇮🇱
  11. Echolima1

    Hatimaye waarabu huko Lebanon waamua nchi yao kufanya mahusiano na nchi ya Israel!!

    https://t.me/hnaftali/24861
  12. Echolima1

    Waarabu waliharibu Uchaguzi Israel kisa kumwangusha Netanyahu!!

    Israel: Maafisa wa polisi waliokuwa kazini katika vituo vya kupigia kura katika jamii za Wabedui huko Negev wakati wa uchaguzi wa Knesset, waliambia Channel 14 kwamba waligundua watu wakirudi kupiga kura wakiwa na vitambulisho tofauti. Maafisa hao walisema baadhi ya matukio hayakurekodiwa...
  13. F

    Ukweli husiofundishwa kanisani,wa israel sio wakristo wana dini yao ambayo haimtambui yesu kristo na wala huwa hawasali Kanisani. Sababu ni sadaka

    Mafundisho ya kanisa yanamtaja sana Mungu wa israel ila hata siku moja huwezi kuta wanaitaja dini ya Waisrael. Judaism religion Na huwezi kuta kanisa linasema ukweli kwamba wa israel wanamkataa yesu kristo sio masihi na wala sio mwana wa Mungu na wala sio Mungu. Pia huwezi kuta kanisa linataja...
  14. Echolima1

    Wahamiaji haramu kutoka West-Bank wanaswa wakitaka kuingia Israel kinyemela!!

    Maafisa wa polisi wa mpaka wa Israeli kutoka kitengo cha Etzef Yerushalayim waliwakamata wahamiaji 8 haramu wa Kiarabu (waliovuka kutoka Ukingo wa Magharibi kuingia Israeli) wakiwa wamejificha ndani ya tanki kubwa la mafuta lililokuwa limesafirishwa katika eneo la mizigo la gari katika Tunnels...
  15. The introvert

    Israel yatoa ofa kwa Watanzania, Wakenya na Waafrika wengine kuondoka nchini humo kwa hiari

    Israel yatoa ofa kwa Watanzania, Wakenya na Waafrika wengine kuondoka nchini humo kwa hiari Israel imepanua mpango wa kuwahamasisha wahamiaji kutoka mataifa ya Afrika kuondoka nchini humo kwa hiari, kwa kutoa msaada wa dola za Marekani 3,500 (Tsh 9,271,220) pamoja na tiketi ya ndege ya bure kwa...
  16. Echolima1

    Israel yaongoza kwa teknolojia mbalimbali zenye manufaa kwa ulimwengu wote na Waarabu waongo za kwa mauaji ya kikatili duniani!!

    Hongera sana kwa Taifa Teule la Israel kwa kuwa wavumbuzi wa vitu mbalimbali ambavyo vina said Ila watu kote duniani. Na inasikitisha sana kwa watu wanaojiita Eti Wapalestina kwa wao kugundua Ugaidi, kuteka nyara watu na kuua watu kikatili na mambo mengine ya ajabu kuwafanya watu wengine!! Kwa...
  17. M

    Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  18. Echolima1

    Hili ndilo Bunge jipya la 26th la Knesset huko Israel l

    Bunge la 26 la Israeli lililochaguliwa hivi karibuni limeapishwa leo, huku wabunge 120, wakiwemo wapya 46, wakichukua madaraka kufuatia uchaguzi wa Oktoba 27 uliomnyang'anya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu wingi wake wa viti bungeni. Kambi ya upinzani ya Gadi Eisenkot ilipata saini 61 za...
  19. Financial Analyst

    Waarabu wa JF wanafurahia netanyahu kushindwa kura ila wanashindwa kukumbuka kuwa nchi zao hakuna uhuru wa kukosoa au kuchagua unaemtaka kama israel😁

    Mtikiila aliwahi kusema watu wana "UNYANI"
  20. 100 others

    Eisenkot Anakwenda Kuwa Waziri Mkuu Wa Israel.

    Israel imepoteza ushawishi mkubwa duniani kote, kiasi kwamba hata Wayahudi wa Marekani wanapinga serikali hiyo ya Kizayuni. Hatua za wanasiasa wa Israel za kufanya mauaji ya kikatili pale Gaza, imepelekea Wayahudi wengi kuchukiwa na kutukanwa na hata kupigwa huko Ulaya na Marekani, kwani sasa...
Back
Top Bottom