kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    WAZIRI MKUU AWASILI TABORA KWENYE MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ASKOFU MKUU MIHAYO

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Tabora, ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo leo, Novemba 28, 2026.
  2. H

    Waziri Mkuu Mwigulu awasili Tabora kwenye mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo

    WAZIRI MKUU AWASILI TABORA KWENYE MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ASKOFU MKUU MIHAYO Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Tabora, ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo leo, Novemba 28, 2026.
  3. M

    Naomba kuuliza hivi kazi gani anaweza kufanya mwanafunzi wa chuo kikuu kubla ya kumaliza chuo yaani yupo mwaka wa mwisho

    Naomba nijue maana natamni sana nipate kazi lakin sijaona kaz gan naweza kufanya kww mwanachuo kikuu mwaka wa mwisho anae soma
  4. S

    Chama Kikuu cha Ushirika Simiyu - SIMCU (2018) LTD Kinahitaji Madereva wa Matrekta na Power Tiller

    WANAHITAJIKA MADEREVA WA TREKTA NA POWER TILLER Chama Kikuu cha Ushirika Simiyu - SIMCU (2018) LTD kinahitaji madereva kwa ajili ya kuendesha zana za kilimo zitakazotumika kutoa huduma kwa wakulima katika Mkoa wa Simiyu, kama ifuatavyo: Na. Nafasi Idadi 1. Waendeshaji wa Matrekta (Tractor...
  5. abraham de potter

    KERO UDOM: Chuo kikuu kinashindwaje kutatua tatizo la maji wakati maeneo yanayokizunguka yana visima?

    UDOM: CHUO KIKUU KINASHINDWAJE KUTATUA TATIZO LA MAJI WAKATI MAENEO YANAYOKIZUNGUKA YANA VISIMA? Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kukabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na ya uhakika. Kinachoshangaza ni kwamba tatizo hili limekuwepo kwa miaka kadhaa bila kuonekana kwa...
  6. N

    A BITTER TRUTH: Tanzania sio Kenya. Hili ni dola la kijamaa kama China. Chama Kikuu Cha Kisiasa ni kimoja tu, vingine 18 vilivyobaki vyote visaidizi.!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Karibu sana mnitukane baada ya kumaliza kuisoma thread hii, ila huu ndio ukweli nyie wadogo zangu wa 2000s. Kama Siasa haikuingizii pesa, do it moderately. Abandom activism. Abandon insults and name calling. Usiwe mjinga ukapigwa virugu na Police kwa mtu ambaye hata...
  7. Yoda

    Ubora wa elimu ya chuo kikuu ulidumaa sana tangu utawala wa awamu ya nne kuingia madarakani.

    Ukifuatilia habari za wanachuo Tanzania ulinganishe na habari za wanachuo wa nchi nyingine utagundua Tanzania bado ni nchi masikini na backward sana. Habari kubwa za wanachuo Tanzania ni 1. Matumizi ya mkopo (Boom) 2. Ngono 3. Uchawa kwa watawala Habari za wanachuo nchi nyingine ni 1...
  8. Frank Wanjiru

    Amsomesha mpenzi wake Chuo Kikuu miaka minne,alipoenda kwenye Mahafari hajamkuta.

    Mwanaume mmoja nchini Kenya ameibua mjadala mitandaoni baada ya kudaiwa kujitolea kumlipia masomo na kumsaidia kifedha mpenzi wake kwa kipindi cha miaka minne katika Chuo Kikuu cha Karatina. Kwa mujibu wa simulizi hilo, mwanaume huyo alimsaidia mwanamke huyo tangu alipoanza masomo hadi...
  9. S

    KERO UDOM walianza kurejesha fedha za ziada (overpayment) lakini sasa wameacha, hatuelewi shida ni nini

    Bado kuna changamoto kubwa ya ucheleweshaji wa kurejesha fedha za ziada (overpayment) kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Baada ya taarifa iliyochapishwa na JamiiForums kuhusu kuchelewa kwa malipo hayo kusambaa, uongozi wa chuo ulianza kulipa baadhi ya wanafunzi, hatua iliyoashiria...
  10. B

    KERO Tunaomba UDOM kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa program za masomo

    Tunaiomba uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa programu za masomo (Course Transfer). Wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao huwasilisha maombi mapema hulazimika kusubiri majibu kwa muda mrefu, huku masomo na moduli za...
  11. OMOYOGWANE

    Nilipokuwa chuo kikuu kuna jamaa alimtoa lecturer mtukutu nje , Lema vs Mange , Lema ni mwanasiasa Mange ni mwanaharakati, jasiri ndio mshindi

