tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tanzania kwenye video editing tupo nyuma sanaa

    Wakuu habari za mchanaa Katika pitapita zangu huko mitandaoni kuangalia kazi za media na editors mbalimbali Naona Tanzania Bado Tupo NYUMA sana yaani kazi za media na ma editor wakubwa ni za kawaida sanaa ukilinganisha na za maeditor wa Ulaya, sijajua wanafeli wapi shida ni tools au ni Nini...
  2. Tanzania hatujui kuchoma nyama sababu nyama yetu ni mbaya

    Utamaduni wetu wa nyama choma hapa Tanzania kwa ujumla ni wakishamba sana. Ukiagiza nyama choma matarajio ya watu wengi ni nyama iive mpaka ndani iwe imekauka kabisa. Ukiomba medium rare au rare, unaweza kuangaliwa kana kwamba umeagiza nyama mbichi kutoka machinjioni. Tatizo letu ni kwamba...
  3. V

    Kwasasa Tanzania imebaki na mhubiri mumoja tu ambaye ni Mch Mbarikiwa Mwakipesile

    Unataka kujua ni kwanini? Pita hapa https://youtu.be/mRS35Oemxe8?si=X4Oost1VrmL_63HV
  4. Vikwazo vya Jumuiya ya Madola (COMMONWEALTH) kwa Tanzania Vimeanza Rasmi - NGOs Zapigwa Stop kuomba Miradi

    Baada ya serikali HARAMU ya samia na kikwete KUPUUZA maelekezo ya Commonwealth (Jumuiya Madola) ya kurejesha utawala wa kidemokrasia Tanzania, hatimaye RUNGU la Vikwazo limeanza kutembea sasa. Jambo la kufurahisha ni kwamba wameanza na MACHAWA wao, Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) ya...
  5. Tamthilia ya "MJI WA MAPOYOYO", mtunzi: Civilian-Coin, ©2026, Kahama, Tanzania.

    Mtunzi: CIVILIAN-COIN N.K Tamthilia: "MJI WA MAPOYOYO" ©2026, Kahama, Tanzania. Haki zote za Kitabu hiki zimehifadhiwa. UTANGULIZI NA LENGO LA MWANDISHI/MTUNZI.. Mwandishi wa tamthilia ya "Mji wa Mapoyoyo" ni Civilian-Coin Nalimi Kisandu kwa kifupi CIVILIAN-COIN N.K au CIVILIAN-COIN Kama...
  6. Ukiichafua Tanzania utachafuka wewe kwanza. Hongera Jihan

    Hebu ona Tanzania inavyong'arishwa na huyu dada kama dhahabu matopeni. Hongera Jihan. Watanzania wenzangu hatuna kwetu kwingine ila hapa. Tushindane kupasafisha panukie sio kupachafua panuke. Haipendezi watanzania kama hawa wanahangaika kuipamba na mwingine anapambana kuichafua. Lazima tuwe...
  7. Tanzania yalenga kusafirisha kontena 1,500 kwa siku kwa reli

    Tanzania inalenga kuongeza usafirishaji wa mizigo kwa reli hadi kufikia kontena 1,500 kwa siku, hatua inayolenga kupunguza msongamano katika Bandari ya Dar es Salaam, kuharakisha usafirishaji wa mizigo na kupunguza gharama za usafirishaji kwa wafanyabiashara. Mpango huo pia utaimarisha...
  8. SEO Tanzania: Google Maps Optimization, Google Business Profile & Website Development | lzgdigital

    SEO Tanzania | Google Maps Optimization & Website Development — lzgdigital Unatafuta SEO services in Tanzania, Google Maps optimization, au msaada wa kuboresha Google Business Profile ya biashara yako? lzgdigital inasaidia biashara kuboresha uwepo wao mtandaoni kupitia huduma zifuatazo: Local...
  9. M

    Mnaowaza serikali (CCM) kupinduliwa muache kuota ! Jeshi ni mali ya Ccm, Hakuna Backup ya serikali nyingine na hakuna mfumo wa majimbo.

    1. JESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA Njia mojawapo ya kawaida ya mapinduzi ya serikali ni jeshi kuingilia siasa na kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa kutumia nguvu. Kwa mfano walichofanya kina Ibrahim Traore wa Burukina Faso. Hata hivyo, katika muktadha wa Tanzania, Baada ya...
  10. M

    Wazanzibar walishajifunza ni vigumu kupata Urais kwa mfumo wa kawaida, hofu ni mfumo unaowekwa kulinda mamlaka yao Tanganyika hata kwa vizazi vijavyo

    Kipindi cha Mwinyi, Nyerere alikuwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa, hata akiwa nje ya madaraka. Mazingira ya sasa ni tofauti kabisa. Kipindi hiki, Makamu wa Rais katiba ilimpa mamlaka ya kuwa Rais. Wazanzibari wanafahamu kuwa kupata Rais wa Muungano kupitia Ccm kwa njia zilizozoeleka ni...
  11. Kuna watu hapa Tanzania ukiwaona tu unatambua ni kabila gani au watu wa mkoa gani .

