Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,565
- 5,983
Ni badhi ya wanachuo waliohitimu December 2024.
Walisema, baada ya MOUNT KENYA kubadilishiwa jina na kuitwa MOUNT KIGALI UNIVERSITY, kuna wanachuo walijikuta transcript zao zikionyesha miaka mitatu yote ilisomwa kwa wakati mmoja, mwaka 2022/2023. Baada ya kuomba documents zao zisahihishwe, uongozi wa Chuo hicho kwa jina jipya, uliwakatalia. Jambo ambalo walio wengi wamelalamikia kuwakosesha fursa za kazi, na waliopata, hawataweza kulipwa, mpaka tatizo hilo lipate suruhu.