    Miaka ya 2010s nikiwa chuo fulani mkoani Morogoro, darasani tulikuwa wanafunzi zaidi ya 200, kulikuwa na. Freshers pamoja wanafunzi waliotoka makazini wanajiendeleza kimasomo miongoni mwao kulikuwa na askari jeshi lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kuukataa unyanyasaji wa yule lecturer mtukutu...
  12. A

    KERO Wazabuni tunaofanya kazi Chuo Kikuu Mlimani tunazungushwa malipo yetu kwa muda mrefu

    Binafsi, nina kampuni ya usafi inayotoa huduma katika taasisi kadhaa, ikiwemo Chuo Kikuu cha Mlimani. Hata hivyo, changamoto kubwa imekuwa ni malipo ya huduma tunazotoa. Unaweza kufanya kazi kwa zaidi ya miezi tisa bila kulipwa, huku ukiwa na wafanyakazi wenye familia zinazokutegemea na ambao...
  13. G

    Kuacha ualimu serikalini na kuhamia chuo kikuu binafsi

    Habari wadau wa JF. Nimefundisha sekondari za serikali kwa miaka 12, hivi karibuni nimepata ofa ya ajira chuo kikuu binafsi kama assistant lecturer. Mshahara wangu wa serikali ni mdogo sana na nimepambana kupata nafasi chuo kikuu cha public nimekwama. Mwenye uzoefu naomba tusaidiane ushauri je...
  14. O

    Mambo yanayoweza chochea UPATIKANAJI WA UTI

    MOD UKITAKA KUBADILI CHOCHOTE SEMA NAMI BWANA NASIKIA ACHA UJUAJI. MADA Wakati wa tendo la ndoa, msuguano ukizidi unaweza kusogeza bakteria kutoka kwenye ngozi au eneo la haja kubwa ya ke kuelekea kwenye tundu la mkojo la me na ke simulitaneously, na bakteria hao wanapoingia kwenye njia ya...
  15. A

    KERO Naomba kufahamishwa iwapo HESLB wamebadili viwango vya boom kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo

    Habari, wana-JamiiForums. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayetarajia kuingia mwaka wa tatu hivi karibuni. Nimebaini kuwa HESLB imeweka kiasi cha TSh 2,310,000 kama jumla ya malipo ya MA (boom) kwa mwaka, badala ya TSh 2,400,000 kama ilivyoelezwa kwenye mkataba wangu. Aidha, kiasi...
  16. A

    KERO Wanafunzi wa mwaka kwanza Iringa University tunatakiwa kulipa ada licha ya kupewa mkopo

    Wanafunzi wa mwaka wa kwanza tuliopata mikopo ya elimu ya juu tunatakiwa kulipa ada kwanza ili kukamilisha usajili, licha ya kuwa tayari tumedhaminiwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Hali hii inatupa changamoto kutokana na uwezo mdogo wa kifedha wa familia zetu, na...
  17. M

    Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan yapigwa faini ya Shilingi milioni 1 za Kenya kufuatia kifo cha mgonjwa kilichosababishwa na maambukizi aliyopata

    Baraza la Madaktari na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDC) limeitoza Faini Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kiasi cha KSh1 milioni kutokana na usimamizi mbovu na mapungufu katika matibabu ya Valarie Cherono Misoi, aliyefariki dunia baada ya kujifungua mnamo Agosti 2019. Kamati ya nidhamu...
  18. M

    Hatari inayowakabili wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)

    Kufuatia ukosefu mkubwa wa hostels kwa wananafunzi wa vyuo vikuu ikiwepo chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), wanafunzi wengi wa chuo hiki wanaishi nje ya maeneo ya Chuo kuanzia maeneo ya Mwenge,Mpakani, Lufungila Survey,Makongo juu na maeneo ya Jirani ANGALIZO Kwenye kona ya chuo cha ARU ukiwa...
  19. S

    Nawezaje kubadili kozi katika Chuo Kikuu cha Dodoma

    Namna ya kubadili kozi kutoka sanaa ya kiswahili kwenda bachelor of arts with education
  20. L

    KERO UDOM matokeo yametoka ila kwa baadhi yamekuwa 'Withheld' japo tumemaliza kulipa ada

    Habari, mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Matokeo ya mwaka huu yametoka, lakini kwa baadhi yetu yamewekwa kwenye mfumo kama “withheld”, licha ya kuwa tumekamilisha malipo yote ya ada na hatuna deni lolote la chuo. Chuo kimetoa namba ya Bursar ambayo wanafunzi wenye changamoto...
Back
Top Bottom