    1. Wamakonde ukiona vichwa vya mviringo unajua tu huyu ni mmakonde 2.Mchaga macho makubwa, vichwa vikubwa na miguu myembamba unafamu huyu ni mangi . 3.Mhaya sura ngumu ya kutisha na imekomaa unafahamu huyu ni kyoma. 4.Muiraq/mmburu weupe mkali miguu myembamba na pua mchongoko hapo unajua maji...
  12. S

    Niwaambie ukweli wa moyoni; ningekuwa raisi wa Tanzania katika mazingira yaliyopo, na mtazamo uliopo wa wananchi juu yangu na mwanangu, NINGEJIUZULU!

    Yaani nigekuwa raisi katika mazingira haya - nikiwa na stress kama ziivyoorodheshwa hapa chini,nadhani ningekubali yaishe nibwage manyanga. Stress kwamba mimi ndio mhusika mkuu wa mauaji ya wananchi wasio na hatia ya 29 Oktoba kwa sababu mimi ndio nilitoa amri ya kuua Stress ndani na nje ya...
  13. B

    Top 5 websites za kutafuta kazi Tanzania

    TOP 5 WEBSITES ZA KUTAFUTA KAZI TANZANIA 🇹🇿 Toka nilipomaliza chuo, nimekuwa nikikumbana na changamoto ya kujua wapi nitapata taarifa za kazi mpya na ni website gani nitumie kutuma maombi yangu. Changamoto kubwa ninayoiona kwenye baadhi ya websites zetu za Tanzania ni matangazo mengi sana (too...
  14. C

    Didier Drogba kurudi tena tanzania siku ya October 16

    Wizara ya habari sanaa na utamaduni imetangaza tena kurejea kwa nyota na nguli wa mchezo duniani didier drogba tanzania Katika poster ambayo imechapishwa katika wizara ya habari , sanaa na utamaduni wa wamechapisha kuwa ni maandilizi kuelekea afcon Ikumbukwe kuwa hii si mara ya kwanza kwa...
  15. Historia ya Mabalozi wa Marekani Tanzania

    Balozi William Trachman amekabidhi rasmi hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, na hivyo kuanza rasmi majukumu yake kama Balozi wa 21 wa Marekani nchini Tanzania. Katika kipindi cha zaidi ya miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya...
  16. Tanzania yatangaza utalii nchini Marekani

    http://www.instagram.com/reels/DehDjiHCUFW/?hl=en
  17. Mnashangaa John Pambalu kukamatwa, kwanini hamjiulizi aliondokaje Tanzania kwenda Kenya kwa Maria Sarungi

    Tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye KAZI yake. Bila shaka. Pambalu anayajua makosa yake na anajua kipi kilimfanya akimbilie Kenya, anajua kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi, anajua kwanini sasa imempasa arudi Tanzania, anajua mahusiano kati yake na Maria Sarungi yapoje. Mimi binafsi...
  18. Kama jukumu la Jumuia ya Africa mashariki ni kulinda ustawi wa nchi wanachama hakuna haja ya kufichiana waharifu Kenya rudisheni Tanzania hao waharifu

    Sidhani kama Rwanda inaweza kuhifadhi waharifu mfano wa akina sativa, maria Sarungi, Hilda newton ndani ya EAC. Pia sidhani kama Tanzania inaweza kuhifadhi waharifu kutoka nchi ndani ya EAC KWANINI KENYA? ikumbukwe kuwa mwaka 1977 EAC ilikufa chanzo walikuwa ni wakenya. Tuache kufichiana...
  19. Wanaharakati wa Tanzania walioko Kenya kurudishwa nchini

    Serikali ya Kenya imekataa maombi ya Sativa, Hilda Newton, Twaha na Rose Mayemba waliotaka Political Asylum, wameambiwa TZ hakuna shida ya kisiasa warudi kwao au wakae kwa kufuata taratibu, That's Why Pambalu amerudi soon wengine watarudishwa na watakamatwa kwa walichokifanya Oktoba 29.
  20. Tanzania na Saudi Arabia zasaini Mkataba wa ushirikiano Sekta ya Nishati

    Tanzania na Saudi Arabia zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) inayolenga kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati. Makubaliano hayo yanafungua nafasi zaidi za ushirikiano katika uwekezaji, maendeleo ya miradi ya nishati na kubadilishana uzoefu wa kitaalamu, hatua inayolenga kuimarisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…